Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ms,Nguruvi,
Kitu kimoja ambacho kitakupa tabu kufahamiana na mimi ni
kuwa ushanihukumu.
Jambo la pili una ghadhabu.
Tatu hujatulia ukatazama ili upate yakini kwa kile mie nilichosema.
Soma tena nilichoandika.
Mimi sijapata kusema Ibrahim Hamisi ni Mmanyema.
Mzee Ibrahim Hamisi ni Mnubi mwanae Abdallah Ibrahim tukifahamiana.
Nyumba ya Ibrahim Hamis ilikuwa Mtaa wa Kipata na Kongo.
Sisi nyumba yetu Kipata na Nyamwezi.
Wazee wakifahamiana.
Sasa iweje mie niseme sicho?
Kuhusu Ramadhani Ali nimesema sijakutananae katika utafiti wangu
na kama wewe una taarifa mpya zilete tusome sote tunufaike.
Hilo la kukanwa hata sielewi unakusudia kitu gani lakini haya ni matokeo
ya kuandika ukiwa umehemkwa.
Kuhusu AA kuwa chama cha starehe hili nimelisema na sioni tena sababu
ya kuendeleza hili.
Nakuachia uhuru wa kuamini unachopenda kubwa kwangu mimi si wewe
bali ni wasikizaji 80,000+ wanaotusikiliza hapa.
Hawa hawajapata kusikia historia hii ninayoieleza humu JF.
Mpaka hapa nadhani panatosha.
tupe mkasaSon...
Nakushukuru kwa picha hii.
Ningependa kuwataarifu wana jamvi kuwa Ally Sykes
aliandikiana na Kaunda kwa mara ya kwanza 1953.
Kuna mkasa mkubwa uliwafika wapigania uhuru hawa
mikononi mwa wakoloni.
Wanajamvi mngependa kusikia mkasa huo wa 1953?
nafikiri kuna haja ya kuweka polls kujua ukweliMzee ms,
Naomba nikuulize jambo, hivi hawa wsikilzaji unaowaongelea 80,000+
Hivi, unauhakika gani kama wote wako upande wako?
Mzee ms ni bingwa wa kukwepa maswali magumu na kukimbilia huluma ya wasikilizaji.
Sie tunao sikiliza tungependa ujibu kila unacho ulizwa kama wao wanavyokushushia nondo.
Wewe umekalia kujinukuu maandishi yako tu.
Jibu kila swali kufupisha mnakasha mzee wangu.
Mohamed, ulichokuwa unambishia Mag3 ni nini? Mag3 alikuuliza ukasema hujui, akakuuliza kuhusu Ali Ramadhani ukasema hakuwepo kumbe unajua na sasa unakiri kuwa rais wa kwanza wa AA hakuwa Sykes ingawa umeficha kusema katika founding members nani alikuwa Rais, mwekahazina na Makamu. Nadhani walengwa hawakuwa miongoni mwa wapendwa wako. Kama kivukoni kilivyoficha nawe pia umeficha ukweli, kwanini usote kidoele kwa wenzako vinne vikiwa vimekuelekea?
Hebu angalieni, Ibrahim Hamisi ametajwa kama Manyema wengine wakitajwa majina yao. Hapo anachotaka kusema ni kuwa Wamanyema ndio walioanza kuikomboa nchi hii kama alivyowahi sema asilimia 100 ni waislam
Ushahidi huu pia umemtaja Matola na sasa ni wazi kuwa ile ngano ya from Sykes to Sykes si kweli. Ahsante sana Mag3 maana taratibu nyoka anatoka pangoniTusijekataa kuwa urafiki wao uliishia hapo tu.Na Cameron alikuwa gavana wa Uingereza iliyokuwa chini ya Mfalme na mkuu wa Anglican, hili tusilisahau
Huyu Cameron alikuwa Mwanglican akifanya kazi chini ya mfalme ambaye ni mkuu wa kanisa la Anglican.
Mohamed aliwahi kulaani Tanzania kuwa mwanachama wa commonwealth iliyo chini ya kanisa.
Hapa anatuonyesha jinsi gani Anglican walivyokuwa wakarimu hadi kusaidia kuanzisha chama wakiwa sambamba na wazee wake
Abdulwahid remembered his father telling him the reasons for forming the Association''At that time there were two Associations existing. There was the European Association and the Indian Association. Both these were concerned with their own nationalities. But the Africans had no such Association to defend them. In the Legislative Council the Africans were represented by a white missionary named Father Gibbons, who worked at Minaki Mission several miles outside Dar es Salaam. But in reality this European did not establish any connections with the Africans whom he represented. For that reason the Africans, feeling unrepresented and having no Association similar to that of the Europeans and Asians for securing their rights, met and decided to form their own Association''
Hewalaaa! Mashallah! Hapa Sykes anawaambia wanawe sababu za kuundwa kwa AA kama chama cha kuwawakilisha Waafrika. Katika maneno yake Kleist hakuwahi kusema chama cha kuwawakilisha waislam. Sasa hili la Mohamed kuingiza uislam kalipata wapi.
Kleist Sykes kamkana, Abdul kamkana, Mohamed anaongelea akina nani?
Wenyewe wanamkana mchana kweupee!
: Hapa anasema ilikuwa imeundwa mbali na misingi ya udini na ukabila.
Kumbuka wanaosema hayo ndio wenye chama.
Sasa Mohamed anapata wapi kuelezea habari za Waislam na si Watanganyika.
Huko nyuma Mag3 aliwahi kumwambia Mohamed AA kilikuwa chama cha starehe.
Mohamed akasema si kweli sasa maandishi yanaonyesha kuwa hiyo ni kweli.
Soma mstari wa mwisho missionaries cautioned Christians not to involve themselves with the organisation as it would eventually lead to politics against the state Kwa maana kuwa hakikuwa chama cha siasa kwa kuanzia ingawa leo tunajua ndicho kilichozaa vyama vilivyofuata.
Mohamed ame skew history kwa bahati nzuri maandishi yake yanamjibuWewe ukiwa kama mwandishi na mtafiti hutakiwi kuwa kama waandishi makanja nja, unatakiwa u-provide authenticated proof. Mohamed where is the proof.
Unapotumia neno Christians kwa ujumla, je Maryknoll walikuwa wapagani?
Clement Mtamila, John Rupia, Dr Kyaruzi, Dunstan Mhando, Thomas Plantan, Cecil Matola n.k wao walisalimika vipi na zuio la kanisa?Kwanini iwe Christian collectively na si individuls.
Hivi ni sawa mtu kuwachukulia AMNUTau UAMSHO kama waislam in general. Hivi huoni hapa unauweka Uislam katika njia panda kitu ambacho si sahihi. Mtu atakaposema Waislam ni magaidi kwa kumwangalia Osama, Alshabaab au Taliban kama waislam na si makundi atakuwa amekosea?
Hapa anachokifanya ni kujenga taswira ya awali kuwa wakristo hawakushiriki katika harakati.
Ndivyo anavyoanza na elimination ili mwisho wabaki Wazulu, wamanyema na Wazee wake na hapo apigilie msumari wa moto.
Ukisoma between the lines utaona Mohamed anavyo change positions, anavyo misrepresent masimulizi kwa kuingiza fikra zake katikati ya ukweli.
Kleist Sykes anasema waliunda chama ili kuwa na uwakilishi wa Waafrika. Hakusema Manyema Zulu au waislam.
Abdul Sykes alirudia maneno ya baba yake kuwa waliunda chama kumkomboa mwafrika si Mzulu, Mmannyema au waislam
Hawa ndio wazalendo ambao leo maneno yao yanakuwa skewed ili kukidhi haja na kiu ya ubaguzi, farki na fitna katika jamii. Wanaofanya hivyo wametanguliza jina la Mwenyezi mungu na dini yake mbele. Sad!
Ritz nashukuru kwa mwaliko huenda ningekikosa kipande hiki, thread imefika mbali ati.
Daaaah..Natamani ungekuwa raisi wa nchi hii hakika post yako imejaa weledi na uzalendo wa hali ya juu.Wenye masikio na wasikie.Mwenyezi Mungu akubariki sana mkuu.Ritz, katika huu mjadala peke yake mpaka dakika hii umefikisha posti 840, mimi hata 150 sijafikisha!...mtu pekee aliyekuzidi ni huyo mchochezi, mwalimu wako Mohamed Said, kwa posti zinazokaribia 2,000! Yaani katika siku 45 za huu mjadala amechangia mara 2000 sawa na post mbili kila baada ya saa moja!
Sehemu kubwa ya michango yako unamtaka asimulie historia ya wazee wa Kimanyema wa Gerezani, simulizi ambazo tayari anadai ziko ndani ya vitabu alivyoandika...kwa nini usinunue tu hivyo vitabu uvisome ama kama huwezi hivyo umtumie PM akusimulie kama vile alivyosimuliwa na wazee wake?
Mada inasema "Uchochezi wa Mohamed Said...", wewe badala ya kukaa kimya kwa sababu huna lolote jipya la kuchangia, eti unamuomba azidi kumwaga ngano zake humu, et tu Brutus? Ungemsaidia zaidi kama ungemshauri mwalimu wako ajibu maswali anayoulizwa badala ya kushabikia porojo zisizo na mshiko.
Sasa mfikishie haya maswali;
Mwisho natoa ombi kwa jamii yote ya JF mnaofuatilia huu mjadala...kwa kweli ni bahati ilioje tumepata fursa ya kuona jinsi uongo ukirudiwa rudiwa bila kuhojiwa, huweza kuwaathiri wengi akiwepo na huyo aliyeuanzisha. Wazee wetu walipigania uhuru si kama Waislaam au Wakristo, si kama wazawa au wakuja, si kama wapwani au wabara, si kama Wazaramo au Wahaya, Wadengereko au Wasukuma, Wamanyema au Wachaga, Warufiji au Wanyakyusa...walipigana kama Watanganyika, period.
- Ni lini EAMWS iliyoanzishwa na wakuja (immigrants) na ikapata upingamizi mkubwa kutoka kwa wenye mji wakati wa kuanzishwa kwake, ilitwaliwa na hao wenye nchi (wazee wake!) kama jumuiya na mali yao?
- Ni kitu gani kilipelekea kutoelewana baina ya Waislaam wazawa na Waislaam wakuja wakati wa kuanzishwa kwa Jamaitul al-Islamiyya mwaka 1930s hadi kukawa na misikiti aina mbili...ya wakuja na ya "viroboto"?
- Kwa nini Waislaam ambao ndio wanadaiwa vinara wa harakati za uhuru na walikuwa wengi maradufu miongoni mwa waasisi wa TANU hawakumpa uongozi Muislaam mwenzao Abdulwahid Sykes badala ya Mkatoliki Nyerere?
- Na hata baada ya kumpa uongozi huku uwezo wake ukiwa haumfikii kijana wao mpendwa Abdulwahid Sykes na dai la dalili za upendeleo kwa Wakristo kuanza kuonekana wazi wazi kwa nini hawakumtosa mapema Nyerere kabla ya uhuru?
- Kwa nini huyu mchochezi anadai Mwalimu Nyerere aliwageuka Waislaam baada ya uhuru na huku ushahidi upo wazi kwamba wakorofi ambao hawakumtaka walikuwapo hata kabla ya uhuru, mfano mkubwa ukiwa AMNUT?
- Kwa nini kila serikali ya awamu ya kwanza ilipochukua hatua dhidi ya wakorofi wachache, lawama anapewa Nyerere lakini hivi sasa wakorofi wanaposhughulikiwa, hakuna anayemnyooshea kidole Jakaya Kikwete?
- Kwa nini fujo za Mwembe Chai zilizofanyika wakati wa Rais Ali Hasan Mwinyi, ambazo ndizo chimbuko la zile za mwaka 1998 huyu mdini anazifumbia macho lakini zilizotokea wakati wa Benjamin Mkapa kazishupalia sana?
- Ingawaje kwa sasa viongozi wote wa juu ni Waislaam, ni mfumo Kristo ndio unaolaumiwa kama kiini cha matatizo yetu, je mambo yangekuwaje hivi leo kama viongozi wote wa juu hivi leo wangekuwa Wakristo?
- Wakati Mwalimu anataifisha shule ili Watanganyika wote waweze kupata elimu bila kubaguana kwa misingi ya dini, ni shule ngapi za wazee wa huyu mchochezi zilitaifishwa? Ama hao wazee tayari walikuwa wamebinafsisha shule za AgaKhan na Bohora?
Hivyo si ajabu kwamba hata yeye Mohamed Said hivi sasa anaamini kwa dhati kuwa anayoyasimulia ndiyo ya ukweli, hiyo ndiyo tabia chafu ya uwongo, haimbakizi mtu pamoja na aliyeuanza! Uongo usiachwe bila kupingwa kwani wako waovu miongoni mwetu ambao watautumia huo mwanya kutugawa na kututoa katika misingi imara ya undugu na upendo uliojengeka kwa muda mrefu. Bahati mbaya tunayo serikali iliyojipa likizo, ina macho lakini haioni, ina masikio lakini haisikii...ipo kwenye usingizi mzito na viongozi wake wapo wapo tu. Ni kweli watu kama Mohamed Said, kwenye utawala usioogopa kuchukua hatua madhubuti kwa wakati muafaka, hangedumu akipanda hii mbegu ya chuki, angeshughulikiwa na vyombo vya dola mara moja...my heart bleeds for my country!
We mzee ungejikita kwenye uandishi wa vitabu vya historia bila kuhusisha udini heshima yako ingekuwa kubwa sana.Inavunja moyo sana kuona watu wenye uelewa mpana kama wewe kuwa wadini.Badilika mzee wangu.Watanzania sote ni ndugu.Tuijenge nchi yetu.Son...
Nakushukuru kwa picha hii.
Ningependa kuwataarifu wana jamvi kuwa Ally Sykes
aliandikiana na Kaunda kwa mara ya kwanza 1953.
Kuna mkasa mkubwa uliwafika wapigania uhuru hawa
mikononi mwa wakoloni.
Wanajamvi mngependa kusikia mkasa huo wa 1953?
Nikweli yote uliyonena, lakini nikujuze kuwa umelinganisha usiku na mchana,Yericko wakati mwingine unashangaza sana, hivi unafikili mambo ya ku-doctor picha kwa kupachika au kuondoa sura ambazo hazitakiwi na DORA umeanza leo!! Mbinu hizo zilianza tangu siku binadamu alipogundua jinsi ya kupiga/safisha picha za kudumu i.e mwaka 1826 na baadae usafishaji/upigaji ukaboreshwa zaidi na Eastman Kodak kwenye miaka ya 1880s.
Taifa ambalo lilikuwa limekubuhu katika uchakachuaji wa picha za wanasiasa ni URUSI wakati wa Utawala wa dikteita J.Stalin, wanasiasa wengi na watu mashuhuri walifutwa kwenye Historia ya URUSI na sura zao kuondolewa kwenye picha za pamoja - Looking back now nafikili wanafunzi Watanzania waliosomea Urusi mambo ya siasa za ki Marxists ndio walikuja kuwa washauri wakuu katika mambo ya siasi za kiimla na uchakachuaji wa historia wa Taifa letu - aidha kwa kutaka kujipendekeza au kwa lengo maalumu - ni vigumu kuelewa kilicho kuwa kinaendelea akilini mwao - kwa nini walikuwa wamepania kumfanya binadamu mwenzetu OMNIPOTENT?
Mimi siamini kama Mwalimu alikuwa anahafiki na kundi hili lilokuwa linampaka mafuta kwa mgongo wa chupa, wengi wao ndio tunawashuhudia wamekuwa mafisadi wa kutupwa baada ya Kambarage kutangulia mbele ya haki, kundi hili lilikuwa linamshauri vibaya Kambarage mpaka anajikuta anakorofishana na watu waliomkaribisha kwenye kundi lao bila ya ubaguzi, wanamtafutia walinzi, wanamtafutia mpishi wakati yuko katika safari za kisiasa mikoani, mpishi anahapishwa asimuwekee sumu kwenye chakula, wanabuni kila mbinu za kuhakikisha usalama wake na mengine mengi - baadae wanakuja kugeuziwa kibao na kuonekana ni watu wabaya SANA wataka shari!!
Hapo juu nimeona ndugu Jericko anazungumzia kuhusu apps za Computer, nafikili anazungumzia micro-computer (PC) kama sikosei, mkuu kwani Chuo Kikuu cha DSM hakijawahi kuwa na Main Frame au Mini Computers, je zilikuwepo tangu miaka gani? Je unajua zina uwezo wa ku-run programs zipi? Kwani unafikili hapakuwepo na programmes nyingine duniani zinazo husiana na michoro/picha kabla ya PHOTOSHOP kuingia sokoni?
Nimalizie kwa kuonyesha wana JF wenzangu picha zinazo thibitisha kwamba michezo ya ku-doctor picha ulianza zamani sana, wala uhitaji Computer kufanikisha hilo - computer haina akili za binadamu, itabaki kuwa a serial processor kwa kusubiri maagizo kutoka kwa binadamu na kufanya mahamuzi yaliyo kuwa programmed na mwanadamu, haina uwezo wa kwenda kinyume cha maagizo.
******************************************************************************************
Picha hapo chini ilipigwa mwaka 1860, hapa wali kuzuga watu kwa kumuonyesha Raisi Abraham Lincoln akiwa amesimama ofisini mwake; ukweli wa mambo ni kwamba walipachika kichwa cha Lincoln kwenye kiwiliwili cha mwana siasa mahili John Calhoun (angalia picha ya kulia)
![]()
[h=2]*********************************************************Picha upande wa kulia ilipigwa mwaka 1936, hapo ni Mao Tse-Tung na wanaharakati wenzake, Po Ku aliposhindwa kuelewana na Mao, basi DORA ikachezea picha (upande wa kushoto) kwa kuondoa sura ya Po Ku wakiwa na madhumuni ya kumfuta katika historia ya wana harakati wa Uchina.[/h]![]()
*****************************************************************************************
2. Picha hapo chini ilipigwa mwaka 1939, Waziri Mkuu wa Canada L.Mackenzie alimuondoa King George VI kwenye original photo na kumbakiza Queen Elizabeth ili baadae atengeneze vipeperushi wakati wa kampeini vimuongezee sifa za kushinda uchaguzi eti kwa kuwa kupiga picha na Queen!!
![]()
******************************************************************************************
Kila anapokuwa Mwalimu ni lazima umtafute kijana wa Sykes na uonyeshe kuwa alimtangulia Mwalimu kufahamiana na watu hawa mashuhuri. Ilipotoka picha ya Kenyatta na Mwalimu, haraka ukamleta Abdu hata kama ushahidi wa picha huna! Sasa hivi hii ya KK tayari umemleta Ally!Son...
Nakushukuru kwa picha hii.
Ningependa kuwataarifu wana jamvi kuwa Ally Sykes
aliandikiana na Kaunda kwa mara ya kwanza 1953.
Kuna mkasa mkubwa uliwafika wapigania uhuru hawa
mikononi mwa wakoloni.
Wanajamvi mngependa kusikia mkasa huo wa 1953?
Huyo ndie Mohamed Said mwenye agenda ya pekee nchiniKila anapokuwa Mwalimu ni lazima umtafute kijana wa Sykes na uonyeshe kuwa alimtangulia Mwalimu kufahamiana na watu hawa mashuhuri. Ilipotoka picha ya Kenyatta na Mwalimu, haraka ukamleta Abdu hata kama ushahidi wa picha huna! Sasa hivi hii ya KK tayari umemleta Ally!
Ni bahati mbaya tu kuwa kwa akina Sykes hakuna aliyewahi kuwa Rais au hata kuukaribia utukufu huo. Kuwalinganisha hawa jamaa na Mwalimu ni kufuru nyingine ya hali ya juu. Acha hizo Mzee Mohamed.
Sijui kama mzee wetu Mohamed anaweza kuacha UDINI wake. Udini ni ulevi mbaya ambao hautoki kichwani. Rais wetu Jakaya kaongea vizuri sana juu ya suala hili la UDINI kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi uliopita ingawa amechelewa sana.We mzee ungejikita kwenye uandishi wa vitabu vya historia bila kuhusisha udini heshima yako ingekuwa kubwa sana.Inavunja moyo sana kuona watu wenye uelewa mpana kama wewe kuwa wadini.Badilika mzee wangu.Watanzania sote ni ndugu.Tuijenge nchi yetu.
Sijui kama mzee wetu Mohamed anaweza kuacha UDINI wake. Udini ni ulevi mbaya ambao hautoki kichwani. Rais wetu Jakaya kaongea vizuri sana juu ya suala hili la UDINI kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi uliopita ingawa amechelewa sana.
Huyo ndie Mohamed Said mwenye agenda ya pekee nchini
kuwa makini na kila kinachoandikwa, usifyonze vyote.Nafyonza elimu kisa naenda zangu.
Nilieleza wazi kuwa Mohamed anaikwepa historia ya AA kwa maksudi tu, anachotaka yeye ni from Sykes to Sykes hadi uhuru,
Nazaidi anataka dunia iamini kuwa Wamanyema ndio key parson wa uhuru wetu, lakini baya zaidi ni kuwa Uislamu ilikuwa ndiyo nembo muhimu kwa wanaukombozi hao.
Padre John Sivalon, M.M, hakuwa MDINI. Kitabu chake hakitetei UKATOLIKI wake. Namfahamu kidogo Padre huyu tangu anaingia Tanzania, akaja pale Maryknoll Language School, Makoko. Tukamfundisha kuongea Kiswahili.WC,
Ikiwa Mohamed Said ni mdini hawa hapa chini tuwaitaje?:
The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]
[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.
WC,
Ikiwa Mohamed Said ni mdini hawa hapa chini tuwaitaje?:
The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]
[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2] Ibid. p 37.
kuwa makini na kila kinachoandikwa, usifyonze vyote.