Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Utizamwe kwa tahadhari kwasababu ya kauli zako, uchochezi na kuahidi usuluhishi utakaotokana na vita ya kidini na matamshi mabaya sana katika jamii (sijui kama nitaombwa ushahidi)

Nashukuru umekubali kuwa upo kujifunza na si kusomesha kama ulivyokuwa unasema hapo awali
Kazi ya mikono haikosi makosa kahiyo huna sababu za kutisha watu kwa reviews za ulaya, umeshasema ni ya mikono.

Matundu:
-Historia yako haikufuata kanuni za uandishi wa historia. Imeandikwa halafu matukio, nyakati,wahusika vikachomekwa.
-Masimuizi yako hayakufanyika kisayansi na kwa utafiti uliozingatia taratibu za utafiti bali utafiti wa ''infusion'' ya kaka yako mwenye PhD. Hakuna elimu ya infusion kuna elimu ya kusoma na katika utafiti hilo halipo.

-''Historia'' yako ililenga baadhi ya watu, matukio ya kuchagua na nyakati kama ilivyotokea
a)Kumshusha hadhi na kumdhalilisha Nyerere
b)Kuleta uchonganishi na imani zingine na hata kuwatenga wasioamini na wapagan
c)Kuwagawa watu kwa misingi ya imani na ukabila
d)Kujenga majina kwa gharama za watu wengine

-Kutokuwa na vithibitisho
a)Kuwahoji watu uliodhani wameonewa na kukosa sehemu ya pili ya waliodhulumu
c)Kutumia hisia ''inasemekana'' inasemwa, inadhaniwa, yawezekana kama vithibitisho vya tuhuma
d)Kuwatuhumu wakristo bila kuwa na ushahidi bali masimulizi ya siri baina yako na wazee wako waliojaa chuki kama wewe

- Kuficha ukweli
a)Ujio wa Mbuwane Sykes ulikusudia kuua wazalendo na msiba wake ulitokea akienda kuua Watanganyika
b)AA haikuwa mali ya K.Sykes na wala hakutoa wazo, yeye alikuwa mshiriki. Rais alikuwa Matola aliyejua anafanya nini
c)Nyerere alianza siasa kabla ya A.Sykes na alijulikana makao makuu kinyume na madai yako
d)Familia ya Sykes ilishiriki dhulma za mali ya chama kama nyumba iliyotolewa na gavana
e)Mchango wa Nyerere katika kuandika katiba ambayo haikuwahi kuandikwa tangu Mbuwane Sykes hadi Abdul Sykes
f)Nyerere alimshinda A.Sykes katika sanduku la kura mara zaidi ya moja kwa weledi
g)Michango kama ya Maryknol haikuonyeshwa kwasababu ya chuki za kiimani

h)Kifo cha AMNUT ni matokeo ya mifarakano, na ndio walioua EAMWS chini ya Sheikh Amir
i)Sheikh Amir aliendesha siasa majitaka nje ya chama,unafiki
ii)Aliwasaliti waislam kwa kukataa fursa ya kuwatumikia katika serikali
iii)Alihujumu pesa za makao makuu EAMWS na kupelekea chuki mikoani na kujitenga

Kuwagawa na kuwadharau Watanganyika
a)Kudharau jitihada za kwingineko kuhusu mapambano dhidi ya ukoloni
b)Kuifanya Tanganyika kama Narung'ombe na Kipata
c)Kuwafanya Wamanyema, Wazulu na Wanaubi kama wakombozi wa nchii hii(WWW)
d)Kuwapiga vita waislam kwa misingi ya AMNUT, ubara na (WWW)

Historia kuongoza ushawishi uliofikiriwa kabla ya historia
a)Madai yasiyo na ushahidi ya Namba za mitihani na Malima. Imehdihirika ni uzushi
b)Hotuba ya Nyerere ya kuaga, umeshindwa kutoa vielelezo vya chanzo cha matamshi uliyoyanukuu mwenyewe
c)Madai kuhusu ugaidi. Paper ya Ibadan iliandikwa kwa kunukuu bila kuangalia nukuu. Utafiti wa infusion. Uongo
d)Nyumba ya AA na TAA ilijengwa Jumapili, si kweli ilitapeliwa na kukarabatiwa jumapili na familia ya Mbuwane Sykes
e)Wamakonde wa Kipumbwi, umeshindwa kutoa ushahidi wa hilo kwa kuzingatia wakati tulio nao.

Kuwatenga Wazalendo wengine kwasababu ya Imani zao
a)Hukuwahi kumhoji Vedastus Kyaruzi hadi alipofariki hivi karibuni. Kyaruzi alikuwa kiongozi kabla ya Sykes katika siasa
b)Hakuna mahojiano na Kawawa hadi alipofarii hivi karibuni
c)Hukuwahi kufanya jaribio la kumhoji Nyerere bali ulisikia kupitia prof Othman
d)Mchango wa familia kama za Bomani haukuandikwa kama wa Mshume Kiyate na bi Farijala
e)Hukuwahi kumwelezea John Rupia zaidi ya Mshume au Idd Mwafongo kama si bi Mluguru

Kuiteka historia
a)Kuifanya historia kama ya waislam hata kama waislam wanaikataa kwa maneno
i)Abdul alisema(Mohamed)......ni kwa ajili ya ukombozi wa Mwafrika
ii)AMNUT walikataliwa na waislam wa Tanganyika
iii) Kutumia maneno sisi kuipa historia hisia zako na si za washiriki na matukio.

Kuchomeka ndoto zako kama historia
a)A.Sykes kuanzisha chama kwa fikra, katiba na mageuzi mengine yafanywe na Nyerere
b)A.Sykes hakushindwa uchaguzi mkali bai alimwachia Nyerere. Alishindwa na Nyerere katika uongozi wa TAA na TANU
c)Kumfanya A.Sykes Rais wa TANU. Hakuwahi kuwa Rais wa TANU hata sekunde moja
d)ASykes alikuwa Rais wa Tanganyika kuanzia Burma, hakuwahi kuwa hata mkuu wa Wilaya
e)Nyerere alichukiwa, Nyerere alipendwa kuliko kiongozi mwingine wa nyakati hizi na zilizopita
d)AMNUT watarudi kutawala, si kweli na wanapigwa vita na kila Mtanzania mwenye akili timamu.

Hii ni 1/100 ya sehemu ya matundu yasiyozibika kwa patex au super glue. Serious intellectual abuse,
Ningeendelea ngoja kwanza nifute machozi kutokana na hisia za uwezekano wa kizazi kijacho 'kunajisiwa'
Dah inatia uchungu sana!

-

Mkuu

Asante sana kwakushusha ukweli wa mambo!
 
Hizi ni kauri za wazee wachawi!
Ha ha haa .... eti waislamu ni wachawi na wanamajini msome huyu mgalatia au kamanda mwenzako mwenye imaani ya ki rastafari nyuma ya pazia la ukristo anavyo sema Yericko Nyerere

90% ya Wazungu ni Majini

Kwakutumia historia ya binadamu kibiblia, ukichambua kila uzao na sampuli zake unabainisha wazi hilo nilisemalo, japo laweza kuwa zito kwa wengine.
Kwa wale muaminio biblia mnaweza kukubaliana na mimi kuwa sababu kuu ya Mungu kuiangamiza dunia enzi za Nuhu, ni kutokana na wanadamu kumuasi mungu, maasi yalikuwa yakufuru hasa yakihusisha mwingiliano wa majini na binadamu, wanyama na binadamu nk na baada ya angamizo hilo, manusura walikuwa ni Nuhu, wanawe, mke wake, na kila kiume kibaya na chema aliviokoa mke na mme. Mwanzo 7:1-11
Hapa tunaona kuwa na majini yaliokolewa na Nuhu, Sasa tukirejea katika masimulizi yetu tunaona sasa baada ya Nuhu kuokolewa na safina, wanae watatu wakiume ambao tayari walikuwa wameoa (enzi za gharika) mmoja wao Yafethi alikuwa kaoa jini, wakati wawili Shemu na Hamu wao biblia inasema walioa mahali ambapo si chukizo mbele za Mungu. Mwanzo 10:1-7
Uzao wa wana wa Nuhu ndio unatupatia ukweli wa nikisemacho, kwanza tunaona kuwa wana wa Yafethi alieoa jini ni, Gomeri (Ujerumani), Magogu (Cambridge UK ), Madai (Hispania), Yavana (Italia), Tubali au Yunani (Ugiriki), Mesheki (Lebano) na Tirasi (Ufaransa), Mpaka hapotumeona uzao wenye ushirika na majini waYafethi
Sasa tuangalie uzao Hamu unaotajwa kuwa Mungu aliupenda na kuupa baraka tele, uzao huo ni Kushi (Ethiopia), Misri (Misri), Kanaani (Israel) na Putu (Libya)
Mwanzo 10:21-23 Tunasoma yakuwa wana wa Shemu ambe ni sehemu ya kipenzi cha Mungu, ni Elamu (Saudi Arabia), Ashuru (Syria), Arfaksadi (Kuweit), Ludi (Jordan), na Aramu (Qatar)
Mpaka hapo tumepata mwangaza kuwa uzao wa Yafethi wenye tokezo la majini/uovu ndio uzao wa mataifa karibu yote ya Ulaya. nauzao wa Hamu na Shamu ndio uzao uliopewa neema na muumba hii ni kwamujibu wa maandiko ya kiroho.
Kwamaandiko hayo tunaamini kabisa kuwa Mashariki ya kati, na Afrika ndio maeneo muhimu ambayo mungu aliwabarikia watu wake.
Hata ukitumia Kuruani takatifu hayo yote yanabainisha wazi kabisa.
Kwamsaada zaidi rejea Mwanzo 4:16-24, Ufunuo 16:13-15, Ufunuo 20:7-8, Ezekieli 27:12-14, Ezekiel 38:1-9
Kwakupanua wigo wa mjadala nje ya biblia hasa wale wenzangu waaminio Freemasonry ijapokuwa watetezi wake hupinga kuwa si ushetani/ujini, watambue kuwa uzao wa asili wa freemasonry ni Magogu (Cambridge UK) japo katika historia inasema ni Scotland UK
Haya ndugu zangu nawakaribisha katika tafakuri njema. Posted by ynyerere on September 23, 2012

Baada ya kusoma chunguza kizazi kipi ni cha kijini na kizazi kipi mungu alikipenda na kizazi cha shem ndicho kizazi cha waarabu ambacho wewe unakichukia na mwenzako aliyeleta huu uzi lakini biblia inasema kizazi hicho ni kipenzi cha mungu,kizazi cha Yafethi ndio kizazi cha majini na ndio nchi zote za ulaya kama alivyo nukuu mkuu Yericko kutoka kwenye biblia.
[
 
Maneno yako yoooooote hayana mafaa,

Najibu hilo la kwanza tu,

Kwanza nikujuze kuwa hakuna chuo cha Tanzania kinachotumia maandishi ya Mohamed Said kama rejea!

Hata kama Waziri wa elimu ya juu angekuwa Shehe Ilunga bado naamini hangeruhusu maandishi ya Mohamed Said yatumike vyuoni!

Ndiomana mahali sahihi pakupata kitabu cha Mohamed Said ni misikitini na sio maktaba za vyuo vya Tanzania hii!

Yericko.

nazidi kukusikitikia kwa sana kwa dhana yako ya kuona Tz ni mwisho na kusahau kuwa Tz ni sehemu ndogo sana katika Ulimwengu huu ambao ndanimwe kuna wasomi, vyuo vikuu mbalimbali ambavyo vinafanya research mbalimbali za Arrica na hata Duniya.

Jiulize ni University gani Duniyani waotumia Kitabu cha Uhuru wa Tanganyika kilichotungwa na Kivukoni kama REJEA? Kumbuka kuwa Tz sio kisiwa na kitabu kinachotungwa na nchi kitumike hapo hapo tu kama REJEA na kisitumike pengine popote pale hata kwenye African History. hayo ni mapungufu
.

na mapungufu yao ni pale kuanzia Nyerere na kumalizia Nyerere bila kutaja vonara na wawezeshaji wake katika kufikia historia iliyo ya kweli. Al habib Moh'd Said amepembua kwa kina sana na kutaja wale waliosahaulika na ndio leo tunawakumbuka na hata wengine nchi yenu sasa kuwatambua na hata kuwapa hishma zao stahiki.

Pole sana kumbuka Tz sio kisiwa bali ni sehemu ya Afrika na sehemu ndogo ya Dunia. Ili uweze jiongeza lazima upitia historia iliyo sahihi.
 
Ha ha haa .... eti waislamu ni wachawi na wanamajini msome huyu mgalatia au kamanda mwenzako mwenye imaani ya ki rastafari nyuma ya pazia la ukristo anavyo sema Yericko Nyerere

90% ya Wazungu ni Majini

Kwakutumia historia ya binadamu kibiblia, ukichambua kila uzao na sampuli zake unabainisha wazi hilo nilisemalo, japo laweza kuwa zito kwa wengine.
Kwa wale muaminio biblia mnaweza kukubaliana na mimi kuwa sababu kuu ya Mungu kuiangamiza dunia enzi za Nuhu, ni kutokana na wanadamu kumuasi mungu, maasi yalikuwa yakufuru hasa yakihusisha mwingiliano wa majini na binadamu, wanyama na binadamu nk na baada ya angamizo hilo, manusura walikuwa ni Nuhu, wanawe, mke wake, na kila kiume kibaya na chema aliviokoa mke na mme. Mwanzo 7:1-11
Hapa tunaona kuwa na majini yaliokolewa na Nuhu, Sasa tukirejea katika masimulizi yetu tunaona sasa baada ya Nuhu kuokolewa na safina, wanae watatu wakiume ambao tayari walikuwa wameoa (enzi za gharika) mmoja wao Yafethi alikuwa kaoa jini, wakati wawili Shemu na Hamu wao biblia inasema walioa mahali ambapo si chukizo mbele za Mungu. Mwanzo 10:1-7
Uzao wa wana wa Nuhu ndio unatupatia ukweli wa nikisemacho, kwanza tunaona kuwa wana wa Yafethi alieoa jini ni, Gomeri (Ujerumani), Magogu (Cambridge UK ), Madai (Hispania), Yavana (Italia), Tubali au Yunani (Ugiriki), Mesheki (Lebano) na Tirasi (Ufaransa), Mpaka hapotumeona uzao wenye ushirika na majini waYafethi
Sasa tuangalie uzao Hamu unaotajwa kuwa Mungu aliupenda na kuupa baraka tele, uzao huo ni Kushi (Ethiopia), Misri (Misri), Kanaani (Israel) na Putu (Libya)
Mwanzo 10:21-23 Tunasoma yakuwa wana wa Shemu ambe ni sehemu ya kipenzi cha Mungu, ni Elamu (Saudi Arabia), Ashuru (Syria), Arfaksadi (Kuweit), Ludi (Jordan), na Aramu (Qatar)
Mpaka hapo tumepata mwangaza kuwa uzao wa Yafethi wenye tokezo la majini/uovu ndio uzao wa mataifa karibu yote ya Ulaya. nauzao wa Hamu na Shamu ndio uzao uliopewa neema na muumba hii ni kwamujibu wa maandiko ya kiroho.
Kwamaandiko hayo tunaamini kabisa kuwa Mashariki ya kati, na Afrika ndio maeneo muhimu ambayo mungu aliwabarikia watu wake.
Hata ukitumia Kuruani takatifu hayo yote yanabainisha wazi kabisa.
Kwamsaada zaidi rejea Mwanzo 4:16-24, Ufunuo 16:13-15, Ufunuo 20:7-8, Ezekieli 27:12-14, Ezekiel 38:1-9
Kwakupanua wigo wa mjadala nje ya biblia hasa wale wenzangu waaminio Freemasonry ijapokuwa watetezi wake hupinga kuwa si ushetani/ujini, watambue kuwa uzao wa asili wa freemasonry ni Magogu (Cambridge UK) japo katika historia inasema ni Scotland UK
Haya ndugu zangu nawakaribisha katika tafakuri njema. Posted by ynyerere on September 23, 2012

Baada ya kusoma chunguza kizazi kipi ni cha kijini na kizazi kipi mungu alikipenda na kizazi cha shem ndicho kizazi cha waarabu ambacho wewe unakichukia na mwenzako aliyeleta huu uzi lakini biblia inasema kizazi hicho ni kipenzi cha mungu,kizazi cha Yafethi ndio kizazi cha majini na ndio nchi zote za ulaya kama alivyo nukuu mkuu Yericko kutoka kwenye biblia.
[

Ooooho asante sana mkuu kwakuleta hii kitu,

Japo sio sehemu ya mnakasha wetu, lakini inatupa changamoto za kupanua wigo wa fikra zetu!

Hasa kwasisi rastafaria na wengine tusio wafia dini!
 
Yericko.

nazidi kukusikitikia kwa sana kwa dhana yako ya kuona Tz ni mwisho na kusahau kuwa Tz ni sehemu ndogo sana katika Ulimwengu huu ambao ndanimwe kuna wasomi, vyuo vikuu mbalimbali ambavyo vinafanya research mbalimbali za Arrica na hata Duniya.

Jiulize ni University gani Duniyani waotumia Kitabu cha Uhuru wa Tanganyika kilichotungwa na Kivukoni kama REJEA? Kumbuka kuwa Tz sio kisiwa na kitabu kinachotungwa na nchi kitumike hapo hapo tu kama REJEA na kisitumike pengine popote pale hata kwenye African History. hayo ni mapungufu
.

na mapungufu yao ni pale kuanzia Nyerere na kumalizia Nyerere bila kutaja vonara na wawezeshaji wake katika kufikia historia iliyo ya kweli. Al habib Moh'd Said amepembua kwa kina sana na kutaja wale waliosahaulika na ndio leo tunawakumbuka na hata wengine nchi yenu sasa kuwatambua na hata kuwapa hishma zao stahiki.

Pole sana kumbuka Tz sio kisiwa bali ni sehemu ya Afrika na sehemu ndogo ya Dunia. Ili uweze jiongeza lazima upitia historia iliyo sahihi.

Ninathubutu kusema wazi kuwa kitabu cha TANU cha Kivukoni wewe hujakisoma kabisa!

Laiti ungesoma hata utangulizi tu usingesema hayo!

Nakushauri nenda kakisome kisha njoo tujadiliane!
 
Ninathubutu kusema wazi kuwa kitabu cha TANU cha Kivukoni wewe hujakisoma kabisa!

Laiti ungesoma hata utangulizi tu usingesema hayo!

Nakushauri nenda kakisome kisha njoo tujadiliane!

Mtajadili nini kutoka kwenye kitabu cha kivukoni?
 
Yericko.

nazidi kukusikitikia kwa sana kwa dhana yako ya kuona Tz ni mwisho na kusahau kuwa Tz ni sehemu ndogo sana katika Ulimwengu huu ambao ndanimwe kuna wasomi, vyuo vikuu mbalimbali ambavyo vinafanya research mbalimbali za Arrica na hata Duniya.

Jiulize ni University gani Duniyani waotumia Kitabu cha Uhuru wa Tanganyika kilichotungwa na Kivukoni kama REJEA? Kumbuka kuwa Tz sio kisiwa na kitabu kinachotungwa na nchi kitumike hapo hapo tu kama REJEA na kisitumike pengine popote pale hata kwenye African History. hayo ni mapungufu
.

na mapungufu yao ni pale kuanzia Nyerere na kumalizia Nyerere bila kutaja vonara na wawezeshaji wake katika kufikia historia iliyo ya kweli. Al habib Moh'd Said amepembua kwa kina sana na kutaja wale waliosahaulika na ndio leo tunawakumbuka na hata wengine nchi yenu sasa kuwatambua na hata kuwapa hishma zao stahiki.

Pole sana kumbuka Tz sio kisiwa bali ni sehemu ya Afrika na sehemu ndogo ya Dunia. Ili uweze jiongeza lazima upitia historia iliyo sahihi.

Swadakta kabisa...!
 
Lady Alaska,

Mnakasha bado mpichi wala usihofu.

Hapa sisi tutakaa hata miaka tunafanya promo kitabu sasa hivi kitatafutwa kila kona ya Tanzania.

Unadhani bila JF tungepata wapi nafasi ya kuweka wazi Wazee wetu wa Mzizima.
Sweet Ritz mbona waenda kinyume na maadil ya ilm,kwa kunibambikia jinsia isio yangu??? anyway tashukuru japo kiduchu kama utamuuliza Mohamed Said ile baiskeli ya said chamwenyewe ilikuwa Raleigh,swala au chopper????
 
Last edited by a moderator:
Kila siku nakuambia unata tatizo kubwa kwenye ubongo, kwa hiyo wewe pamoja na kujitapa msomi unaamini utamaduni wa mwafrika ni kutembea uchi?

Uchi ni perception ..sasa kama nyie dada zenu, mama zenu , mabinti wenu na wake wenu...huwa mnawaona uchi ni ahadi uso....ni vipi nitakuelimisha kuwa tatizo lipo ktk desires zenu zisizo na mipaka ktk mafundisho.
 
Ndiyo maana nakuambia tatizo lako la Neurologically pamoja na Energetically linazidi kuharibu ubongo wako, unatatakiwa kwenda kufanyiwa upasuaji uchi hauwezi kuwa Perception.

Ingekuwa ivyo kwa nini huwa hauendi kwenye maandamano ya Chadema huku umevaa bikini unavaa magwanda?

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
hizi ni nondo haswaa zitasaidia katika shule yangu lakini hapa Abu Jahl Ritz amevaa miwani ya mbao na pamba masikioni hasikii wala haoni pamoja na ndugu yake Ahsanta basi hawana hata akili ya ku reasoning we mtu unaambiwa mtu alitoka kwa baiskeli Dar hadi Rufiji kugawa kadi za Tanu mtu unaamini tu...

Ndio mambo yale yale ya Jamaa aliyetoka Geita kwa baiskeli hadi Magogoni Dar es salaam kuja kumpa hongera JK kwa kushinda uchaguzi...

Shule kama hii ni muhimu kwa ajili ya kujifunzia logic...

Mkuu wa hicho Chuo au Skuli,

Ndugu yangu mbona kila siku wazidi kunitomasa. Najaribu mno kugara kimya,lakini hunishi ndo nini kunifanzia vitimbi mbele ya kadamnasi kila kukicha!?

Au wewe Muungwana mwenzangu wanitafutia kisa ili unitukane na kunanzishia malumbano na kebehi ziso khatima!?

Kwa tabia na dasturi zako, nakhis lazim wewe utakua ni Msomi mkubwa mno na labda pia ni Mwanasayansi au Mtafiti wa hali ya juu hapo/huko ulipo...sasa yanini kujitafutia malumbano na kutaka kujivunjia hishma yako kwa mtu mbumbumbu kama mimi,nisojua na wala sijawahi kuyasikia au kujua maana ya maneno yenu matukufu mpendayo kutumia saana kila mara hapa Jamvini na kututishia nayo... Philosophy,Reasoning au Logic!?ahahaa!!

Tafadhali ndugu yangu,nakusihi tuienzi staha yetu palepale na tuheshimiane japo kiduchu. Ningekushauri mazungumzo yenu na nduguyo Shariff Ritz,malizaneni tu baina yenu!?

Kama unakhis labda anakuletea "ile michezo" ya kina Father Cunningham,basi nijuze kwa haraka nami tamsema kwa utuvu!

Hivi ndugu yangu Mkuu wa Chuo,katika hicho kijitabu cha Sheikh Mohammed hakuna chochote au lolote jingine lilokustaajabisha zaidi ya hiyo safari adimu ya Muungwana Mwanaharakati Al Marhum Said Chamwenyewe!?

Unafahamu Watanzania wengi mpaka leo bado wanaamini na kuienzi ile myth ya kipumbavu ya kwamba ati Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa" alitembea tokea Arusha mpaka D'Salaam kwa miguu!?ahaha!!

Kama hizo miwani za mbao,mbona kila mmoja wetu hapa jamvini ana yake kibindoni! Au hujasikia khabari mpya toka kwa ndugu yetu Yericko yakuwa Wazungu woote ni Majini na wamelaaniwa!?ahaha!!

Niwie radhi kama unakhis kuna chochote nimenena,nawe labda hukupendezwa nacho.

Nakutakia burudani na sharaha uzipendazo kunako mchana huu mtukufu tulojaaliwa na Mola wetu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
Sweet Ritz mbona waenda kinyume na maadil ya ilm,kwa kunibambikia jinsia isio yangu??? anyway tashukuru japo kiduchu kama utamuuliza Mohamed Said ile baiskeli ya said chamwenyewe ilikuwa Raleigh,swala au chopper????

Lady Alaska,

Maadili yapi tena? Futa basi hiyo avatar yako nani huyu kwenye avatar siyo lady?

Umeishawahi kusikia Nyerere alitembea kwa miguu kutoka butiama mpaka mwanza, ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Au tuwaulize maandishi yale yametoa suluhisho gani??

Kwa maana hapa wanadai ya kwamba maandishi ya Moh Said hayana suluhu wala ufumbuzi wowote,ndio tunawauliza kwani hayo ya kivukoni yana ufumbuzi gani??

Daruwesh THE BIG SHOW,

Nimempa challenge Yericko Nyerere, hajui masikini hata kitabu cha kivukoni kimeandikwa mwaka gani wala haujui kimendikwa na kina nani, ha haa ha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa Chuo,
Najua unapata tabu kuamini kuwa Said Chamwenyewe akisafiri kwa baiskeli
kutoka Dar es Salaam hadi Rufiji akiuza kadi za TANU njiani katika vijiji kama
vile najua itakuwa tabu kwako kuamini kuwa na hizo fedha akipata alikuwa
akiziwasilisha ka mweka hazina wa TANU Iddi Faiz Mafongo bila ya yeye kutoa
hata senti moja kwa matumizi yake binafsi.

Hali kadhalika najua itakuwa tabu kwako kuamini kuwa Rashid Ali Meli bila ya
kumshauri yoyote alichukua fedha kwenye safe ya ofisi yake Dar es Salaam
Municipal Council akampelekea Iddi Faizi Mafongo ili atunishe mfuko wa safari
ya kwanza ya Nyerere UNO 1954.

Na kuna mengi ukiwekewa hapa utapata shida sana kuamini.
Nilieleza hapa kuhusu kabati la fedha la Abdu Sykes na watu wengi wakakebehi.

Lakini wenyewe wana TAA/TANU wanajua kuwa Abdu alikuwa ni mmoja wa wafadhili
wakubwa wa harakati kuanzia 1950.

Wazungu wanasema aki-bankroll na hakuna katika viongozi wa wakati ule katika
TAA/TANU ambae hakula fadhila za Abdu.

Ikutoshe tu wana TANU hawakuona nyumba ambayo Nyerere anaweza kukaa kwa
raha bila matatizo isipokuwa nyumbani kwa Abdu Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuu.

Leo nyumba hiyo ya kihistoria marehemu Ally Sykes amejenga jigorofa kubwa.
Hakika ndugu yangu Mkuu wa Chuo shule kama hizi ni muhimu kwa kujifunzia logic...

Mohamed Said unapiga sana tori zilizo nje ya huu mjadala....mengi huyaongeayo hayana mchango kabisa, wewe unadhani yatainua profile yako hapa...

HEMBU CHANGAMKA FAFANUA KTK RED KUNA SIFA GANI KWA HUYU MTU UNAYEMFAGILIA HAPA.
 
Ndiyo maana nakuambia tatizo lako la Neurologically pamoja na Energetically linazidi kuharibu ubongo wako, unatatakiwa kwenda kufanyiwa upasuaji uchi hauwezi kuwa Perception.

Ingekuwa ivyo kwa nini huwa hauendi kwenye maandamano ya Chadema huku umevaa bikini unavaa magwanda?

CC: gombesugu,

Wewe kichwa maji kabisa..unzidi jiabisha..Wamasai na makabila mengine akina mama wanaishi maziwa yapo ,wahindi matumbo na migongo nje, ila watu waoa hawana shida.Hata mjini watu wanaoga ktk public pools/beach wakiwa na hizo bikin na hakuna mtu anawaita wapo uchi...hapoa si suala la uchi ila ni suala la kutokea sehemu isiyo sahihi.Na hivyo watu,hupata mtazamo tofauti ktk sehemu walizotegemea kitu tofauti.

Mbona wapo akina dada kibao tuu wamefunika hadi uso "....uchi mwingine wenye macho..",ila wamechomekemea hema ktk chupi,au wengine wameshikilia hema huku wamebana makalio ?Hao ndio wanaonyesha utupu wao kwa kutumia nguo.
 
Au tuwaulize maandishi yale yametoa suluhisho gani??

Kwa maana hapa wanadai ya kwamba maandishi ya Moh Said hayana suluhu wala ufumbuzi wowote,ndio tunawauliza kwani hayo ya kivukoni yana ufumbuzi gani??

The Big Show,

Salaam Al Akhiy.

Ndo nachungulia kwa utuvu asubuhi hii ile mipini yenu na bayana zenu adimu na Shariff Ritz, mloziteremsha jana baada ya Salat Al Ishai.

Nimecheka kiduchu ulipomwambia ndugu yetu Maika nafikiri,yakuwa huo ufumbuzi toka kwa Sheikh Mohammed kwani yeye anafanza mradi/utafiti wa Malaria!?ahaha!!

Nakhis ukiangalia kwa utuvu haya majambo,ni kinyume cha matarajio ya wengi mno khasa huyo Yericko&Co. Yaani huu mnakasha/mjadala pia umesaidia mno kuondosha kabisa ile Credibility(kama iliwahi kuwapo) ilokua inapewa ile Historia ya Kivukoni.

Nafikiri kwa Sheikh Mohammed,yeye amepata jukwaa zuri na jingine zaidi la kutambulika nchini na kuzidi kusomesha.

Wanajamvi wengi mno hapa ambao pamoja na kukiri kwao yakuwa hawakubaliani na baadhi ya vitu/maandiko ya Sheikh Mohammed...lakini nafikiri kwa mara ya kwanza wamejikuta wanakumbana na vitu adimu toka kwa Sheikh Mohammed,na wao wenyewe kukiri kwa mapana bila ya kulazimishwa/kuhimizwa na yeyote,yakuwa Historia ya Kivukoni ni utumbo na uozo mtupu...na sio tu yakuwa ina matundu mengi mno, bali ile ina mashimo na mahandaki mengi mno!

Nastaajabu,huyo Yericko hiyo kesi yake ya "Uchochezi,Uhaini na Ugaidi" dhidi ya Sheikh Mohammed alitakiwa ende akawafungulie wale mazumbukuku na Wachochezi wa amani ya nchi waloandika ule utumbo wa Kivukoni!?

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Back
Top Bottom