Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hivi kweli tunapaswa kufahamu Mzee Marealle alivyomnunulia bukta,chupi na soksi Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa"!?.

Gombesugu,
Hapa barazani tuko watu wa uwezo tofauti sana wa kuelewa mambo.

Nimegundua kitu kimoja kwa hawa jamaa zetu.
Hawathamini ihsani.

Ndiyo maana utaona wanaweza kukejeli mchango wa Mshume Kiyate
kufikia kuita "mchicha" na "maharage."

Sisi makuzi yetu tumelelewa kuthamini wema na udugu.

Miaka mingi nimekutana na kijana mmoja akanambia, "Mohamed wewe
umenisahau. Mimi mama yangu akinileta usiku kwa mama naumwa na
mama yako akipiga stovu moto anachemsha sindano ananidunga."

Akawa yeye sasa anashajiisha kwa wanaotusikiza ushoga uliokuwapo
baina ya bi mkubwa wake na wangu.

Binadamu wenye kuthamini utu huwa hivi.
Na huyu yeye alikuwa ni mtoto kama mie wakati ule.

Hapa Yericko namgusia kuwa shangazi yake Bi Sophia akijuana na
shangazi yangu.

Hakujali.
 
Nakusihi sana epuka mgogoro na Mods,

Mimi naitwa Yericko Nyerere,

Sasa kusema natumia jina la "Julius Kambarage Nyerere" hiyo ni Spinning na nikinyume cha sheria za JF

Mimi ninaitwa "Yericko Nyerere" na sio Yericko Julius Kambarage Nyerere

Nimekusihi kwa mda mremfu suala hili uachane nalo!
Msamehe,sio kosa lake,unajua hizi forums kwa baadhi ya jamii ni vitu vigeni sana-hence keyboard excitomania,na spur of the moment jerks,they get carried away,msamehe tu,with time they will get used to
 
Nakusihi sana epuka mgogoro na Mods,

Mimi naitwa Yericko Nyerere,

Sasa kusema natumia jina la "Julius Kambarage Nyerere" hiyo ni Spinning na nikinyume cha sheria za JF

Mimi ninaitwa "Yericko Nyerere" na sio Yericko Julius Kambarage Nyerere

Nimekusihi kwa mda mremfu suala hili uachane nalo!

Najua unaweza ku skip jina la kati na ukaenda la la ukoo..kama vile Benjamin Mkapa (haimaanishi kama baba yake sio William)...au Jakaya Kikwete (haimaanishi kama baba yake sio Mrisho).

Swali lilio mbele yetu...je wewe ni mtoto wa Julius Kambarage Nyerere?...
 
Nicholas said:
Wao wanamjua Khalifa ambaye wanataka atawale dunia..Osama ni mmojawapo wa believer hiyo notion...Bahati mbaya huoni hata kati yenu hata uzalendo wa nchi hauwezi wazuia desires za dini.
Mbona si Osama tu? hata mimi pia ninataka Ummah wa Kiislamu upate Khalifah na tutawaliwe kwa Sharia ya Allah ila hilo la kuwa Khalifa aitawale dunia sijui umelitoa wapi.

Vilevile ninakubaliana na wewe kuwa Uislamu kwangu mimi ndio unaokuja kwanza sina uzalendo wa nchi juu ya Uislamu...Uislamu kwanza (nitambue hivyo).
Nimekuambia "Fatwa " Ni km extention ya Sheria....ndio maana ipo open...N inajadilika ktk wanazuoni...ila sidhani km mambo ya msingi ya quran wanaweza hat thubutu yafuta achilia mbali kusema hadharani nia hiyo.
Kama unataka ufahamishwe sema (infact tupo hapa kufahamishana).

Unataka kulijua kosa lako kwenye hiyo kauli yako?
Nicholas said:
Naona umejijibu....kuwa Yesu alipinga....nadhani Yesu aliyajua mafundhisho ya wayahaudi kuliko hata walimu wengi "Rabbi" wa kipindi chake.Ndio maana alipoelezea kutimiliza Torati...wengine walipata "kichaa kuwa kakufuru"..Ndipo akasema wanafanya mapokeo ya wazee wao ,ya binadamu...Wayahudi walipotoka kila mara na walirudishwa ktk mstari na manabii wao.
Kufuatan na Jesus ni kuwa Mayahudi ni watoto wa Shetani:
John 8:44 You (Jews) are of your father the devil, and the desires of your father you want to do. He was a murderer from the beginning, and does not stand in the truth, because there is no truth in him. When he speaks a lie, he speaks from his own resources, for he is a liar and the father of it".
Nicholas said:
By the way naona umeskip tena "Issue ya Evolution na kujiingiza line kwa waislam
Ninasubiri unionyeshe uongo wa Dr. Zakir Naik.
 
Na mengine mengi yanayofanana na hayo eti tuyaite HISTORIA iliosahaulika ya TANU na NCHI hii!

Baba wa Taifa hakujiita yeye. Ni historia yake iliyotukuka kwa TANU/CCM na NCHI hii ndio imempa hadhi hiyo. Hutaki kumwita hivo unaacha.

Kijana punguza ghadhabu,tafadhali kwa Ihsan yako au watafuta chanzo cha kunishushia jungu la matusi ndugu yangu!?

Nimekuuliza vile maana pana utata hapa Jamvini,yawaje leo Sheikh Mohammed akitaja madikodiko ya Al Marhum Mshume Kiyate iwe sivyo, lakini wakti huyo Yericko wenu akitaja Chief Marealle kamnunulia Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa",chupi ,soksi na mashati nyinyi nyoote mnachekelea!?

Vipi yakhe acha kujisahau,japo umetoka Tarime...lakini kumbuka yakuwa huyo Nyerere alikua ni Rais wa woote hapo Tanzania. Msijifanze yakuwa nyinyi peke yenu ndo wenye hati miliki nae!

Yale machafu yoote,udhalimu na unyama mwingi alofanza umetuathiri/ulituathiri soote kwa pamoja na bado unaathiri wengi mno.

Na pia kama kuna mema alofanza kiduchu,pia ni uzuri na ndo maana tupo hapa kumjadili/kujadili kwa pamoja.

Acha kujifanza huyo Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa",ni kama vile alikua Rais wenu peke yenu ,yaani watu wa Mara tu na Wakristo peke yao!?

Nilijaribu kukudharau kiduchu pale jana,nilipotoa hoja kumjibu Mzee Jasusi kuhusu ile Social experiment/Sera ya "vijiji vya Ujamaa" ya Nyerere na athari zake. Lakini wewe ghafula ukanijia na shutuma nzito ati ya kwamba simpendi na nina chuki na Nyerere!?

Khalaf,nyinyi ndio kutwa kucha mnashinda hapa jamvini kujisifia na kujinasib na usomi na yakuwa ati mnatumia mantik/logic...na sisi soote tulobaki ni wapuuzi tu!?ahaha!!

Nashukuru kwa kunisikiza,na niwie radhi kama nimekukera kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
hii elimu tunayopata humu naona kuna watu wanatupeleka kusikohusika,i hate to think sijui ni kwa sababu ya kuumpa breathing space Mohamed Said au ni attempts aondoke bila kujibu maswali kadha wa kadha

Huyu jamaa amejaribu sana susia, na kulalama kuwa hapewi majibu ya staha km apendavyo, na mengine ya kudeka...naona sasa hii ana enjoy alitokuwa anawafanya wenzie wa enjoy...hawajibu maswali ktk mitihani ila kuna watu wanatoka povu kutafuta namna na kuelezea kushindwa kwake mtihani....
 
Najua unaweza ku skip jina la kati na ukaenda la la ukoo..kama vile Benjamin Mkapa (haimaanishi kama baba yake sio William)...au Jakaya Kikwete (haimaanishi kama baba yake sio Mrisho).

Swali lilio mbele yetu...je wewe ni mtoto wa Julius Kambarage Nyerere?...

Watoto wa Julius Kambarage Nyerere wanafahamika, huhitaji kuumiza kichwa na mimi hapa, mimi naitwa Yericko Nyerere, umenipata?

Kwamsaada zaidi unaweza kugogu kupitia internet utawapata wote na sura zao kabisa lakini kwakuanza wakwanza anaitwa Andrew Nyerere:!

Mada hiyo hapa sio mahali pake!

Mimi nimesimama nikiwa Mtanzania halisi, na nimemzungumzia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa ndie rais wa kwanza na muasisi wa ukombozi wa nchi hii! Na zaidi nikuwa Mwalimu Nyerere ndie kitabu cha Mohamed Said kimemdhihaki na kumdharirisha kwa miaka kumi na tano sasa!
 
Andrew Nyerere said:
Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.
Andrew!
Unaweza kuachana na Yericko kidogo na kutupatia "vya jikoni" wewe ambaye ndiye mtoto halisi wa nyerere?

Honestly, mimi (na ninadhani kuna wengi tu kama mimi) sijali kama Yericko ni mtoto wa nyerere au la.
 
"Unajua enzi ya Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa",aliji-sacrifice saana reputation yake maskini kwa Wananchi/Watanzania wengine ili kuwasaidia na kuwabeba mno takriban katika kila nyanja hawa jamaa zake/Wakristo wenzake.

Matokeo yake leo Nyerere hayupo maskini,hawa wamechanganyikiwa kama vile mbogo alojeruhiwa"

Kama usemayo ni kweli basi tambua tu kwamba sio rahisi kuuvunja mfumo aloouacha Mwalimu. Mwalimu alikuwa habahatishi katika kazi zake. Kazi alizoziacha ngumu kuzivunja. Zinajisimamia zenyewe.

Kinachonishangaza mimi aliwabeba pia akina Rashid, Salim, Amir Jamal, Hamza, Abdallah Twalipo, Abbas Sykes,...
Akawabeba Wazanzibar wengi tu akina Maalim Seif( Yule wa 1984, sio huyu wa sasa!), Idrisa, Aboud Jumbe,...
 
WANAJAMVI YERICKO AMEKIRI YA KWAMBA NYERERE SI BABA YAKE MZAZI BAADA YA UJIO WA BROTHER ANDREW,

SASA NI WAKATI UMEFIKA AJE KUOMBA RADHI KWA KITENDO CHAKE CHA KULITUMIA JINA HILO KINYEMELA NA KUSABABISHA USUMBUFU,

cc@Ritz,tuwekee lile bandiko alilosema huyu bwana kwamba NYERERE NI BABA YAKE MZAZI,

JF RAHA SANA...
 
Mbona si Osama tu? hata mimi pia ninataka Ummah wa Kiislamu upate Khalifah na tutawaliwe kwa Sharia ya Allah ila hilo la kuwa Khalifa aitawale dunia sijui umelitoa wapi.

Vilevile ninakubaliana na wewe kuwa Uislamu kwangu mimi ndio unaokuja kwanza sina uzalendo wa nchi juu ya Uislamu...Uislamu kwanza (nitambue hivyo).Kama unataka ufahamishwe sema (infact tupo hapa kufahamishana).

Sasa unapiga kelele za nini kuwa Fatwa lina mipaka ya nchi?Quran imajaa mistahi kibao ya popote....Kukusaidia ili tusiende mbali..pima logic yako....."waislam unataka dunia nzima iwe ya kiislam na huyo khalifah atawale ummah ambao ni dunia nzima" then malizia conclusion.....
Unataka kulijua kosa lako kwenye hiyo kauli yako?Kufuatan na Jesus ni kuwa Mayahudi ni watoto wa Shetani:
John 8:44 You (Jews) are of your father the devil, and the desires of your father you want to do. He was a murderer from the beginning, and does not stand in the truth, because there is no truth in him. When he speaks a lie, he speaks from his own resources, for he is a liar and the father of it".
Kwa Yesu Mungu ni Baba na si yeye Tuu hata Wakristu....Mahusiano yao ni zaidi ya Kiumbe na Boss wao..ila wana mahusiano "Baba na wana"...Kwa wakristu Mungu ni baba.

Na wale waongo(Kumbuka nimekuambia Mungu wa Kristu hana uongo mtakatifu wala uongo wowote) mungu wao ni shetani ambaye ni mwangamizi,muuaji tangu kuumbwa kwa dunia...same logic ndio ilipelekea kuwaita ni wana wa shetani..Kwa vile alikuwa akiongea na wayahudi na sheria za "baba/wazee zao" ambao nao pia ni wauaji wa manabii....kwa uongo na hila si mbaya kuwaita km wayahudi...kwani kwa muda huo ndio anaoongea nao.n ahaimaanishi kuwa wayahudi wote ni wana wa shetani au mababu waovu...Kwani hata yeye pia ni alikuwa Myahudi.Nadhani umewahi sikia shehe akiseto amwaidha na kuwaambia "waislam mmekuwa wanafiki, mmekuwa mnakunywa pombe, etc". sidhani km anajisemea na yeye ambaye nae ni muislam.

Ninasubiri unionyeshe uongo wa Dr. Zakir Naik.

Sidhani km hapa ni mahali pake..ila kwa ile quote ya evolution pia inaweza kuwasaidia kuona uongo wake...
 
Nakusihi sana epuka mgogoro na Mods,

Mimi naitwa Yericko Nyerere,

Sasa kusema natumia jina la "Julius Kambarage Nyerere" hiyo ni Spinning na nikinyume cha sheria za JF

Mimi ninaitwa "Yericko Nyerere" na sio Yericko Julius Kambarage Nyerere

Nimekusihi kwa mda mremfu suala hili uachane nalo!

Yericko,

Hivi kukuhoji wewe ni nani ni kutafuta mgogoro na Mods?
 
Najua unaweza ku skip jina la kati na ukaenda la la ukoo..kama vile Benjamin Mkapa (haimaanishi kama baba yake sio William)...au Jakaya Kikwete (haimaanishi kama baba yake sio Mrisho).

Swali lilio mbele yetu...je wewe ni mtoto wa Julius Kambarage Nyerere?...

Kwemwale,

Salaam ndugu yangu. Niwie radhi naingilia hili suali lako kiduchu kwa huyu nduguyo Yericko Kambarage.

Kwa kifupi,huyu mtoto Yericko lazim atakua ana nia mbaya fulani moyoni mwake.

Ni yeye binafsi Yericko ndie anaesababisha na kuendeleza hizi kashfa kwake mwenyewe na pia kwa Wanafamilia wa Nyerere.

Kamba anayotumia Yericko na kuwarubuni wengi hapa jamvini na walioko nje/pembeni,ni ya kwamba yeye ndo "anamtetea" Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa", dhidi ya "chuki" za Waislamu kwa Nyerere na Ukristo!?...pure rubbish!!

Kwa kutumia mitego au maneno kama hayo ya kichochezi mara nyingi utaweza kuwapata na kuwavuta wengi duniani kwa hisia zao!

Kwanini yeye asijibu tu hili suali kiduchu ambalo ni closed question...je wewe Yericko ni mtoto wa kuzaliwa na Julius Kambarage Nyerere aliewahi kuwa Rais wa TANU na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!?...

Hata kama Mama yako sio Mama Maria,sisi hatutojali...maana hayo itakua ni malumbano yenu ya "kifamilia".

Hao viwavi wanaojifanza ati kumstaajabu Andrew Nyerere na kuanza kumkebehi,kwa kifupi wao ndo watu wa ajabu mno!

Nafikiri wanashindwa kufahamu yakuwa Andrew Nyerere anakwenda/anafikiri beyond this silly thread/"mnakasha".

Kwasababu kama Yericko ameweza kuja hapa Jf na kufanza fraudulently verification na kujifanza yeye ni "mtoto" wa Marehemu Julius Kambarage Nyerere,which by itself can amount to criminality...

Je kama labda itatokea siku nyingine huyo Yericko akianza kudai wale ngo'mbe watatu pale Butiama ambao Mama Maria maskini alopewa na JWTZ!?

Hapa Andrew Nyerere,hana chuki yoyote na huyo Yericko wao. Atamchukia vipi mtu asomjua asilan na wala hawajapata hata kukutana/kuwasiliana!? Lakini imemlazim awe responsible na kutoa ufafanuzi.

Kwa kifupi mimi binafsi nampongeza na kumshukuru mno Bwana Andrew Nyerere,kwa kutumia busara na hikma zake na kutufafanulia kwa hili.

Nashukuru kwa kunisikiza japo kiduchu ndugu yangu.

Ahsanta.

Cc;The Big Show, Ritz
 
Kijana punguza ghadhabu,tafadhali kwa Ihsan yako au watafuta chanzo cha kunishushia jungu la matusi ndugu yangu!?

Nimekuuliza vile maana pana utata hapa Jamvini,yawaje leo Sheikh Mohammed akitaja madikodiko ya Al Marhum Mshume Kiyate iwe sivyo, lakini wakti huyo Yericko wenu akitaja Chief Marealle kamnunulia Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa",chupi ,soksi na mashati nyinyi nyoote mnachekelea!?

Vipi yakhe acha kujisahau,japo umetoka Tarime...lakini kumbuka yakuwa huyo Nyerere alikua ni Rais wa woote hapo Tanzania. Msijifanze yakuwa nyinyi peke yenu ndo wenye hati miliki nae!

Yale machafu yoote,udhalimu na unyama mwingi alofanza umetuathiri/ulituathiri soote kwa pamoja na bado unaathiri wengi mno.

Na pia kama kuna mema alofanza kiduchu,pia ni uzuri na ndo maana tupo hapa kumjadili/kujadili kwa pamoja.

Acha kujifanza huyo Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa",ni kama vile alikua Rais wenu peke yenu ,yaani watu wa Mara tu na Wakristo peke yao!?

Nilijaribu kukudharau kiduchu pale jana,nilipotoa hoja kumjibu Mzee Jasusi kuhusu ile Social experiment/Sera ya "vijiji vya Ujamaa" ya Nyerere na athari zake. Lakini wewe ghafula ukanijia na shutuma nzito ati ya kwamba simpendi na nina chuki na Nyerere!?

Khalaf,nyinyi ndio kutwa kucha mnashinda hapa jamvini kujisifia na kujinasib na usomi na yakuwa ati mnatumia mantik/logic...na sisi soote tulobaki ni wapuuzi tu!?ahaha!!

Nashukuru kwa kunisikiza,na niwie radhi kama nimekukera kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
Wewe kumchukia Mwalimu hata kipofu analiona hili katika maandishi yako. Halihitaji mkalimani hili.

Vijiji vya Ujamaa kama wewe na baadhi yenu mloozaliwa mijini hamkunufaika navyo mimi sishangai mkiendelea kuvikejeli na kuvidhihaki. Wenzenu tuliokulia kwenye vijiji hivi kisha vikatutoa tuna mengi mazuri ya kusimulia.

Mwalimu alikuwa Rais wetu sote. Tunachokataa humu na kwingineko ni hali ya kumbambikia shutma za uongo, kejeli, ufidhuli wa kila aina kwa sababu za kitoto na visasi vingi tu. Mwalimu hakuiendeleza wala kuipendelea Mara kwa lolote. Mara hakuna wasomi wa maana. Mara hakuna miundombinu ya maana.

Kwa nini UKRISTO wa Mwalimu unawasumbueni hivo? Mwalimu alipong'atuka URAIS wa nchi hii alimwachia Ali Hassan Mwinyi, Muislam safi. Angekuwa mdini asingeruhusu hali hiyo. Uwezo wa kumkataa Mwinyi alikuwa nao! Tunaambiwa chaguo lake halisi alikuwa Salim Ahmed Salim. Mkristo huyu?

Haujanikera gombesugu. Hautanikera kwa kuwa nakusoma vizuri tu. Punguzeni chuki na husda kwa Mwalimu. Mwalimu hakuwaibia WATANZANIA. Mwalimu hakuwa na agenda ya siri kwa UISLAM na WAISLAM.
 
Najua unaweza ku skip jina la kati na ukaenda la la ukoo..kama vile Benjamin Mkapa (haimaanishi kama baba yake sio William)...au Jakaya Kikwete (haimaanishi kama baba yake sio Mrisho).

Swali lilio mbele yetu...je wewe ni mtoto wa Julius Kambarage Nyerere?...

Ndugu yangu hilo swali lako utaambiwa unatafuta mgogoro na Mods.
 
"Unajua enzi ya Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa",aliji-sacrifice saana reputation yake maskini kwa Wananchi/Watanzania wengine ili kuwasaidia na kuwabeba mno takriban katika kila nyanja hawa jamaa zake/Wakristo wenzake.

Matokeo yake leo Nyerere hayupo maskini,hawa wamechanganyikiwa kama vile mbogo alojeruhiwa"

Kama usemayo ni kweli basi tambua tu kwamba sio rahisi kuuvunja mfumo aloouacha Mwalimu. Mwalimu alikuwa habahatishi katika kazi zake. Kazi alizoziacha ngumu kuzivunja. Zinajisimamia zenyewe.

Kinachonishangaza mimi aliwabeba pia akina Rashid, Salim, Amir Jamal, Hamza, Abdallah Twalipo, Abbas Sykes,...
Akawabeba Wazanzibar wengi tu akina Maalim Seif( Yule wa 1984, sio huyu wa sasa!), Idrisa, Aboud Jumbe,...

Ndugu yangu,si ndio kati ya haya tunayoyajadili na kuyaongelea kila kukicha hapa jamvini takriban nusu mwaka sasa!?

Au unataka tuanze upya kule tutokeako!?

Au wewe mwenzetu hufuatilii hili Darsa la Sheikh Mohammed kwa kina na utuvu!?

Punguza kusinzia yakhe,fuatilia mnakasha kwa makini na ghiba yenye tunu.

Ahsanta sana.
 
Wewe kumchukia Mwalimu hata kipofu analiona hili katika maandishi yako. Halihitaji mkalimani hili.

Vijiji vya Ujamaa kama wewe na baadhi yenu mloozaliwa mijini hamkunufaika navyo mimi sishangai mkiendelea kuvikejeli na kuvidhihaki. Wenzenu tuliokulia kwenye vijiji hivi kisha vikatutoa tuna mengi mazuri ya kusimulia.

Mwalimu alikuwa Rais wetu sote. Tunachokataa humu na kwingineko ni hali ya kumbambikia shutma za uongo, kejeli, ufidhuli wa kila aina kwa sababu za kitoto na visasi vingi tu. Mwalimu hakuiendeleza wala kuipendelea Mara kwa lolote. Mara hakuna wasomi wa maana. Mara hakuna miundombinu ya maana.

Kwa nini UKRISTO wa Mwalimu unawasumbueni hivo? Mwalimu alipong'atuka URAIS wa nchi hii alimwachia Ali Hassan Mwinyi, Muislam safi. Angekuwa mdini asingeruhusu hali hiyo. Uwezo wa kumkataa Mwinyi alikuwa nao! Tunaambiwa chaguo lake halisi alikuwa Salim Ahmed Salim. Mkristo huyu?

Haujanikera gombesugu. Hautanikera kwa kuwa nakusoma vizuri tu. Punguzeni chuki na husda kwa Mwalimu. Mwalimu hakuwaibia WATANZANIA. Mwalimu hakuwa na agenda ya siri kwa UISLAM na WAISLAM.

Wallahi,nimependa mno jinsi "ulivyofunguka",ni raha ilioje.

Nakhis warejea kulekule kwenye shutuma...haina neno kwasasa inanilazim nikuzoee na kukupenda ndugu yangu.

Nakopa lugha ya ndugu yangu Shariff Ritz kiduchu...na kukwambia "Nimekusoma Mkuu"!

Ahsanta sana.
 
Usultani ulianzishwa wakati Sultani Sayyid Said alipoamua kuhamisha makao makuu yake kutoka Maskat (Omani) kwenda Unguja. Sayyid Said alikuwa Sultani wa Omani tangu 1804.

Aliimarisha utawala wa Omani juu ya pwani la Afrika ya Mashariki. Mwaka 1829 alifaulu kuteka Mombasa iliyokuwa mji wa pekee wa kujitegemea kati ya miji yote ya Uswahilini.

Visiwa vya Unguja na Pemba vilikuwa chini ya Omani tangu 1689 Wareno walipofukuzwa katika pwani za Uswahilini.

Wanajamvi kuna mwenye suali au maoni?
 
Kuna furushi la maswali mengi hujawahi kujibu,Shariff Ritz amekutunzia pahala...wala huna uwezo au maarifa ya kufundisha watu wenye akili zao Historia ya Tanganyika/Tanzania na hata ya Mbutu.

Kama unabisha hili Yericko tafadhali,mimi binafsi na wewe tuanze Historia ya Mbutu hapo unapoishi.

Kama ukiweza kunishinda...nakuhakikishia nitachukua likizo ya miezi kadhaa hapa kibaruani na kuja hapo D'salaam kukufuata wewe tu ili unifunze "Historia yako" unayoifahamu!?

Tuanze,au unataka mimi nianzishe suali kwako!?....

Cc;Ritz
 
Back
Top Bottom