Yericko Yohanes Msambila, teh teh teh.
CC;
gombesugu,
Shariff Ritz,
Salaam
Al Akhiy.
Yaani kwa kifupi nina ghadhabu nyingi mno. Maishani mwangu sijawahi kutapeliwa kama vile alivyotutapeli huyu kijana
Yericko Yohana Msambila...baba yao Mzazi akina
Lee Sung na mwenzie
Chung Cheng!ahaha!!
Nastaajabu kuna wakti huyo
Yericko alitujuza hapa
jamvini yakuwa Mkewe/Shemegi yetu ni
Mzanaki...sasa yawaje leo watoto, iwe Wazazi wao mmoja ni
Mzanaki na mwingine ni
Muhehe lakini wao wana majina ya
ki-Chinese!?...
Ama kweli ma-
Chinese wameiteka
Afrika/Tanzania katika kila nyanja na sasa wanaingia mpaka kwenye
Familiy,
tamaduni na makabila yetu maskini...maskini
Watu weusi!?ahaha!!
Unajua mara zoote mimi binafsi, niliamini kabisa yakuwa ati tunazungumza na
Mwanataaluma fulani mkubwa mno tena alobobea kwenye fani yake!?...kama vile
Sheikh Mohammed Said
Mara zoote jamaa hapa kibaruani maskini,walikua wakiniuliza mbona siku hizi nimecharukwa na pilika nyingi za mitandaoni na khabari za
D'salaam!?...nami nilikua nikiwajibu
Colleagues zangu maskini yakuwa ati nalumbana na
Mwanataaluma mwenzetu huko nyumbani kuhusu
Historia ya nchi yetu!?ahahaa!
Kumbe huyu ni
muhuni fulani tu,
maluuni na
khabith mkubwa mno!
Mchana huu pia mimi binafsi nitafanza mawasiliano kujaribu kutafuta baadhi ya jamaa pale kwenye uongozi wa
club ya
Simba niwashtue kiduchu kuhusu huyu
Mjukuu wa Msambila na utapeli wake hapo mjini.
Nitazungumza aidha na
Mzee Khamis Kilomoni au
Kaburu. Maana kuna khabari yakuwa jamaa wengi pale Kilabuni/
Simba ati wanampa hishma huyu kinyonga kwa kujua ni mtoto wa kuzaliwa na
Julius Kambarage Nyerere!?
Kwa kifupi,
Yericko ametukana saana na kuwadhalilisha mno
Wazee wetu kwa kuwaita majina kadhaa. Amemkashif
Sheikh Mohammed pita kiasi!
Mimi mwanzoni nalifikiri huyu
Mjukuu wa Msambila ni
Scholar mkubwa mno. Lakini ile lugha ya mazungumzo yake,majisifu yake kwenye majambo ya kipuuzi na ule uwezo wake katika unyambulisho wa khabari na hoja...ghafula ndo nikaanza kupatwa na mashaka mengi tu!?
Wallahi,nimepatwa na huzuni nyingi pia kwa kero,karaha na zogo jingi mno alosababishia baadhi hata ya
Wanajamvi hapa kutupiana maneno ya kashfa...na wengine maskini ati kusimama kidete kumtetea huyu mnafiki ambae ni
janga la
Taifa letu!
Zaidi ya hao kuna viwavi wengi tu hapa,wameshindwa kusimamia haki na kuacha hata watoto wa damu wa
Julius Kambarage Nyerere watukanwe na kukashifiwa!?...hivi hao watu wanaweza vipi leo kutuonyesha nyuso zao hadharani na kujiita ati ni
wasomi!?
Pamoja na jitihada zoote za
Al Khalifa The Big Show maskini, kumtaka huyo
mjukuu wa Msambila na mwana wa
Yohana atake radhi,lakini bado anazidi kukakamaa na kuendelea kuomba
contacts za baadhi ya
Wanajamvi ili akazidi kuendeleza uchochezi na utapeli wake hapo mjini.
Pia nitafanza mawasiliano na
Mzee Jumanne Mgovano wa pale
Makambako,ili akafuatilie zaidi khabari za kizazi cha
Yohana Msambila ili kujua...ni kweli hayo majina na
Family vina-exists hapo
Iringa anapodai ndipo atokeako
Yericko!?
Yawaje leo Fundi umeme na makabati alozaliwa
Mgololo Iringa, tena alosomea
China,khalafu aje hapa jamvini kwa ujuvi na ujuba ulo mwingi na kusema yakuwa ati yeye anaijua Historia yoote ya
Tanganyika na Zanzibar kwa mapana yoote kushinda mtu/kijana yeyote au hata
Historian yeyote wa karne hii hapo Tanzania!?...
Ghalafu wanatokea
viwete fulani wa maarifa wakiongozana na
viwavi ati wanampigia vifijo na nderemo...maal'buuk!
Yeye huyo
Mjukuu wa Msambila alifikiri yakuwa, sisi tulipokua tunamuuliza
sources zake labda ni wapumbavu na hatujui kitu!?ahaha!!...
Tunajua yakuwa anachanganya
sources,vitabu,maandiko,manuscripts na articles mbalimbali na kutafsiri kwa kile
Kiswahili chake cha
Makambako...ati ghalafu anatangazia watu/
wanajamvi tulokaa hapa na maarifa yetu yakuwa anatufundisha
Historia ya
Tanganyika/Zanzibar.
Ndo maana jana pia nilimkumbusha ile khabar ya
Intellectual Property Rights za Sheikh Mohammed Said.
Kama alivyowahi kunena
Al Sahib The Big Show yakuwa; wengi wetu tumekuja/tulikuja na kukaa hapa
jamvini na kutumia muda wetu adimu,sababu tu ya kupata
Ilm adimu ya
Scholar/Historian Sheikh Mohammed Said!
Sisi soote tuliokua tukihoji,tuliishia kukashifiwa na kuitwa wadini,"Radical Muslims",watu wa Madrassa,tuna chuki na
Nyerere/Ukristo,hatujui kusoma wala kuandika,hatutumii mantiki/logic, wala hatujui kujenga hoja na utumbo mwingineo mwingi mno!?
Huyu
Yericko Yohana Msambila(sio Yohanes/Yohanesy...kama anavyojaribu/anavyolazimisha iwe)...inalazim aangaliwe kwa makini mno...ni mtu hatari pia ni mchochezi, anaeweza kuleta maafa na kusababisha rabsha nzito hapo nchini kwa kutumia mitandao kama hii!
Kwa kifupi hayo maneno na utumbo wake mwingi mno alotuandikia jana kwenye ule "
muago wake",alitakiwa vile vitu ndo avizungumzie awali kabisa hapa jamvini au kutoa ufafanuzi pale
wanajamvi wenzie walipokua wakimhoji!?
Yaani wewe
Mjukuu wa Msambila...umetuvunjia hishma zetu mno.
Umetutukania; ndugu yetu
Sheikh Mohammed,Wazee wetu,
Dini yetu tukufu na pia kutugombanisha na baadhi ya ndugu zetu
Wakristo wastaarabu hapa jamvini
takriban nusu mwaka sasa
...khalafu unashindwa hata kututaka radhi kwa usumbufu
wanajamvi wenzio na wale woote waliokua wakiacha shughuli zao ili kufuatilia mnakasha huu!?
...Khabith,Afrit na Maluuni saana wewe mshamba na limbukeni wa mji!
Yericko Msambila; kwa kifupi umenikera mno...nami si mwepesi wa kukereka.
Shariff Ritz,niwie radhi kwa bayana yangu kwako hii ilo dhaifu. Imenilazim kupitisha salam kwako maana wewe ndo umuwezae huyo kinyonga!?
Nashukuru hili
jamvi limeachwa kiduchu ili wale woote tuliokhis tumefanziwa
dhuluma za nyonyo zetu na
makhanatha na huyo
Yericko Msambila...tupite hapa na kumwachia
pain killers zake japo kiduchu.
Kama vile alivyosema
Ulamaa Al Maaruf Ally Kombo,yakuwa huyu
Yericko lazim tumsute/tumsuduku japo kiduchu kwa usumbufu woote alotufanzia...labda kama akiamua kutumia ustaarabu na
kututaka radhi rasmi kwayo!?
Ahsanta.
Cc;The Big Show,Boko Haram,Ustaadh Salum Mitema,Professor Ngongo.