Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Siku zote mtu muongo anapoteza kumbukumbu.The Big Show, Ritz, Zomba na wengine,
Naona hilo suala la mimi ni mtoto wa nani linawasumbua sana!
Sijajua tatizo kwenu nini hasa, kinachowakera ama kuwafurahisha!
Tangu tuanze mjadala huu sija KANUSHA wala KUKUBALi kile mnachokihoji na ambacho mngependa nyinyi niseme,
Kwabahati mbaya au nzuri wengi mmeninukuu pale niliposema, "mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi"
Lakini nitarudia tena kusema wapigania uhuru wote kwangu ni wazazi wangu, tena ni wazazi hasaaa!
Nisingependa kuenda ndani zaidi kwakuwa hili ni suala binafsi na linatutoa nje ya mjadala huu!
Hapa chini unajijibu mwenyewe.Tangu tuanze mjadala huu sija KANUSHA wala KUKUBALi kile mnachokihoji na ambacho mngependa nyinyi niseme,
Tuendelee kudadavua.Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)
Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.
Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
Andrew Nyerere ni kweli haya?
