baina ya mzee mwanakijiji na yericko kuna tofauti kubwa sana.
1.yericko anabeza hoja ya kupuuzwa kwa wale waliofutwa kwenye historia bila kusimamia hoja zake kwa ushahidi.
2.mzee mwanakijiji ni mdini,we fuatilia kwa umakin sana posts za hao jamaa wawili utakuja kuung'amua ukweli.
mzee mohamed said kama kuna siku umepiga msumari mzito ni leo yani hapa ndio ni likuwa nataka nadhani yericko nyerere yuko hoi mimi nilikuwa nataka ajibu hii point yako hapa
Huo ndiyo ukweli kuwa Waislam walikusanyika kumhami Kikwete
si kama anapendeza sana kwao ila kupambana na kanisa.
Sheikh Issa Ponda alizunguka takriban nchi nzima.
Hapa ndipo nchi yetu ilipofika.
Mzee Mohamed Said kama kuna siku umepiga msumari mzito ni leo yani hapa ndio ni likuwa nataka nadhani YERICKO NYERERE yuko hoi mimi nilikuwa nataka ajibu hii point yako hapa
Hapa tunaona kuwa Sheikh alikuwa na nguvu za kuitisha mikutano ya siri kuhusu mambo ya udini ndani ya Chama na Harakati..Mohamed Said;5527468]MM,Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya TANU. Suala la Ukristo ndani ya TAA na baadae ndani ya TANU lilikuwa likiwahangaisha viongozi wa wakati ule hata ikapelekea mwaka 1955 Sheikh Hassan bin Amir kuitisha mktano wa siri Mtaa wa Pemba kujadili tatizo hili
Mohamed anakiri kuwa kulikuwa na radicals ndani ya chama. Kumbe basi hawa radical ambao hautujui majina yao na MM ameuliza walikuwa wanafahamika na Sheikh Amir. Sasa mwaka 1963 Sheikh Amir alishindwa vipi kuwa na vikao vya siri na radicals kuleta machafuko nchini!There were no problems of personality clashes at the headquarters apart from a small faction of radical Muslims who were plotting to oust Nyerere from Party leadership for being a Christian
MS anaonyesha wazi kuwa masheikh walikuwa na nguvu sana na walitumia misikiti katika kupanga mipango yao.This was the second time the issue of religion had cropped up since Nyerere assumed leadership of the movement for the first time in 1953.This meeting was held in a house in Pemba Street and its resolution was supported by Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein from Lindi and Sheikh Abdallah Chaurembo of Dar es Salaam
hapo hapo anajisahau kuwa masheikh wake waliona hatari ya udini na ubaguzi na yeye hajaiona mwaka 2013 kwa maneno hayaThis meeting coined the name ‘Yuda' which was to be the label of any member of TANU who discriminated his fellow African because of his faith
Kama ni hivyo basi je, Mohamed haoni kama amewabagua akina Rupia, Bomani, Lugazia, Mhando, Kyaruzi n.k. kwa maneno hayo yaliyokataliwa na masheikh wake miaka 50 iliyopita?....Na khasa kusikia kuwa Waislam ndiyo walioongoza vita dhidi ya Waingereza
Wanajamvi na wale amabao hamjapitia kitabu na makala za Mohamed Said, tunapouliza maswali hapa au kutoa hoja huwa tuna ''background'' ya kutosha tu. Mwanakjiji ameinyumbulisha vema post hii ya MS. Naongezea unyumbuko kutoka angle nyingine ili muone ni kwanini.Mohamed Said;5527468]MM,Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya TANU. Suala la Ukristo ndani ya TAA na baadae ndani ya TANU lilikuwa likiwahangaisha viongozi wa wakati ule hata ikapelekea mwaka 1955 Sheikh Hassan bin Amir kuitisha mktano wa siri Mtaa wa Pemba kujadili tatizo hili[/QUOTE] Hapa tunaona kuwa Sheikh alikuwa na nguvu za kuitisha mikutano ya siri kuhusu mambo ya udini ndani ya Chama na Harakati.
Mtakumbuka kuwa mara zote Mohamed Said amekuwa akisema Nyerere alimvamia usiku kwa kutumia usalama wa taifa na kumrudisha kwao Zanzibar. Fikiri huo ulikuwa mwaka 1955, je mwaka 1963 Sheikh alikuwa katika kiwango gani.
Endelea hapa
Moahamed anakiri kuwa kulikuwa na radicals ndani ya chama. Kumbe basi hawa radical ambao hautujui majina yao na MM ameuliza walikuwa wanafahamika na Sheikh Amir. Sasa mwaka 1963 Sheikh Amir alishindwa vipi kuwa na vikao vya siri na radicals kuleta machafuko nchini! Ni kiongozi gani angevmilia endapo Sheikh Amir aliendeleza vikao na radicals.
Mara zote Mohamed amekuwa anamtupia lawama Nyerere kumuondosha Sheikh Amir. Ukweli ni kuwa hata kitendo cha kumrudisha Zanzibar kilikuwa cha kiungwana vinginevyo ingekuwa mbaya zaidi ya hapo. Mohamed anatuhabarisha ziaidi[/FONT] MS anaonyesha wazi kuwa masheikh walikuwa na nguvu sana na walitumia misikiti katika kupanga mipango yao.
Yale madai ya Mohamed kuwa masheikh walifungwa na kukamatw usiku sasa tunapata majibu yake kwa wale waliokuwa hawalioni hili. Kama ulisoma vitabu na makala zake kwa macho mawili haya utakuwa umeyaona. Mohamed anasemahapo hapo anajisahau kuwa masheikh wake waliona hatari ya udini na ubaguzi na yeye hajaiona mwaka 2013 kwa maneno hayaKama ni hivyo basi je, Mohamed haoni kama amewabagua akina Rupia, Bomani, Lugazia, Mhando, Kyaruzi n.k. kwa maneno hayo yaliyokataliwa na masheikh wake miaka 50 iliyopita?
Msome MS ukiwa umefunguka macho, unaweza kushiba ''ngano'' bila kutarajia
wakiristo watz wakisikia nyerere anasemwa vibaya wanalia? kunanini KATI YA nyerere na Kanisa hadi mutumie nguvu nyingi za kumtetea badala ya kuachia Chama chake na familia yake tu?
hakuna asiejua kwamba mwanakijiji ni mdini kupindukia na hivi karibuni na yeye atatangazwa na kanisa kuwa mwenye kheir.wanaharakati wengi wa tz ndivyo walivyo. Likija swala la kanisa na ufisadi watetea hadi kufa kwao. Angalia mou ilivyotetewa na padri slaa huku akiwa kimya kuhusu oic. Tz ni nchi ya maajabu sana kwa hawa ndugu zetu wakiristo
Tumia mda mwingi kusoma vitabu vya historia ya uhuru,
Hao wote aliowataja MS wapo kwenye maandishi mengi tu yahusuyo uhuru wetu,
Labda kwamara ya kwanza ndio unasikia na kusoma habari hizi hapa jf, au umesoma kitabu cha MS tu?
Hakuna kigeni kwa hayo ndugu,
Na hakuna palipowahi kuandikwa au Mwalimu Nyerere akajitangaza kuwa YEYE tu ndie aliyedai Uhuru wa Tanganyika, bali ni ukweli usiopindishwa kuwa yeye ndie aliyeongoza harakati za kudai Uhuru mpaka Uhuru kamili.
nilimuamini sana mwanakijiji katika kupambana na ufisadi wa Meremeta. Kumbe alikuwa na lengo lake. la kupandikiza chuki kwa jamii dhidi ya Kikwete kwakuwani muislam tu. Mbona nyerere anamtetea sana tu. hongera mwanakijijihiyo haitamsaidia mzee mwanakijiji,mzee mwanakijiji lazima tambue moh' said hazungumzi hapa kwa mihemko mikali ya kidini kwa uchoche la hasha.,ila sasa nongwa huja pale anapowazungumza wasahauliwa kwa ushahid na majina,hao wasahauliwa wanapoonekana ya kwamba wana majina ya kiislam ndipo sasa wanakuja juu tena kwa ghazabu na kumsema ya kwamba anachochea udini,hana hoja,hana mantiki na weledi wa uandishi n,k,,swali kwao,lini wao walishaandika mandiko yao kisha wakayaleta mbele ya macho ya walimwengu wayapime na kuyafafanua kama alivothubutu kufanya moh' saidi??
Ukishajiuliza hivo utapata majibu ya wazi wazi juu ya wepesi wa hoja zao.
Victory won..!
Hiyo haitufanyi waislam kuwaambia wakiriston kwamba hii nchi sio yao peke yao. ni watz wote. ACHENI CHUKI NA DHARAU. KAMA MUMESOMA MUMESAIDIA NINI TAIFA? MBONA TAIFA MASKINI. RUSHWA INAJAA. HODUMA MBOVU ZA AFYA NA BARABARA?Wewe ni mdini tu, unatuchonganisha na udini wako, hebu anza kuwashauri ndugu zako waislamu wawapeleke watoto shule.
Kwani ''historia'' ya Mohamed imeandikwa kwa chama chake na familia yake?mv butiama;5527909]wakiristo watz wakisikia nyerere anasemwa vibaya wanalia? kunanini KATI YA nyerere na Kanisa hadi mutumie nguvu nyingi za kumtetea badala ya kuachia Chama chake na familia yake tu?
Hehee Picha ile ya kale ndio inaakisi leo kwa Kikwete na Ponda,
Leo angekuwa rais Mkristu naamini lugha a dhihaka kutoka kwa ndugu zetu ingekuwa haitazamiki wala kusomeka.
Leo mtu mhimu na rafiki. Mhimu wa Jakaya Kikwete yupo Segerea, na aliyemsweka huko ni huyohuyo aliyempigania aingie ikulu kwamgongo wa dini yao.
Vuta picha ya Nyerere, Abdu, Shehe Amir na wengine! Kisha unganisha toti.
Kwani ''historia'' ya Mohamed imeandikwa kwa chama chake na familia yake?
Nadhani unatakiwa ufunguke macho! Nyerere hatetewi kinachotetewa hapa ni hoja.
Ningekushauri uende mtaa wa pili ukacheze chandimu, waambie wenzako wasipige kelele maana tuna majadiliano hapa jamvini.
kwani ''historia'' ya mohamed imeandikwa kwa chama chake na familia yake?
Nadhani unatakiwa ufunguke macho! Nyerere hatetewi kinachotetewa hapa ni hoja.
Ningekushauri uende mtaa wa pili ukacheze chandimu, waambie wenzako wasipige kelele maana tuna majadiliano hapa jamvini.
be specific,unamtetea nyerere au unalitetea kanisa??,,
unamtetea kwa hoja za kejeli,au una mtetea kwa data zenye mashiko na facts zenye tija?
Hakuna mpiga kelele,usiwadharau wenzako na yeyote katika huu mnakasha,kuaza kuongea kwa lugha zenye ukakasi kias hiko ni ishara tosha ya kuishiwa kwa hoja na kuanza kuleta viroja,mnakasha hujadiliwa kwa hekma na kuheshimiana,toa hoja yenye ukweli,pokea majibu yenye tija.
akiguswa nyerere wakiristo hao. Kwanini tena. Si alikuwa rais wa tz na sio askofu? Kwani katajwa papa au kadinal hapa? Si mwalimu alietupeleka uganda katika vita vya kipropaganda?
hahahah. sasa kamuweka musseven hataki kuondoka tena madarakani.zipi,zile za kusema idd amin anakula nyama za watu?,
julius kwanin alikuwa akitamka kauili kama zile?je,hakuona mbali?
swala sio kuwanadi msingi ni kwann hawapo katika historia ya wapigania uhuru wakati walishiriki kwa kila ki2 chao kuhakikisha uhuru unapayokana. Usiwe mgumu wa kuelewa maada. Hajasema antaka kiwanadi anataka watanzania waelewe historia isivo timilifu.