Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cha 150 kamili....kawaambie wenzako kuwa ufunuo wako ni wa kweli na umetoka kwa allah n ahuo ndio ushahidi.
Ndugu yangu,
Unapoteza mda wako bure, unahitaji chanzo gani wakati mimi ndie nimeleta hapa hayo maelezo?
Kama hukubaliani nayo jenga hoja kutokana na maelezo hayo ndugu, au pishana nayo tu usisumbuke!
Umeshikwa na kigugumizi cha ghafla. Ukweli ukidhihiri...
Hakuna anayesumbuka hii ni forum lazima usema umeyapata wapi kama umeyaleta wewe ndiyo watu wasihoji? hapana kumeza ngano ni marufuku hauwezi kuokota maneno mitaani kisha unaleta JF watu wameze tu.
If they are upset with the Almighty's distribution, then how can we expect them to be pleased with us?
CC.. gombesugu,
Yericko Nyerere,Hapana haja ya kubishana, jenga hoja kwa yale niliyokupeni au omba nikupe mengine zaidi,
Nina hazina kubwa ya historia ndugu, siishii pata na mkunguni au historia ya Dar tu, naiangaza dunia kwa mapana na marefu ya ncha kali!
Narudia kukuambia Waamerika hawakukurupuka katika makutano yangu, walizama kitafakuri!
Ha haa haa, huyu balozi ndiyo anachapa kitabu chako cha ugaidi, na kujisifia kupewa mialiko pentagon, teh teh teh labda mialiko ya Mputu.Sikubaliana hata chembe na hoja za balozi Alfonso Lenhardt
Huu ni ulaghai wa kifikra wa USA kama walivyozoea,
Kibaya zaidi watawala wetu nao wanavimba vichwa kwa kusanifiwa kizandiki!
Tanzania sio mfano wa utawala bora barani Afrika kama asemavyo balozi Alfonso Lenhardt
Juzi tu ripoti ya UN imeleza kuwa Tanzania imeingia kwenye nchi kumi bora duniani kwa ukiukaji wa haki za binadamu ikiwemo haki ya waandishi wa habari,
Halafu leo anatokea mumiani mmoja kama USA awasifu watawala nao wakakenua meno bila kujua resource zetu zinateketea!
Zomba
Hutaki kujua kikao cha machifu mwaka 1958 kilichoitishwa na Gavana Twining pale Mzumbe na kilichopelekea Chifu Marealle kwenda UNO?
Hata ukiwa mpuuzi jitahidi kuomba kujua mambo ili ufanye upuuzi wako kitaaluma mkuu!
JasusiGombesugu,
Nimekusikia ndugu yangu. Lakini niongeze kiduchu tu. Siyo sisi ndugu zake tuliyoitupa TANU na CCM iliyoanzishwa naye. Kama unakumbuka hata yeye aliwahi kusema kuwa CCM si mama yake. Waliomwangusha Nyerere ni hawa viongozi wa sasa wa CCM ambao wanaona kujilimbikizia mali ni tija na kusahau misingi ya umoja na mshikamano wa wafanyikazi na wakulima wa Tanzania ambao leo CCM inawageuza kuwa watwana wa wawekezaji na waporaji wa mali zetu. Ningesema mengi lakini kwa sasa hayo yanatosha kabisa. Angalia yanayotokea Mtwara.
Ha ha haa Ritz huyu jamaa ana ugonjwa unaoitwa "Amnesia" ugonjwa mbaya sana ntakupa kisa kimoja kinachofanana na mambo anayoyafanya huyu jamaa,Kuna jamaa mmoja alikuwa anamakengeza na kasuku wake anamakengeza sasa jamaa akawa anamuingiza kasuku kwenye banda lake akajua amemuweka ndani kumbe amemuweka nje na kasuku namakengeza yake badala ya kukimbia kwingine akakimbilia ndani ya banda!!!!!!!!!!Yericko Nyerere,
Wala mie sibishani na wewe nahoji tu haya maamdiko umeyapata wapi, halafu maswala ya Wamarekani mimi sina haja naya mimi nipo na wanaukumbi utufahamishe hizo habari umezipata wapi?
Wanaukumbi huyu jamaa ana jisifia kwa Wamerekani hapa chini tena anawashambulia... ha haa haa gombesugu, upo kaka.
WildCard,
Hakuna anayemchukia Nyeyere tunaeleza tu mapungufu yeke hata mwenyewe anakiri msome hapa chini.
Ha ha haa sawa kabisa mkuu muereze aerewe dah umeifanya siku yangu iwe burudani kabisa huku na pata kahawa na tende:clap2: :clap2::clap2:Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
Leo ni miezi 6 tangu tuwepo hapa!Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
Gombesugu,
Nimekusikia ndugu yangu. Lakini niongeze kiduchu tu. Siyo sisi ndugu zake tuliyoitupa TANU na CCM iliyoanzishwa naye. Kama unakumbuka hata yeye aliwahi kusema kuwa CCM si mama yake. Waliomwangusha Nyerere ni hawa viongozi wa sasa wa CCM ambao wanaona kujilimbikizia mali ni tija na kusahau misingi ya umoja na mshikamano wa wafanyikazi na wakulima wa Tanzania ambao leo CCM inawageuza kuwa watwana wa wawekezaji na waporaji wa mali zetu. Ningesema mengi lakini kwa sasa hayo yanatosha kabisa. Angalia yanayotokea Mtwara.
Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
Ritz,
Inaonesha hata mtiririko wa majibu yako huujui. JF is never boring - Courtesy, The Boss