Hivyo ndivyo mnavyowadanganya wale wanyonge kati yenu!Nicholas said:....."waislam unataka dunia nzima iwe ya kiislam na huyo khalifah atawale ummah ambao ni dunia nzima" then malizia conclusion
...ninaweza kunukuu Hadith baada ya Hadith kukuonyesha kuwa Makafir watakuwepo mpaka siku ya mwisho sasa nitajie ni Muislamu gani anayetaka kuwasilimisha makafir wote katika uso wa Dunia?
Karibu kila mtu anafahamu kuwa alikuwa akimaanisha Mayahudi (kidini) kama unavyojua kuwa kuna Mayahudi wa kidini na Wayahudi wa kabila, mitume katika Uislamu karibu wote walikuwa ni Wayahudi wa kabila.Nicholas said:same logic ndio ilipelekea kuwaita ni wana wa shetani..Kwa vile alikuwa akiongea na wayahudi na sheria za "baba/wazee zao" ambao nao pia ni wauaji wa manabii....kwa uongo na hila si mbaya kuwaita km wayahudi...kwani kwa muda huo ndio anaoongea nao.n ahaimaanishi kuwa wayahudi wote ni wana wa shetani au mababu waovu...Kwani hata yeye pia ni alikuwa Myahudi.
Hawa Mayahudi wa dini ndio wanaomtukana Jesus na mama yake Maria nikinukuu:
Sanhedrin 106a . Says Jesus' mother was a -----: "She who was the descendant of princes and governors played the harlot with carpenters."
Also in footnote #2 to Shabbath 104b of the Soncino edition, it is stated that in the "uncensored" text of the Talmud it is written that Jesus mother, "Miriam the hairdresser," had sex with many men.
Je, utaacha kumuita Dr.Zakir kuwa ni muongo?Nicholas said:Sidhani km hapa ni mahali pake..ila kwa ile quote ya evolution pia inaweza kuwasaidia kuona uongo wake...