MS akikimbia akimbie tuu....kwani km ameskip maswali karibu yote anategemea nini?Anataka blackmail nani sasa hapa?Unasusia mtihani ambao hujajibu hata moja kwa usahihi...tofauti na watoto wanaonadika bongo fleva halafu wazazi wao kwa misingi ya uchochoezi wa MS wanatoka povu..?Ahsante kwa mfano mzuri wa kuonyesha effects za uchochoezi wake.
Halafu acha "uongo mtakatifu"..Mungu wa kweli hakai na uchafu wowote ukiwepo uongo..ndio maana hakufany akazi ya kufake Yesu ili warumi waue mtu mwingine asiyestahili.Umejibu wapi?maswali hujajibu...na kila kilipokuambiwa urestrain bado next unapost junks nyingine.
Nini sikijui sasa?mbona yote umeyakimbia?Hujaniambia km.Wapi nimekosea..hujajibu maswali yangu uliyoingi akichwa kichwa....junks ulizoziweka nimekuonyesha wapi ni kupotoka.Ukatoa mfano wamtume ..nikakuambia kuwa muhamad hakufuata uislam alioufundisha waislam waufuate...nikakupa mfano kuwa waislam hawakuruhusiwa kuoa wajane wa Muhamad..ingawa kwa waislam wengine Baada ya eda ndoa ingine km kawa.Vipo vingi sana mtu aifanya ila si km alivyohubiri uislam wake...(Tofauti na Nyerere ambaye alihubiri ujamaa, na alikufa mjamaa peke yake~ hiyo ni highlight tuu kuwasaidia ktk kupinga mzee kuwa mtakatifu..).Mke wa Mtume aisha alichezea sana wanasesere ila waislam hawapaswi.
Suala hapa si kwamba sijui enzi ya muhamadi fatwa zilitolewa ua lah...ila kilichotolewa kwanini hakikuwa tayari ktk sheria za kiislam?Na fatwa ni mambo ambayo wanazuoni wengine wanaweza pinga...kuna tofauti ya
sheria inayoruhusu sheria ndogo ndogo na Sheria ndongo ndogo zilizotungwa chini ya hiyo sheria.Yaani sheria za manispaa husika zinaweza wekwa na kutewa kila mara halmashauri zinakaa, na mara nyingine wanaweza kuja gundua kuwa sheria nyingine ni makosa.....fatwa nazo zina sura km hiyo...
moja tuu?hii hapa:
Fataw
1996 fatwā
Bin Laden's 1996 fatwā is entitled "Declaration of War against the Americans Occupying the Land of the Two Holy Places". This document is sometimes called the Ladenese epistle, a term derived from bin Laden's surname. It is a long piece, and complains of American activities in numerous countries. It was faxed to supporters across the world.[SUP]
[4][/SUP]
It first appeared in the London-based Arabic paper Al-Quds Al-Arabi.[SUP]
[1][/SUP]
1998 fatwā
The 1998 fatwā[SUP]
[2][/SUP]
reached Al Quds Al Arabi by fax,[SUP]
[5][/SUP]
and was signed by five people, four of whom represented specific Islamist groups:
- Osama bin Laden[SUP][6][/SUP]
- Ayman al-Zawahiri,[SUP][6][/SUP] "emir of the Jihad Group in Egypt", probably meaning Islamic Jihad
- Ahmed Refai Taha, alias Abu Yasser, of al-Gama'a al-Islamiyya (in Egypt).[SUP][6][/SUP] This endorsement was retracted because of the enormous unpopularity of terrorism in Egypt following the Luxor massacre of tourists and Egyptians by al-Gama'a al-Islamiyya. Taha explained his signature to fellow members of the Islamic Group saying he had only been asked over the telephone to join in a statement of support for the Iraqi people.[SUP][7][/SUP]
- Mir Hamzah"[SUP][6][/SUP]
- Fazul Rahman, "emir of the Jihad Movement in Bangladesh",[SUP][6][/SUP] probably Harakat ul-Jihad-i-Islami/Bangladesh or HUJI-B; HUJI itself is in Pakistan.[SUP][citation needed][/SUP]
The signatories as a group were identified as the "World Islamic Front for Jihad Against Jews and Crusaders". This fatwā complains of American military presence in the Arabian Peninsula, and American support for Israel. It purports to provide religious authorization for indiscriminate killing of Americans and Jews everywhere. It appeared in February 1998 and the embassy bombings followed in August.
Bahati mbaya sana waislam wengi hujiaminisha kuwa wanajua uislam kuliko wasio waislam..wanasahau wasio waislam wapo wengi sana waujuao uislam ndio maana hawautaki hata kukaa karibu nao.
Mbaya zaidi pamoja na kutoujua bado wanapoteza muda kukimbilia Biblia.
huyu ndiye mwendawazimu wenu km kigngwala badala ya kufanya udactari hata kama alidesa na kupewa anakwenda ktk dini:Msikilize dr.Naik Zakir:
The Big Bang in the Quran? (Dr. Naik) As far as Quran and modern Science is concerned, in the field of Astronomy, the Scientists, the Astronomers, a few decades earlier, they described, how the universe came into existence - They call it the Big Bang. And they said
Initially there was one primary nebula, which later on it separated with a Big Bang, which gave rise to Galaxies, Stars, Sun and the Earth, we live in. This information is given in a nutshell in the Glorious Quran, in Surah Ambiya, Ch. 21, Verse No. 30, which says
. (Arabic).... Do not the unbelievers see
?
. (Arabic)
. That the heavens and the earth were joined together, and we clove them asunder? Imagine this information which we came to know recently, the Quran mentions 14 hundred years ago.
halfu na hizi links jinsi waislam walivyoamua kuwa so busy ktk:
Science Islam - Evolution Creation or BOTH?
Ehsan Masood: As we celebrate Darwin, let's not forget the many other unsung champions of evolution from around the world | Comment is free | guardian.co.uk
Al-Jahiz - Wikipedia, the free encyclopedia
Unasemea hii?
Babylonian Talmud: Yebamoth 59
Hembu soma tena, halafu pange point zako vyema bila kuwa thisi desperate.
Nakujibu hapo kwenye Suratul An'biyaa Verse no 30,hujaimaliza iyo verse,
Suratul an biyaa verse no 30 inasema,
"DO NOT THE UNBELIEVERS SEE THAT THE HEAVENS AND THE EARTH WERE JOINED TOGETHER(AS ONE UNIT OF CREATION),WE CLOSE THEM ASUNDER??,WE MADE FROM WATER EVERY LIVING THING.WILL THEY NOT THEN BELIEVE??
IKAFUATIA VERSE NO 31,"AND WE SET ON THE EARTH MOUNTAINS STANDIND FIRM"
kitu unachopaswa kutambua katika qur an kila aya ina mafuhum yanayolink na aya inayofuatia katika mtiririko wa kushuka kwake au wa maudhui yake,unapojaribu kutenganisha na kuzikata ili utimize mission fulan unakua umejipotosha wewe mwenyewe,ss tunakuacha kama ulivyo,
verse no 30 ambayo hukutaka kuimalizia na explanations zake kuhusu kuumbwa kwa mwanadam na concentration kubwa ya maji ktk kuumbwa kwa viumbe kwa ujumla,
About 72percent of the earth's surface of our globe is still covered with water,and it has been estimated that if the inequalities of the surface were all levelled,the whole surface would be under the water,as the mean of elevation of landsphere-level would be 7,000 - 10,000 feet below the surface of the ocean.This shows the predominance of water on our globe.That all life began in the water is a conclusion to which our latest knowledge in biological sciences points,Apart from the fact that protoplasm,the original basis of living matter is liquid or semiliquid and in a state of constant flux and instability,there is the fact that land animals like higher vertebrates including man,show in their embryological history,organs like those of fishes,indicating the watery origin of their original habitat.The constitution of protoplasm is about 80-85percent of water,
THATS THE EXPLANATION OF THIS VERSE WHICH SAYS THAT "WE MADE FROM WATER EVERYLIVING THING,WILL THEY NOT THEN BELIEVE??
Usione watu tupo kimya ukahis hatuisomi dini yetu,au hatuifaham dini yetu,
Tunaisoma sana,tunasoma sana facts za kisayansi na jins zinavyoshahabiana na uislam wetu,na tunasoma sana jins gani wagalatia na wayahudi wanavyohangaika kujaribu kuukashifu na kuuchallange kwa namna mbali mbali na jins wanavyofeli mfano wako kama wewe,
Hatupo hapa kwenye mahubiri ya dini,lipo jukwaa lake linalohusu mambo haya,ila sasa kwa kuwa unakuja hapa kutaka kupotosha hatuwez kukaa kimya na kukuacha ukipata kiburi cha ujinga,
Uislam hautauweza,umekuta,utakufa na utaucha watu wakiendelea nao,
Ni mfumo uliokamilika kila sekta,kisheria,kiuchumi,kimahakama,kibenki,kijeshi,kiutawala just to mention few...
Kama uchochez wa moh said mmeshindwa kuuonesha mtauwezea wapi uislam??