Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huyu mzee ukisoma mada zake na ukijaribu kupitia maisha ya shuleni au mitaa tunamoishi unakutana picha tofauti kabisa yaani kwake ni kama waislamu wanadhulumiwa mnoo kwenye kila nyanja tofauti kabisa na maisha tunamoishi
Anyway kwa upande wangu labda ni mchanga au mambo hayo yamenizidi upeo niwe mtazamaji.
Lakini sipendezwi sana na vile anavyojibidiisha kutengeneza utengano kwani ni muhimu zaidi kulikusanya taifa pamoja kuliko kutumia taaluma yake kulitawanya.
 
Kubali kusikia story ya upande wa pili ili upate uhalisia.

Huenda ni kweli, maana historia ya nchi nyingi kabla na baada ya uhuru ziko twisted sana.
Hata mimimnapenda kusikia vya upande wa pili,Ila viwe sahihi ...Kama amefanya Utafiti ,je una Mamlaka? Ni hilo tu naikibidi 'tumpe kongole!
 
Mojawapo ya chanzo Cha matatizo katika nchi changa no ubaguzi ambao huasisiwa na wachache ,husasan Tabaka Tawala / Wassomi kwa malengo ya Kimkakati!
Nchi yetu Ina bahati kidogo ,kuwa iliwekwa msingi ya kpunguza visabqbishi ikiwemo ,ubaguzi wa kiimani,kmakabila au wa kijiografia!
Kwa kuwa tabia hizi ni za kibinadamu hazijaisha kabisa!
Kuna Mwandishi mmoja wa Historia anaitwa Mohamed Said .Mwandishi huyu no maarufu Sana kwa kuandika Historia ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwa mujibu wake ,yeye huandika Historia ambayo anasema ..ilifichwa,makusudi .
Hapa nitatoa mifano ambayo Mwandishi huyu anaandika ambayo inaweza kuleta chuki na mtafaruku katika jamii!
Awali,amebainisha Histori ya TANU,haiwataji baadhi ya Waislam,ili kuficha jitihada za Waislam kudai Uhuru wa Tanganyika! Sijawahi kusikia au kuona hili likikanushwa!
Pili,anaandika na kusisitiza kuwa Wizara ya Elimu,imekuwa ikitumia Uwiano wa 20:80 ktk kuchagua Wanafunzi Kidato chakwanza...hapo 20 ni Waislam!
Mwisho,hivi karibuni amehoji uhalali wa Gaudensia Kabaka kuwa Mwenyekiti wa UWT CCM!,ilhali yeye, alizuia ujenzi wa msikiti na kuwanyanyasa Waislam Chuo Kikuu Cha Dodoma!Kuwa inakuwaje huyu anaioghoza Taasisi iliyoasisiwa na Waislam kina Bibi Titi!?
Bahati mbaya kwangu,sijui uhalali wa shutuma hizi.Ila ni shutuma kubwa ambazo zinalenga kupandikiza chuki!Hapa zijazungumzia mtazamo wake kuwa Nyerere alipokelewa na kutunzwa na Waislam akitokea Bara na akaja kuwa tenga!
Swali langu ni je,inakuwaje wauhusika wanafumbia macho uandishi huu! Kukaa kimya ni kumpa kibali na wasomaji wake tumuamini!
Madhara yake ni makubwa!
Tafadhalini wahusika Serikali,CCM msiache kulizungumzia makala hizi ambazo Mimi huzisoma hapa Jamii Forum!
Kuwaje tenga?
 
Kwani kiandika ni mpaka awe na mamlaka?

Hata ww ukitaka fanya utafiti wako kisha uje na majibu yako.

Yule mzee anachoniudhi ni mdini sana.
 
kwa taarifa yako JF walimpa tuzo ya heshima, kama unateseka na uandishi wa mwamed hamia fb nzi wewe...
 
Zamani nilimpinga sababu ya ujinga wangu, nilivyochunguza historia kwa undani niligundua yuko sahihi. Wewe kama una historia ya wakristo walioshiriki weka hapa.

Ila sababu mojawapo kubwa ya waislam kushiriki ni sababu uislam uliwekwa kando wakati wa ukoloni wa muingereza. Hiyo ni moja ya sababu kuu sana.

Yuko sahihi na nimejifunza mengi sana
 
Ahsante Mkuu kumbe unajua kuwa fb kuna utoto,huu utoto pia um3hamia JF ! sentensi yako hii n kielelezo tosha!
 
Kwani kiandika ni mpaka awe na mamlaka?

Hata ww ukitaka fanya utafiti wako kisha uje na majibu yako.

Yule mzee anachoniudhi ni mdini sana.
Sikumaanisha Mamalaka unayoijua wewe...Kuna maandishi ukiyaandike n lazima yahalalishwe ,hususan utafiti!
 
Zamani nilimpinga sababu ya ujinga wangu, nilivyochunguza historia kwa undani niligundua yuko sahihi. Wewe kama una historia ya wakristo walioshiriki weka hapa.

Ila sababu mojawapo kubwa ya waislam kushiriki ni sababu uislam uliwekwa kando wakati wa ukoloni wa muingereza. Hiyo ni moja ya sababu kuu sana.

Yuko sahihi na nimejifunza mengi sana
Yupo sahihi kwa lipi,20:80,Kwa Kabaka au Waislamkutenhwa na Historia?!
 
Mojawapo ya chanzo Cha matatizo katika nchi changa no ubaguzi ambao huasisiwa na wachache ,husasan Tabaka Tawala / Wassomi kwa malengo ya Kimkakati!
Nchi yetu Ina bahati kidogo ,kuwa iliwekwa msingi ya kpunguza visabqbishi ikiwemo ,ubaguzi wa kiimani,kmakabila au wa kijiografia!
Kwa kuwa tabia hizi ni za kibinadamu hazijaisha kabisa!
Kuna Mwandishi mmoja wa Historia anaitwa Mohamed Said .Mwandishi huyu no maarufu Sana kwa kuandika Historia ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwa mujibu wake ,yeye huandika Historia ambayo anasema ..ilifichwa,makusudi .
Hapa nitatoa mifano ambayo Mwandishi huyu anaandika ambayo inaweza kuleta chuki na mtafaruku katika jamii!
Awali,amebainisha Histori ya TANU,haiwataji baadhi ya Waislam,ili kuficha jitihada za Waislam kudai Uhuru wa Tanganyika! Sijawahi kusikia au kuona hili likikanushwa!
Pili,anaandika na kusisitiza kuwa Wizara ya Elimu,imekuwa ikitumia Uwiano wa 20:80 ktk kuchagua Wanafunzi Kidato chakwanza...hapo 20 ni Waislam!
Mwisho,hivi karibuni amehoji uhalali wa Gaudensia Kabaka kuwa Mwenyekiti wa UWT CCM!,ilhali yeye, alizuia ujenzi wa msikiti na kuwanyanyasa Waislam Chuo Kikuu Cha Dodoma!Kuwa inakuwaje huyu anaioghoza Taasisi iliyoasisiwa na Waislam kina Bibi Titi!?
Bahati mbaya kwangu,sijui uhalali wa shutuma hizi.Ila ni shutuma kubwa ambazo zinalenga kupandikiza chuki!Hapa zijazungumzia mtazamo wake kuwa Nyerere alipokelewa na kutunzwa na Waislam akitokea Bara na akaja kuwa tenga!
Swali langu ni je,inakuwaje wauhusika wanafumbia macho uandishi huu! Kukaa kimya ni kumpa kibali na wasomaji wake tumuamini!
Madhara yake ni makubwa!
Tafadhalini wahusika Serikali,CCM msiache kulizungumzia makala hizi ambazo Mimi huzisoma hapa Jamii Forum!
kawaida kitu kinachopuuzwa hupotea kimya kimya. mi kwa upande wangu nadhan ccm wako sahh kumpuuza. hawa waswahil ni watu flan wamechanganyikiwa na life baada ya asilimia 85 kununuliwa nyumba zao hapa mjin. wamejikuta wako nje ya mfumo waliouzoea weng wapo huko nje ya mji. wamefeli wamebaki kuilaum serikal kwa maanguko yao wenyewe. na wasipokubal kutembea na mabadiliko ya dunia watajikuta watwana wa waarabu maisha yao yote. ukifuatilia hz hadith zake ni zile zile za waswahl kuanzia kilifi kenya mpaka kilwa huko. wanachojua ni kuhadithia ngano za kale ambazo hazibadili mlo mezani. nachoweza kuwashauri hawa ndugu zetu watambue wakat na dunia waliopo wanapoteza muda zaid. watarithisha watoto stor. kwanin wanashindwa na jamii ya kiarabu.
 
Mleta mada umekiri kwa kusema "bahati mbaya sijui uhalali wa shutuma hizi"
Halafu unataka Mohamed Said achukuliwe hatua!
Mimi ningependa wanahistoria,wapangue shutuma na maandiko ya Mohamed Said kwa hoja na vielelezo
 
Mojawapo ya chanzo Cha matatizo katika nchi changa no ubaguzi ambao huasisiwa na wachache ,husasan Tabaka Tawala / Wassomi kwa malengo ya Kimkakati!
Nchi yetu Ina bahati kidogo ,kuwa iliwekwa msingi ya kpunguza visabqbishi ikiwemo ,ubaguzi wa kiimani,kmakabila au wa kijiografia!
Kwa kuwa tabia hizi ni za kibinadamu hazijaisha kabisa!
Kuna Mwandishi mmoja wa Historia anaitwa Mohamed Said .Mwandishi huyu no maarufu Sana kwa kuandika Historia ya Tanganyika na Zanzibar.Na kwa mujibu wake ,yeye huandika Historia ambayo anasema ..ilifichwa,makusudi .
Hapa nitatoa mifano ambayo Mwandishi huyu anaandika ambayo inaweza kuleta chuki na mtafaruku katika jamii!
Awali,amebainisha Histori ya TANU,haiwataji baadhi ya Waislam,ili kuficha jitihada za Waislam kudai Uhuru wa Tanganyika! Sijawahi kusikia au kuona hili likikanushwa!
Pili,anaandika na kusisitiza kuwa Wizara ya Elimu,imekuwa ikitumia Uwiano wa 20:80 ktk kuchagua Wanafunzi Kidato chakwanza...hapo 20 ni Waislam!
Mwisho,hivi karibuni amehoji uhalali wa Gaudensia Kabaka kuwa Mwenyekiti wa UWT CCM!,ilhali yeye, alizuia ujenzi wa msikiti na kuwanyanyasa Waislam Chuo Kikuu Cha Dodoma!Kuwa inakuwaje huyu anaioghoza Taasisi iliyoasisiwa na Waislam kina Bibi Titi!?
Bahati mbaya kwangu,sijui uhalali wa shutuma hizi.Ila ni shutuma kubwa ambazo zinalenga kupandikiza chuki!Hapa zijazungumzia mtazamo wake kuwa Nyerere alipokelewa na kutunzwa na Waislam akitokea Bara na akaja kuwa tenga!
Swali langu ni je,inakuwaje wauhusika wanafumbia macho uandishi huu! Kukaa kimya ni kumpa kibali na wasomaji wake tumuamini!
Madhara yake ni makubwa!
Tafadhalini wahusika Serikali,CCM msiache kulizungumzia makala hizi ambazo Mimi huzisoma hapa Jamii Forum!
Unadhani CCM wana muda na mtu ambaye hana madhara yake ukiachia mbali kutoamini kwenye agenda yake ya udini, ukoo na ukabila? Wakimuandama watampandisha chati bure. Naungana na msimamo wake wa kumuacha aandike atakacho ilmradi havunji sheria. Jamani mpeni haki yake. Ana uhuru wa kutoa maoni yake kama mtanzania mwingine. Kama akina Msiba wa Musiba waliachiwa yeye ana kosa gani kaka yangu na mwanangu?
 
Ingekuwaje shutuma hizo akazitoa Tundu Lissu!
 
Hata kwenye mapenzi malalamiko yakizidi sana mwisho unaonekana msumbufu au unaboa.
 
Makala zake ni za kawaida Tu,Sema ukwel wa makala unaleta ukakasi wa kwanini hawa mashekh hawatajwi anataja bingwa Tu WA butiama lakn mara nyingi namuona anakwepa na anakemea wanaotumia makala zake Kwa mtazamo wa udini lkn hakuna hata anachosema ni uongo mwisho wa siku wanaojua huwa wanakaa kimya Tu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo mengi sana yamefichwa au yako ndivyo sivyo kwenye historia yetu
 
Zamani nilimpinga sababu ya ujinga wangu, nilivyochunguza historia kwa undani niligundua yuko sahihi. Wewe kama una historia ya wakristo walioshiriki weka hapa.

Ila sababu mojawapo kubwa ya waislam kushiriki ni sababu uislam uliwekwa kando wakati wa ukoloni wa muingereza. Hiyo ni moja ya sababu kuu sana.

Yuko sahihi na nimejifunza mengi sana
Kwahiyo 20:80 ni nini mbona huwa anaiongea kwa kuimung'unya mung'unya.

Na anaposema waislam huwa wanaonewa na NECTA ndio nini ?

Anaposema baada ya waislam kuandamana wakamtoa Ndalichako na lakini wakaweka wale wale yaani Charles Msando anamaanisha nini ?

Yaani huyu mzee anatamani akiamka siku moja akute wakristo wote nchi hii wamekufa, wamebaki waislamu tu.

Na hawa wanaharakati uchwata wa dini walimsumbua sana Kikwete na sasa wameanza.

Kama huyu mzee, yeye huwezi kumkuta kwenye maandamano, kazi yake ni kuchochea tu.
 
Zamani nilimpinga sababu ya ujinga wangu, nilivyochunguza historia kwa undani niligundua yuko sahihi. Wewe kama una historia ya wakristo walioshiriki weka hapa.

Ila sababu mojawapo kubwa ya waislam kushiriki ni sababu uislam uliwekwa kando wakati wa ukoloni wa muingereza. Hiyo ni moja ya sababu kuu sana.

Yuko sahihi na nimejifunza mengi sana
Mkuu Nyakageni , huyu ndugu Mohamed Said ni mwanahistoria mzuri na hilo nakubaliana nawe na yeye pia.
Tatizo lake ambalo mwandika uzi ana hofu nalo,ni hili la kuonyesha kuwa dini fulani inakandamizwa sana , kihistoria tangu harakati za uhuru wa Tanganyika na mpaka sasa katika nyanja za kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kijamiii na kimaendeleo.
Kuandika historia sahihi si kosa, lakini kuonyesha kuwa dini/jamii/kundi/kabila fulani linaonewa katika kila andishi huu tunaita "ubaguzi" na inapandikiza mbegu mbaya ya "chuki".
 
Back
Top Bottom