Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nakushukuru sana mkuu,

Nimefurahi kusikia hivyo, hii ni heshima kwangu na jf pia kwakuwa imefungua ukurasa mpya wa historia wazee wetu wanaukombozi iliyokua inaharibiwa na baadhi ya Watanzania wenzetu wasiolitakia mema taifa letu na historia yake!

Nitafurahi sana kuongea na ikiwezeka kuonana na Mzee wangu Mh Joseph Butiku!

Lugha ya kiungwana.Anayependa kujidhalilisha kwa kutaka ubingwa akatengeze thread yake....by the way ..imekuwa kama kisa cha solomon "....Ilipokuja issue ya kugawan mtoto.....".Nani anaumia linapokuja suala la Mizaha, kashfa na uchoche dhidi ya Mwl..."
 
Indeed,mzanaki atasema nyerrrre. Nayo Mwalimu aliwahi kuelezea maana yake,kwamba ni yule mdudu,caterpillar anayekula mazao.
Mtafute Yericko. Mtafahamiana vizuri tu badala ya kupitia kwa watu wengine! Nyerre ni viwavi vya panzi au nzige. Hawa wanaharibu sana mazao.

Watu wengi tu wanaitwa jina hili kule Mara. Si unajua kule hakuna majina ya ukoo?
 
Mkuu

Unadhani kuwa hawa hawajui wanachokifanya hapa? Wanajua fika!

Mwanzo walininukuu nilipomaanisha kwamba wanaukombozi wote ni wazazi wangu kama Mohamed Said asemavyo kwa wazee wake!

Tena nilisema hivi

"mimi Mwalimu Nyerere kama mzazi wangu ninakufahamisha..."

Sasa nukuu hiyo nimewapa ufafanuzi zaidi ya mara miamoja hapa kuwa namaanisha wanaukombozi wote ni wazazi wangu, lakini wao wamegeuza agenda yao kuu kutuondoa kwenye mjadala huu!

Wewe waache waendelee lakini sisi tupo kwenye ukweli husika

Hebu funga huu mjadala Julius Kambarage Nyerere ni baba yako mzazi au siyo? Jibu hapana au ndiyo tumalize huu mjadala.
 
WildCard,

Ungekuwa kiongozi ungekuwa dikteta yaani hautaki wengine watoe maoni yao wakae kimya wewe maoni yako ni muhimu.
Ah! Ritz, mimi dikteta? Halafu mimi ni kiongozi kuanzia ngazi ya familia. Sijasikia wakinilalamikia kwa udikteta.
 
Mtafute Yericko. Mtafahamiana vizuri tu badala ya kupitia kwa watu wengine! Nyerre ni viwavi vya panzi au nzige. Hawa wanaharibu sana mazao.

Watu wengi tu wanaitwa jina hili kule Mara. Si unajua kule hakuna majina ya ukoo?

Nani amtafute mwenzake? Tatizo siyo jina la Nyerere tatizo ni mtoto wa Kambarage?
 
Ah! Ritz, mimi dikteta? Halafu mimi ni kiongozi kuanzia ngazi ya familia. Sijasikia wakinilalamikia kwa udikteta.

ha haa ha kwani Adolf Hitler alikuwa ana familia? Sasa kwa nini unamwambia Andrew anyamaze.
 
Nakujibu hapo kwenye Suratul An'biyaa Verse no 30,hujaimaliza iyo verse,

Suratul an biyaa verse no 30 inasema,

"DO NOT THE UNBELIEVERS SEE THAT THE HEAVENS AND THE EARTH WERE JOINED TOGETHER(AS ONE UNIT OF CREATION),WE CLOSE THEM ASUNDER??,WE MADE FROM WATER EVERY LIVING THING.WILL THEY NOT THEN BELIEVE??

IKAFUATIA VERSE NO 31,"AND WE SET ON THE EARTH MOUNTAINS STANDIND FIRM"

kitu unachopaswa kutambua katika qur an kila aya ina mafuhum yanayolink na aya inayofuatia katika mtiririko wa kushuka kwake au wa maudhui yake,unapojaribu kutenganisha na kuzikata ili utimize mission fulan unakua umejipotosha wewe mwenyewe,ss tunakuacha kama ulivyo,

verse no 30 ambayo hukutaka kuimalizia na explanations zake kuhusu kuumbwa kwa mwanadam na concentration kubwa ya maji ktk kuumbwa kwa viumbe kwa ujumla,

About 72percent of the earth's surface of our globe is still covered with water,and it has been estimated that if the inequalities of the surface were all levelled,the whole surface would be under the water,as the mean of elevation of landsphere-level would be 7,000 - 10,000 feet below the surface of the ocean.This shows the predominance of water on our globe.That all life began in the water is a conclusion to which our latest knowledge in biological sciences points,Apart from the fact that protoplasm,the original basis of living matter is liquid or semiliquid and in a state of constant flux and instability,there is the fact that land animals like higher vertebrates including man,show in their embryological history,organs like those of fishes,indicating the watery origin of their original habitat.The constitution of protoplasm is about 80-85percent of water,
THATS THE EXPLANATION OF THIS VERSE WHICH SAYS THAT "WE MADE FROM WATER EVERYLIVING THING,WILL THEY NOT THEN BELIEVE??

Pole sana: Kitu "UGLY" hapa ni "evolution" ndiyo mwenzio alikuwa akiikana kabisa..wewe unaikumbatia...Si maelezo sawi sana..kuamini "uumbaji wa mtu kamili ADAMU na Mkewe" na hapo hapo ukaamini "Evolution"...km mungu aliumbaviumbe baharini vikageuka hadi kufikia Mtu basi hakuumba mtu.....na itakuwa si kweli mwanzo alikuwa adamu na mkewe..kwani ktk evolution wingi ndio survival...kwani mazingira yalikuwa hostile kiasi cha kufanya viumbe wawili waliwe na wanyama na magonjwa yote halafu wabaki wengine wa kuendeleza vizazi.
Usione watu tupo kimya ukahis hatuisomi dini yetu,au hatuifaham dini yetu,
Tunaisoma sana,tunasoma sana facts za kisayansi na jins zinavyoshahabiana na uislam wetu,na tunasoma sana jins gani wagalatia na wayahudi wanavyohangaika kujaribu kuukashifu na kuuchallange kwa namna mbali mbali na jins wanavyofeli mfano wako kama wewe,
Pia ungeendelea kusoma Kusoma kuwa Majinn wanakula "Damu" kafara na "mavi"....halafu ukiulize ktk dunia ya kiislam wanapata wapi supply ya hayo?Tunajua vyooni kwenu watu huanguka sana, na mara nyingi mnahitaji kusema maneno ili muingie..ila hatujui damu inapatika wapi?Hembu tuakikishie si huku kuchanganywa na majinn na sababu kibao ili muendelee mwaga damu tuu...?

Hatupo hapa kwenye mahubiri ya dini,lipo jukwaa lake linalohusu mambo haya,ila sasa kwa kuwa unakuja hapa kutaka kupotosha hatuwez kukaa kimya na kukuacha ukipata kiburi cha ujinga,

Uislam hautauweza,umekuta,utakufa na utaucha watu wakiendelea nao,

Ni mfumo uliokamilika kila sekta,kisheria,kiuchumi,kimahakama,kibenki,kijeshi,kiutawala just to mention few...

Kama uchochez wa moh said mmeshindwa kuuonesha mtauwezea wapi uislam??
Oh yes.....kweli umekamilika...ndio maana kuna mistari miwili miwili yenye kupingana..we ni kuchagua upande unaotaka utumia....ama kuetetea ugaidi au kujietenga nao....ila mateso na mahangaiko ktk dunia yetu ina rais maswali....Kweli umekamilika ndio maana huwezi soma Quran,bila hadith ukaelewa, na Ukisom ahadith hakuna hadith ambayo muislam anaikubali kwa jinsi ilivyojaa kashfa kw auislam wenyewe...

Anyway wewe ndugu yangu hata ile mamabo ya mtwara..nahisi hujui sana uanchopigania zaidi kuwa mlihamasishwa na dini...ni coincidence tuu ndio imefanya na wengine wakwa wanawatetea kwa kutoa sababu za msingi.Nikubana ktk angle inaweza kuwa "mmefundishwa kuwa makafir watakuwa na share kubwa kwa hiyo mnataka isilimisha mapema" na kuweka wakfu... mtakufa nyie ktk hayo maagano mnayoaingia bila fikra..majinn na ulimwengu wa roho si binadamu aingiaye mkataba wa karatasi ikichanika na kuharibika nao unakuwa umeisha.Wale KIAPO tuu unakuwa umeuza vizazi vyenu.
 
Wanajamvi

Kwakuwa Ndugu yetu Andrew Nyerere amelijuza jamvi kuwa ameniunganisha kimawasiliano na Mh Mzee Joseph Butiku,

Nadhani suala hilo liishie hapa kulikobaki ni kwakifamilia zaidi na ikiwa kutakuwa na ulazima baada basi ndugu yetu mpendwa Andrew Nyerere atawatangazia tena kuwa amegundua mimi ni Yericko Nyerere, Yericko Mshume, Yericko Sykes, Yericko Nyarubanja ama vyovyote!

Nawaombeni tutulizane na mjadala husika!
 
Yamefutwa kaka..!!
Kumbe anajivunia backup flan flan??
Hii inaondoa uhalisia sana,
I thought kwamba huu msumeno unakata kote kote,
Ahalan Wasalan
cc@gombesugu & zomba

kwani hujui hata mwenye kupost anaweza futa...ila cha kujiuliza motto behindi itakuwa nini? ktk post yako utaona: Edit click....untaona :Save,Go Advanced, Delete,Cancel...na shemu ya Reason For Editing (Optional)
 
Huyu Andrew Nyerere sijawahi jua hata ktk threads zote aingiazo huwa anataka afikie malengo gani....pengine sijui kwanini hakuwahi kuwa na interest na Haya mavitabu ninayoweza ita uchafu....na virus kwa waislam na cancer kwa taifa....

Najisikia kucheka sana......anavyoeweza kuwa very irresponsible..wenzie wanadhani kumkana Yericko ndio kutathibisha tuhuma zao dhini ya Nyerere na Mfumo Kristu..ila huyu bila watahadharisha wasimtumie ..kaingia kwa staili ya kutumika.Au mwenzetu kaamua kushiriki kwa dhati?

Inanikumbusha maamuzi ya "....solomon...".Au mwenzetu ulishatonywa kuwa wewe si wa boma ile?
 
Hivi kweli tunapaswa kufahamu Mzee Marealle alivyomnunulia bukta,chupi na soksi Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa"!?.

Na mengine mengi yanayofanana na hayo eti tuyaite HISTORIA iliosahaulika ya TANU na NCHI hii!

Baba wa Taifa hakujiita yeye. Ni historia yake iliyotukuka kwa TANU/CCM na NCHI hii ndio imempa hadhi hiyo. Hutaki kumwita hivo unaacha.
 
Wanajamvi

Kwakuwa Ndugu yetu Andrew Nyerere amelijuza jamvi kuwa ameniunganisha kimawasiliano na Mh Mzee Joseph Butiku,

Nadhani suala hilo liishie hapa kulikobaki ni kwakifamilia zaidi na ikiwa kutakuwa na ulazima baada basi ndugu yetu mpendwa Andrew Nyerere atawatangazia tena kuwa amegundua mimi ni Yericko Nyerere, Yericko Mshume, Yericko Sykes, Yericko Nyarubanja ama vyovyote!

Nawaombeni tutulizane na mjadala husika!

Mbona unataka kuwafunga watu midomo wewe umekuja humu kama verified user unatumia jina la Julius Kambarage Nyerere, kwa nini watu wasihoji ukizingatia Nyerere alikuwa rais wetu wa kwanza...hii ni forum watu tutaendelea kujadili.
 
Mbona unataka kuwafunga watu midomo wewe umekuja humu kama verified user unatumia jina la Julius Kambarage Nyerere, kwa nini watu wasihoji ukizingatia Nyerere alikuwa rais wetu wa kwanza...hii ni forum watu tutaendelea kujadili.

Wenye busara wakiongea wewe brainless inabidi utulie....kwanza hilo jina halina Copyright....pia si busara sana kuwapa escape door ili mkapitalize ktk hili..Hii ni immorality.

Kwanza kama mimi mwenyewe tuu hapa,nina jiuliza haya:=

Je Andrew ni kichaa?Kesha futurishwa? Ni mtoto haramu?Au litoswa urith fulani...."....mbona...km yule mama aliyeiba mtoto enzi za solomoni?

Naomba msi capitalize ktk hili.
 
ha haa ha kwani Adolf Hitler alikuwa ana familia? Sasa kwa nini unamwambia Andrew anyamaze.
Ritz,
Andrew hana jipya. Amemkana Yericko mara kadhaa humu, thread hiihii! Mara hii alipokuja nilidhani ana jipya la kuchangia kwenye thread hii tukufu. Namfahamu kidogo Andrew. Tumwache tu.
 
Nani amtafute mwenzake? Tatizo siyo jina la Nyerere tatizo ni mtoto wa Kambarage?
Mkapa aliumbuka Arumeru....ingawa wewe huna aibu kwa vile ni brainless....huwezi ona.Nasikia na wewe huwa unamini mkeo akifa lazima ukaondoe nuksi kabla hajazikwa?
 
Ritz,
Naomba unisaidie ndugu yangu,yale matusi ya Yericko yamefutwa,
Na mods wamekaa kimya hadi sasa,
Kwanin msumeno huu unakata upande mmoja??cc@Zomba
& gombesugu,

Whats going on??Sielewe kabisa unajua...
KWANIN YEYE HACHUKULIWI HATUA??


Al Khalifa Ibn Maarifa The Big Show,

Kwani nyinyi wenzangu mlikua hamuyajui hayo!?...wewe unadhani hao Mods hawajui wakifanzacho,hii ni Mission kubwa mno kabla nilivyokuambieni huyo Yericko kawekwa tu kama Chakubimbi wa kuchochea hili jinga la moto!ahahaa!

Si jana niliwahi kwambieni khabar za yule mwanajamvi fulani alowahi kupita hapa kitambo na kutukemea yakuwa,Waislamu acheni kujisumbua bure hii siyo Jamii Forum ni Christian Forum...au umeshasahau Al Akhiy!?

Mimi binafsi ni mgeni mno hapa jamvini,lakini nimepata shuhuda ya vitimbi vingi na kuwajua uzuri nyoyo zao hawa jamaa.

Unajua enzi ya Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa",aliji-sacrifice saana reputation yake maskini kwa Wananchi/Watanzania wengine ili kuwasaidia na kuwabeba mno takriban katika kila nyanja hawa jamaa zake/Wakristo wenzake.

Matokeo yake leo Nyerere hayupo maskini,hawa wamechanganyikiwa kama vile mbogo alojeruhiwa.

Wengi wao wanashindwa ku-cope na reality/competition iliyopo...and this is just the begining,there's no going back!ahahaa!

Nastaajabu mmekaa na hawa mahasidi takriban miaka kadhaa humu Jf wakikupasueni vichwa bure buleshi ndugu zangu!?

Insha Allah Mola takulipeni fadhila zenu.

Naona hapa kwa sasa hapa hakuna tena Ilm ni makhanatha matupu na pumba za Yericko!

Nipa fursa nichungulie baadhi ya vitu kiduchu,khalaf kuna mwanafulani taka nimnyooshee maneno.

Ahsanta..

Cc;Ritz
 
hii elimu tunayopata humu naona kuna watu wanatupeleka kusikohusika,i hate to think sijui ni kwa sababu ya kuumpa breathing space Mohamed Said au ni attempts aondoke bila kujibu maswali kadha wa kadha
 
Last edited by a moderator:
Mbona unataka kuwafunga watu midomo wewe umekuja humu kama verified user unatumia jina la Julius Kambarage Nyerere, kwa nini watu wasihoji ukizingatia Nyerere alikuwa rais wetu wa kwanza...hii ni forum watu tutaendelea kujadili.

Nakusihi sana epuka mgogoro na Mods,

Mimi naitwa Yericko Nyerere,

Sasa kusema natumia jina la "Julius Kambarage Nyerere" hiyo ni Spinning na nikinyume cha sheria za JF

Mimi ninaitwa "Yericko Nyerere" na sio Yericko Julius Kambarage Nyerere

Nimekusihi kwa mda mremfu suala hili uachane nalo!
 
Back
Top Bottom