Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
sasa hapo kipi unachoshindwa kukielewa?mfano cmm ni chama kinachojipambanua ni cha ukombozi wa mtanzania,na wewe ulibahatika kwenda nje kimasomo,kufika huko masomoni ukaamua nawe na group la wenzako kuanzisha chama ili mje mlete ukombozi na unajaribu kufanya mawasiliano na nyumbani kisha huku nyumbani mbona kuna chama tayari chenye nguvu na kinachokubalika?kama vipi wewe fungua tawi tuh huko la chama hiki,nawewe ukafnya hivyo,unapomaliza masomo yako na kurudi nyumbani na ukawakuta wale ambao walikuambia ufungue tawi kipind uko masomoni na wakakuribisha kwenye chama rasmi,wewe utaweza chukua hoja ya kwamba wewe ni kingunge eti kisa ulianza harakati hizo hata kipindi uko nje ya nchi??inaingia akilini?
Sasa nimeelewa kwa nini mtu mzima bado unanyonya vidole.
Utachaguliwaje Katibu wa tawi wa chama fulani bila kuwa mwanachama? Nyerere alikuwa Katibu si tu Makerere bali hata alipokuwa tayari Mwalimu Tabora kabla ya kwenda Scotland na kuja Dar. Unataka kusema wakati wote huo hakuwa mwanachama? Unataka kuniambia kuwa hao wazee wake Mohamed walivutiwa na charisma yake tu katika muda mfupi wa mwaka mmoja kiasi cha kumpa urais wa chama chao? Nyerere alianza harakati muda mrefu na aliisha kuja Dar kuhudhuria kikao cha chama chake cha TAA kabla ya kuondoka kwenda ulaya. Bila shaka waliishapata habari zake na walipomjua kwa karibu zaidi ndio wakaamua kuwa anafaa kuwaongoza.
Jifunze kufikiria mwenyewe.
Amandla.......