Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #501
Kwanza nikusihi kuwa na adabu unapoongea/kujadiliana na mtu yeyote yule,WELL THEN,BIG BROTHER STOP :blah:,,JIBU NA UTUELEZE BILA KUMEZA MEZA MANENO KAMA WEWE UNAKUBALIANA NA HOJA ZAKE,, 1.NINI SASA UNACHOKIPINGA?? 2.NI HAKI YAKE KIKATIBA KUTOA ELIMU KWA JAMIIM NA KUELIMISHA PALE PALIPOTOSHWA,WEWE KINACHOKUWASHA WASHA NI NINI?? 3.HAKUNA ALIEKULAZIMISHA KUSOMA WALA KUKIAMINI ALICHOKIANDIKA,NA KAMA UNA KIRI YA KWAMBA HAJAANDIKA UPOTOSHAJI,SASA POVU LA NINI?? 4.KAMA TULIOSOMA TUMEEELEWA NA KUKIAMINI TUAMBIE WEWE SASA UKWELI UNAOUFAHAM WEWE NI UPI?? UMEUMBWA MWANADAMU KISHA UKAPEWA AKILI NA KIPAWA CHA KUAMUA,VIPI BINADAM TUNADHARAU KUTUMIA AKILI HIZO TULIZOPEWA??
1) Ninapinga kupotoshwa kwa historia ya Uhuru wa Tanganyika.
2) Nikweli ni haki yake kuelimisha lakini si kuchochea maasi kwa kujenga tabaka la ubora mimi. (muislamu)
3) Ikiwa kitabu chake amekihalalisha kuwa ndio historia ya uhuru wa nchi hii, hapo ni 100% amemlazimisha kila binadamu duniani kusoma na kuamini alichokiandika. Hiyo ni shuruti.
4) Ukweli ninaoufahamu na uliondani ya mioyo ya wapenda amani waislamu kwa wakristu upo katika kitabu cha TANU kilichoandikwa na chuo cha kivukoni.