Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ndugu yangu,

Unapoteza mda wako bure, unahitaji chanzo gani wakati mimi ndie nimeleta hapa hayo maelezo?

Kama hukubaliani nayo jenga hoja kutokana na maelezo hayo ndugu, au pishana nayo tu usisumbuke!

Hakuna anayesumbuka hii ni forum lazima usema umeyapata wapi kama umeyaleta wewe ndiyo watu wasihoji? hapana kumeza ngano ni marufuku hauwezi kuokota maneno mitaani kisha unaleta JF watu wameze tu.

If they are upset with the Almighty's distribution, then how can we expect them to be pleased with us?

CC.. gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Umeshikwa na kigugumizi cha ghafla. Ukweli ukidhihiri...

Zomba

Hutaki kujua kikao cha machifu mwaka 1958 kilichoitishwa na Gavana Twining pale Mzumbe na kilichopelekea Chifu Marealle kwenda UNO?

Hata ukiwa mpuuzi jitahidi kuomba kujua mambo ili ufanye upuuzi wako kitaaluma mkuu!
 

Hapana haja ya kubishana, jenga hoja kwa yale niliyokupeni au omba nikupe mengine zaidi,

Nina hazina kubwa ya historia ndugu, siishii Kipata na Mkunguni au historia ya Mzizima tu, naiangaza dunia kwa mapana na marefu ya ncha kali!

Narudia kukuambia Waamerika hawakukurupuka katika makutano yangu, walizama kitafakuri!
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

Wala mie sibishani na wewe nahoji tu haya maamdiko umeyapata wapi, halafu maswala ya Wamarekani mimi sina haja naya mimi nipo na wanaukumbi utufahamishe hizo habari umezipata wapi?

Wanaukumbi huyu jamaa ana jisifia kwa Wamerekani hapa chini tena anawashambulia... ha haa haa gombesugu, upo kaka.
Ha haa haa, huyu balozi ndiyo anachapa kitabu chako cha ugaidi, na kujisifia kupewa mialiko pentagon, teh teh teh labda mialiko ya Mputu.
 
Last edited by a moderator:
Zomba

Hutaki kujua kikao cha machifu mwaka 1958 kilichoitishwa na Gavana Twining pale Mzumbe na kilichopelekea Chifu Marealle kwenda UNO?

Hata ukiwa mpuuzi jitahidi kuomba kujua mambo ili ufanye upuuzi wako kitaaluma mkuu!

Huna ulijualo, naona unahangaika, mfadhili wa Nyerere kwa mtazamo wako. Kwi kwi kwi kwi teh teh.

Kwanza tuletee hotuba uliyoahidi na vipi ulishaonana na Chifu?

Hiyo kwenye nyekundu ndio lugha muijuwayo mkishikwa pazuri.
 
Jasusi
Ukimchukia mtu basi lawama zote zinamwendea yeye hata kwa mambo ambayo mtu huyo hakuhusika moja kwa moja. Kama ume-note ni kuwa njaa ya mwaka 1974 imehusishwa zaidi na Nyerere na siasa zake licha ya kuwa ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na ukame ambao ulikumba ukanda huu. Pia kumbuka miaka ya 99 mpaka 2000, mataifa ya magharibi kwa chuki zao kwa Mugabe yalisema njaa zimbabwe ni kutokana na sera zake za utaifishaji wa ardhi. Lakini wakati huo huo njaa malawi na zambia na msumbiji walikuwa wanasema inatokana na ukame ambao pia uliikumba zimbabwe-(HAPO NI CHUKI KWA MUGABE).

Sasa kuliwa na simba miaka hiyo watasema ni kwa sababu ya Nyerere, mbona mpaka leo watu wanaliwa na simba?
T-E-M-B-E-A Tanzania: Mnakumbuka yule simba mla watu wa Rufiji?
Mtu akiliwa na simba wakati wa Nyerere ni sababu ya Nyerere-(HAPO NI CHUKI KWA NYERERE). Akiliwa wakati huu ni sababu ya nani?
Ni watu hao hao ukiwaambia mwarabu alifanya utumwa afrika mashariki, wanamtetea mwarabu kwa hoja za tiangular slave trade iliyofanywa na wazungu -(HAPO NI CHUKI KWA MZUNGU NA MAPENZI MAZITO KWA MWARABU)
 
Last edited by a moderator:
ni kweli huwezi kuelezea historia ya nchi hii bila kuhusisha dini hizi mbili hata hivyo si haki hasa kwa vizazi vijavyo kutoa picha kwamba dini fulani wamepuuzwa kuhusu historia ya nchi hii. nijuavyo nchi haiwezi kutokea ikaja kuwa ya dini moja na kwa sababu hiyo fungamano kama hili yafaa lipuuzwe!
 
Ha ha haa Ritz huyu jamaa ana ugonjwa unaoitwa "Amnesia" ugonjwa mbaya sana ntakupa kisa kimoja kinachofanana na mambo anayoyafanya huyu jamaa,Kuna jamaa mmoja alikuwa anamakengeza na kasuku wake anamakengeza sasa jamaa akawa anamuingiza kasuku kwenye banda lake akajua amemuweka ndani kumbe amemuweka nje na kasuku namakengeza yake badala ya kukimbia kwingine akakimbilia ndani ya banda!!!!!!!!!!
Cc.Nguruvi
 
WildCard,

Hakuna anayemchukia Nyeyere tunaeleza tu mapungufu yeke hata mwenyewe anakiri msome hapa chini.

Ritz,
Hicho kipande ulichotuwekea kuhusu kufeli kwa Nyerere ningependa kujua mwandishi wake. Ila nina hakika 100% Nyerere hajawahi kusema "Nimefeli. Tukubali hivyo." Hayo maneno amepandikiziwa na waandishi wa nje. Nakumbuka katika mahojiano mwaka 1985 na Africa Report, mwandishi kila mara alikuwa anamrudisha kwa failure ya socialism in Tanzania. Mwalimu alimjibu, "if socialism failed, it is a unique failure." Akaendelea kutaja mafanikio ya ujamaa Tanzania. Ni point ndogo tu lakini ni muhimu sana. Mwalimu hakuwahi kusema hadharani kuwa nimefeli, tukubali hivyo.
 
Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
Leo ni miezi 6 tangu tuwepo hapa!

Ingawa kule nyuma ya uzi huu ulininukuu tofauti lakini haina neno,

Nipo hapa masaa 24,

Namba yangu ya simu ni +255 715 865 544,

Barua Pepe ni yerickonyerere@gmail.com


Naishi Kigamboni- Mbutu,

Ofisi yangu ipo Posta Mtaa wa Samora, jengo la Coronation

Karibu KaKa

Bahati nzuri jana nimeongea na Sophia na nimemkaribisha afike nyumbani kwangu!
 

Jasusi

Thanks a lot,nimekusoma vyema
 
Last edited by a moderator:
Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.

Andrew Nyerere,

Ukimaliza kufanya uchunguzi tufahamishe.

Maana kuna watu humu wanapigwa ban kila siku kuhoji kama Yericko ni mtoto wa Julius Kambarage.

Hivi ile Land Rover yako uliokuwa unaikimbiza zamani mitaa ya Dar es Salaam bado ipo..teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Andrew Nyerere,

Ukumaliza kufanya uchunguzi tufahamishe.
Ritz,

Ndug yangu hata uchunguzi huo mi sina haja nao kbs,

Me nimetosheka kabisa na hilo alilolisema brother adrew Nyerere,

Kama yeye amekiri kutomfaham sembuse huyo aliemuagiza??

Aibu kubwa hii inamkumba yericko mdandia nasaba za watu...

Yeye alidhani kwa style hiyo anaweza kupata status??

AMEFELI KABISA KWA HILO....
 
Last edited by a moderator:
Inaonesha hata mtiririko wa majibu yako huujui. JF is never boring - Courtesy, The Boss

Yaani huniangushi.....kila nikitegemea kupata next posting ya kipuuzi huwa,unaileta.Sasa maswali una mjua fulani...nijibu ndio au hapana..na wewe uniambie ni fulani..sasa inasaidia nini?Ni kwa chekechea au watoto wa primary wanapojifunza vitendawili na terminologies.
 
The Big Show, Ritz, Zomba na wengine,

Naona hilo suala la mimi ni mtoto wa nani linawasumbua sana!

Sijajua tatizo kwenu nini hasa, kinachowakera ama kuwafurahisha!

Tangu tuanze mjadala huu sija KANUSHA wala KUKUBALi kile mnachokihoji na ambacho mngependa nyinyi niseme,

Kwabahati mbaya au nzuri wengi mmeninukuu pale niliposema, "mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi"

Lakini nitarudia tena kusema wapigania uhuru wote kwangu ni wazazi wangu, tena ni wazazi hasaaa!



Nisingependa kuenda ndani zaidi kwakuwa hili ni suala binafsi na linatutoa nje ya mjadala huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…