Leo ni miezi 6 tangu tuwepo hapa!
Ingawa kule nyuma ya uzi huu ulininukuu tofauti lakini haina neno,
Nipo hapa masaa 24,
Namba yangu ya simu ni +255 715 865 544,
Barua Pepe ni yerickonyerere@gmail.com
Naishi Kigamboni- Mbutu,
Ofisi yangu ipo Posta Mtaa wa Samora, jengo la Coronation
Karibu KaKa
Bahati nzuri jana nimeongea na Sophia na nimemkaribisha afike nyumbani kwangu!
Yericko,
Mambo ya upo hapa miezi sita, ofisi yako ipo posta, unaishi Mputu, wala haihusu.
Familia ya Kambarage wanataka kujua Butiama unakaa sehemu gani?
Ha ha haa Ritz huyu jamaa ana ugonjwa unaoitwa "Amnesia" ugonjwa mbaya sana ntakupa kisa kimoja kinachofanana na mambo anayoyafanya huyu jamaa,Kuna jamaa mmoja alikuwa anamakengeza na kasuku wake anamakengeza sasa jamaa akawa anamuingiza kasuku kwenye banda lake akajua amemuweka ndani kumbe amemuweka nje na kasuku namakengeza yake badala ya kukimbia kwingine akakimbilia ndani ya banda!!!!!!!!!!
Cc.Nguruvi
Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
The Big Show, Ritz, Zomba na wengine,
Naona hilo suala la mimi ni mtoto wa nani linawasumbua sana!
Sijajua tatizo kwenu nini hasa, kinachowakera ama kuwafurahisha!
Tangu tuanze mjadala huu sija KANUSHA wala KUKUBALi kile mnachokihoji na ambacho mngependa nyinyi niseme,
Kwabahati mbaya au nzuri wengi mmeninukuu pale niliposema, "mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi"
Lakini nitarudia tena kusema wapigania uhuru wote kwangu ni wazazi wangu, tena ni wazazi hasaaa!
Nisingependa kuenda ndani zaidi kwakuwa hili ni suala binafsi na linatutoa nje ya mjadala huu!
MS akikimbia akimbie tuu....kwani km ameskip maswali karibu yote anategemea nini?Anataka blackmail nani sasa hapa?Unasusia mtihani ambao hujajibu hata moja kwa usahihi...tofauti na watoto wanaonadika bongo fleva halafu wazazi wao kwa misingi ya uchochoezi wa MS wanatoka povu..?Ahsante kwa mfano mzuri wa kuonyesha effects za uchochoezi wake.Responsible ya kumfukuza MS katika huu mjadala ataibeba Nicholas! mimi humjibu tu pale alipo na shaka napo kuhusu dini yangu.
Nilishakuambia tokea mwanzo kuwa usiingilie usivyovijua!
Suala hapa si kwamba sijui enzi ya muhamadi fatwa zilitolewa ua lah...ila kilichotolewa kwanini hakikuwa tayari ktk sheria za kiislam?Na fatwa ni mambo ambayo wanazuoni wengine wanaweza pinga...kuna tofauti ya sheria inayoruhusu sheria ndogo ndogo na Sheria ndongo ndogo zilizotungwa chini ya hiyo sheria.Yaani sheria za manispaa husika zinaweza wekwa na kutewa kila mara halmashauri zinakaa, na mara nyingine wanaweza kuja gundua kuwa sheria nyingine ni makosa.....fatwa nazo zina sura km hiyo...Una maana Waislamu wa mwanzo Sahaba na Taabiin hawakutoa Fatwa?!
Vipi Hadith za Mtume SAW kuhusu Mufti anapojitahidi kutoa Fatwa?Si kila Sheikh ni Mufti!
moja tuu?hii hapa: FatawNitajie Fatwa moja tu aliyoitoa Osama.. maneno yake karibu yote yanaegemea Sheikh fulani kasema halafu yeye huyafanyia Qiyaas (analogy)
huyu ndiye mwendawazimu wenu km kigngwala badala ya kufanya udactari hata kama alidesa na kupewa anakwenda ktk dini:Msikilize dr.Naik Zakir:Umedai kuwa Waislamu wamedanganya watu kuwa evolution ipo kwenye Quran, nitajie.
Yebamoth 59b. A woman who had intercourse with a beast is eligible to marry a Jewish priest. A woman who has sex with a demon is also eligible to marry a Jewish priest.Zilete hizo Aya.
Gittin 69b. To heal the disease of pleurisy ("catarrh") a Jew should "take the excrement (KINYESI) of a white dog and knead it with balsam, but if he can possibly avoid it he should not eat the dog's excrement as it loosens the limbs."
Anataka aje kulipua?...pia ajue familia ya Nyerere wapo very smart...asitegemee majibu ya kusatisfy adrenaline na testosterone zake.Ila jibu la wenye akili.Kwa waliowahi angalia Interview na mwanafamilia yeyote...atajua..hii familia imekomaa..Na ukimya wao..ni kwa vile wanaamini.."At every moment there is only one president"Ritz
Mbona una akili fupi sana? Hapo uliponinakili nimetaja mpaka mtaa ninaoishi laki bado unahoji Butiama naishi wapi?
Nimeshasema suala hili sitalizungumza hapa tena naomba unielewe!
Jadili mada iliyopo ama umeshindwa kalale!
Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
Wakuu Nicholas na Sadeeq
Ninawaomba msitoke nje ya mada,
Tutulie kwenye Historia ya Tanganyika na mapito yake,
Tukiingiza mijadala ya dini itatutoa uwepo wetu hapa!
Tuendelee ndugu zangu!
mkuu-Nimejaribu sana kuangalia kwanini kunakuja mabo ya dini sana..nikagundua hata upotoshaji wa huyu MS ulibase kwenye kwenye dini, hata zaidi ya siasa na competition ya makundi mbalimbalia ya jamii za kitanzania kulikopelekea wengine kuachwa na wengine kujenga hila na uchochoezi badala ya kupambana.
Hata ukiangalia salamu zao na kila wakisema ni dini tupu+uarabu.Ni katika fikra za kidini hawa jamaa ndipo wanapotoka na kujisukuma ktk nafasi ambayo si ya kushirikiana na wengine.
Ni katk kujitenga kwao ndipo waisala hujichuja na kubaki nyuma...ila ktk kushirikiana wangeshiriki mazuri mazuri ya wengine na wangekwenda pamoja.
Nilikuwa najaribu tuu kuwaonyesha kuwa si kwamba hatuijui dini yao, na si kwamba tunataka ijadili, na hivyo wasi vutike tublackmail kwa kauli za mara kwa mara..."mara oh mnauchukia uislam, mara Nyerere aliupiga vita, mara sijui uislam ni ukweli, mara sijui waislam nini na nini".
nicholas has nailed it.post yake ni epic and pure scientific.ninamashaka kama wewe na ritz mmemuelewa/mtamuelewa.lolNature ndio nini hebu tufafanulie kwasababu umetutajia vitu vitatu hapo nilipo bold red sayansi,mungu wa waislamu na nature!
Mbona unaanza omba msaada tuta km mlemavu...huku ukitaka jipa profile kwa kujifagilia..jibu hoja ili watu wauone huo usomi...watu hawana buda wa blah blah....sasa wewe msomi bado blah blah..na kulalamika km JK,wale wengine makuli wastaafu wacheza bao nao hulalamika tuu na si watendaji..sasa huoni kwanini kundi lenu ni la failure..?sasa pamoja na wingi wenu, na kuweka vitu vingi bado hakuna aliyejibu chochote..nidedications na kulalama tuu....sasa JF wawasaidiaje?Acha unafiki na uzandiki...hii ndio furaha yako na mission yako inakamilika! Usifikiri sisi ni wapuuzi wenzio,kumbuka unazungumza na Wasomi wengi na Manguli waliobobea kwenye fani zao wengi tu hapa jamvini...wengi wao hutopata/usingepata fursa ya kuwaona au kukutana nao maishani mwako.!
Mwache Nicholas aendelee tu,kwani kafanza kosa lipi!?...wewe pia endelea na yoote pia huna kosa ufanzalo.
Sikumlaumu Nyerere hata kama nilisema alikosea..kukosea kuna kwa kukusudia, na kuna kufanya makusudi...km MS pia atakvyohukumiwa hapa kwa kutopotosha makusudi km si kujidanganya au kutojua.Mnatusaidia mno kila tunapokusomeni.
Kumbuka huyo Nicholas,alifungua ile Thread yake nyingine ya kumlaumu Nyerere kwanini alijiunga na "Chama cha Waislamu/wa Mwambao" kama alivyokiita TANU.
Famili tree ya marealle ilikuwa armed na wakoloni kusaidi kupiga mangi wengine, na hata kuchaguliwa kuwa mangi mkuu ni kama Jk alivyoslove issue ya Kashilila na Mbatia...Ahmed Rashid na CUF...CCM haikutambua adhabu za hao wabunge..kwa vile walijuwa mapandiki yao yapo hatarini na wakaamua jaribu geuza game.Pia alikua akimlaumu mno Mzee Marealle,yakuwa ati alikua Kibaraka wa Wakoloni.
haha...Yericko atakujibu km alivyowaza ktk hilo.Wewe binafsi Yericko,ukamnasihi mno ati afunge na aachane na ile Thread yake na aje kwenye "jamvi lako" ili "kupambana" na Sheikh Mohammed...sasa mbona unataka kujitia u-Malaika usokua nao na kuhadaa watu hapa!?
Just let him carry on,it's too late now! Ok!?
Cc;Ritz
Teh teh..si km nakataa kuwa ktk public sphere a CDM "ILA ULICHOSEMA NI BIG LIE"..mimi ni allergic na uongo...huwa ni bora kutojibu kuliko kudanganya.sidanganyi ktk giza au ktk mwanga..mimi si "MUUMINI WA UONGO MTAKATIFU"..Mungu wetu hapendi uongo hata unaojaribu mpa sifa.Kwani hakuna sifa ya uongo ni Sifa kwa Mungu wetu,Chochote cha uongo kinamdhalilisha kwani kinamshusha..vyote vya kweli ndio sifa pekee zake.ALimtoa YESU na Si Yuda..Yuda alikwenda lipa deni la Shetani.Km walivyo wazee fulanifulani wanaofanya kazi za kudhamini watu ktk mikataba na Jehanum kwa malipo ya Ushawishi ya kupewa hishima ya dunia...Ni laana kwa nchi yetu.Mzee Jasusi,
Mimi bado nakuheshimu mno. Jitahidi usiweke LIKE pale mtu anaponipa tuhuma zisizo na msingi,ati ya kwamba navunja sharia za Jf!?
Au imekuchoma kiduchu ndugu yangu,mimi kumwita Nicholas ni Kiongozi wa Chadema!? Kwani mtu kuwa Kiongozi wa Chadema ni tusi siku hizi!? Kwanini msichukulie kama ni compliment tu!?
KShariff Ritz anapoitwa yeye ni Kiongozi wa CCM hupenda na kufurahika mno.
Hivi unaufuatilia kweli huu mnakasha ndugu yangu!?
Natumai tanifahamu japo kiduchu.
vipi ukipata Kansa?Kuhusu hiyo hoja yako yakuwa CCM hapakaliki,yawezekana ni kweli. Lakini leo mkono ukangia mavi waukata au wausafisha na kuendelea kuwa mkonowo!?
Najua nyinyi Nyerere Clan nyoote mmepata khasira na ghadhabu nyingi kwa CCM,lakini najua ni makosa ya Rais Mkapa ndo alokukasirisheni!?
Mzee Butiku alizunguka nchi nzima kumnadi Mkapa,watu wengi walimuonya hakutaka kusikia asilan...sasa vipi leo mnageuka kusema CCM ni wabaya na hapakaliki!?
Hata Nyerere akifufuka leo,hivi kweli atapenda na kufurahika jinsi nyinyi wanafamilia kuzitupa nguvu zake zoote kuanzia TANU mpaka leo hii CCM!? Kwa kweli mmemuangusha mno "Baba yenu wa Taifa".
Kuna mengi ya kunena lakini kwa leo tuachie kwa hapa ndugu yangu.
Nakusihi niwie radhi kama kuna lolote nilonena nawe hukuridhia.
Ahsanta sana.
Cc;Ritz
Wewe Yericko,mtoto wa nje ya ndoa/mwanaharamu unaweza vipi kunifunza mimi adabu!?
Wewe ndo ujifunze lugha njema unapozungumza na wenzio! Ok!?
Tafadhali usirudie tena kunambia niwe na adabu...hilo kwenye mila na dasturi zangu ni tusi zito mno!
Vitu vingine jifunze kusoma..nyie mnakimbilia tuu titles za propaganda mlizopangiwa...Nenda pale UDSM kaongee na historians/anthropologists/archaeologists... wakupe reference..ingia ktk achieve za catholics and anglican...nenda bagamoyo kuna museum pale.Taja kanisa limenunua ardhi Zanzibar wapi na kuwagawia watu siyo unaleta porojo tu.
Asante sana mkuu,
Tusonge mbele mkuu,
Nimeweke ile historia ya Zanzibar hapo nyuma, je una la kuongeza ama kushauri mkuu?
Shusha lile darasa la ardhi nami nitalishusha hapa tuwafundishe historia hawa ndugu zetu
Unamjuwa vizuri Andrew Nyerere?Mji huu una mashartii mpaka ufanikiwee,
na sio kukimbilia nasaba za watu na kujiona ndio wewe,
look at you..!brother adrew kazid kukuumbua leo,
sasa unasema wote hao ni wazazi wako kwa jins ulivyo na akili mbovu,sasa utakua na mababa wangapi?
Haya basi namimi nimepigania uhuru wa nchi hii,niweke kwenye list ya baba zako pia,sawa?
Julius yupi wa kuacha offspring ya kikanjanja kama wewe?
Sasa skia,uache kujigonga gonga na nasaba isiyo yako.na leo iwe ndio mwanzo na mwisho,na ufute hilo jina hapo mwsho uweke jina la baba yako halali,umeskia?
Huu uzi umekuacha mtupu kimwili na kiakili,
utakoma na sisi wanywa ghahawa na wana madrasa..,
nakukumbusha usku huu sasa,hujaanza kuombwa haki ya ndoa kama kawaida yako?
Must be so so craizy...
Nipo Butiama sasa hivi. Naulizia kuhusu huyu Yericko,lakini bado sijampata mtu anayemfahamu. Bado naendelea kuulizia. Nimemtuma mtu afanye uchunguzi.
Ha ha haa Ritz huyu jamaa ana ugonjwa unaoitwa "Amnesia" ugonjwa mbaya sana ntakupa kisa kimoja kinachofanana na mambo anayoyafanya huyu jamaa,Kuna jamaa mmoja alikuwa anamakengeza na kasuku wake anamakengeza sasa jamaa akawa anamuingiza kasuku kwenye banda lake akajua amemuweka ndani kumbe amemuweka nje na kasuku namakengeza yake badala ya kukimbia kwingine akakimbilia ndani ya banda!!!!!!!!!!
Cc.Nguruvi
MS akikimbia akimbie tuu....kwani km ameskip maswali karibu yote anategemea nini?Anataka blackmail nani sasa hapa?Unasusia mtihani ambao hujajibu hata moja kwa usahihi...tofauti na watoto wanaonadika bongo fleva halafu wazazi wao kwa misingi ya uchochoezi wa MS wanatoka povu..?Ahsante kwa mfano mzuri wa kuonyesha effects za uchochoezi wake.
Halafu acha "uongo mtakatifu"..Mungu wa kweli hakai na uchafu wowote ukiwepo uongo..ndio maana hakufany akazi ya kufake Yesu ili warumi waue mtu mwingine asiyestahili.Umejibu wapi?maswali hujajibu...na kila kilipokuambiwa urestrain bado next unapost junks nyingine.
Nini sikijui sasa?mbona yote umeyakimbia?Hujaniambia km.Wapi nimekosea..hujajibu maswali yangu uliyoingi akichwa kichwa....junks ulizoziweka nimekuonyesha wapi ni kupotoka.Ukatoa mfano wamtume ..nikakuambia kuwa muhamad hakufuata uislam alioufundisha waislam waufuate...nikakupa mfano kuwa waislam hawakuruhusiwa kuoa wajane wa Muhamad..ingawa kwa waislam wengine Baada ya eda ndoa ingine km kawa.Vipo vingi sana mtu aifanya ila si km alivyohubiri uislam wake...(Tofauti na Nyerere ambaye alihubiri ujamaa, na alikufa mjamaa peke yake~ hiyo ni highlight tuu kuwasaidia ktk kupinga mzee kuwa mtakatifu..).Mke wa Mtume aisha alichezea sana wanasesere ila waislam hawapaswi.
Suala hapa si kwamba sijui enzi ya muhamadi fatwa zilitolewa ua lah...ila kilichotolewa kwanini hakikuwa tayari ktk sheria za kiislam?Na fatwa ni mambo ambayo wanazuoni wengine wanaweza pinga...kuna tofauti ya sheria inayoruhusu sheria ndogo ndogo na Sheria ndongo ndogo zilizotungwa chini ya hiyo sheria.Yaani sheria za manispaa husika zinaweza wekwa na kutewa kila mara halmashauri zinakaa, na mara nyingine wanaweza kuja gundua kuwa sheria nyingine ni makosa.....fatwa nazo zina sura km hiyo...
moja tuu?hii hapa: Fataw
1996 fatw
Bin Laden's 1996 fatw is entitled "Declaration of War against the Americans Occupying the Land of the Two Holy Places". This document is sometimes called the Ladenese epistle, a term derived from bin Laden's surname. It is a long piece, and complains of American activities in numerous countries. It was faxed to supporters across the world.[SUP][4][/SUP] It first appeared in the London-based Arabic paper Al-Quds Al-Arabi.[SUP][1][/SUP]
1998 fatw
The 1998 fatw[SUP][2][/SUP] reached Al Quds Al Arabi by fax,[SUP][5][/SUP] and was signed by five people, four of whom represented specific Islamist groups:
The signatories as a group were identified as the "World Islamic Front for Jihad Against Jews and Crusaders". This fatw complains of American military presence in the Arabian Peninsula, and American support for Israel. It purports to provide religious authorization for indiscriminate killing of Americans and Jews everywhere. It appeared in February 1998 and the embassy bombings followed in August.
- Osama bin Laden[SUP][6][/SUP]
- Ayman al-Zawahiri,[SUP][6][/SUP] "emir of the Jihad Group in Egypt", probably meaning Islamic Jihad
- Ahmed Refai Taha, alias Abu Yasser, of al-Gama'a al-Islamiyya (in Egypt).[SUP][6][/SUP] This endorsement was retracted because of the enormous unpopularity of terrorism in Egypt following the Luxor massacre of tourists and Egyptians by al-Gama'a al-Islamiyya. Taha explained his signature to fellow members of the Islamic Group saying he had only been asked over the telephone to join in a statement of support for the Iraqi people.[SUP][7][/SUP]
- Mir Hamzah"[SUP][6][/SUP]
- Fazul Rahman, "emir of the Jihad Movement in Bangladesh",[SUP][6][/SUP] probably Harakat ul-Jihad-i-Islami/Bangladesh or HUJI-B; HUJI itself is in Pakistan.[SUP][citation needed][/SUP]
Bahati mbaya sana waislam wengi hujiaminisha kuwa wanajua uislam kuliko wasio waislam..wanasahau wasio waislam wapo wengi sana waujuao uislam ndio maana hawautaki hata kukaa karibu nao.
Mbaya zaidi pamoja na kutoujua bado wanapoteza muda kukimbilia Biblia.
huyu ndiye mwendawazimu wenu km kigngwala badala ya kufanya udactari hata kama alidesa na kupewa anakwenda ktk dini:Msikilize dr.Naik Zakir:
The Big Bang in the Quran? (Dr. Naik) As far as Quran and modern Science is concerned, in the field of Astronomy, the Scientists, the Astronomers, a few decades earlier, they described, how the universe came into existence - They call it the Big Bang. And they said Initially there was one primary nebula, which later on it separated with a Big Bang, which gave rise to Galaxies, Stars, Sun and the Earth, we live in. This information is given in a nutshell in the Glorious Quran, in Surah Ambiya, Ch. 21, Verse No. 30, which says. (Arabic).... Do not the unbelievers see? . (Arabic). That the heavens and the earth were joined together, and we clove them asunder? Imagine this information which we came to know recently, the Quran mentions 14 hundred years ago.
halfu na hizi links jinsi waislam walivyoamua kuwa so busy ktk:
Science Islam - Evolution Creation or BOTH?
Ehsan Masood: As we celebrate Darwin, let's not forget the many other unsung champions of evolution from around the world | Comment is free | guardian.co.uk
Al-Jahiz - Wikipedia, the free encyclopedia
Unasemea hii?Babylonian Talmud: Yebamoth 59
Hembu soma tena, halafu pange point zako vyema bila kuwa thisi desperate.