Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jamani mnakasha kitu kizuri.
Leo Moddy kaamka kwa namna tofauti kabisa.
Kwanza amekubali kuwa Nyerere alijulikana TAA hata kabla ya kuonana na Abdul.
Sasa anakubali kuwa Abdul ni Mzalendo. Yaani kamweka Abdul katika nafasi yake halisi na si ile ya kumsingizia.
Thank you Mo. This is a big milestone.

Kweli tushukuru JF.

Mzee MS hii ya Maryknol kuchangia ipo kwenye kitabu chako? Maana nimeitafuta sijaiona sijui haraka!
Halafu imekupa picha gani kwamba Shirika la Masista kuchangia harakati za Uhuru wakati inaaminika kwa mujibu
wa maelezo yako Kanisa lilipinga harakati za uhuru?

Rapheri,
Maryknoll walichangia safari ya UNO ya mwaka 1956.

Ile ya kwanza 1955 ni kama nilivyoeleza katika kitabu
changu.
 
Kweli tushukuru JF.

Mzee MS hii ya Maryknol kuchangia ipo kwenye kitabu chako? Maana nimeitafuta sijaiona sijui haraka!
Halafu imekupa picha gani kwamba Shirika la Masista kuchangia harakati za Uhuru wakati inaaminika kwa mujibu
wa maelezo yako Kanisa lilipinga harakati za uhuru?
Inapendeza sana kuona Mohamed Said sasa anakiri wazi yale aliyoyaacha ama aliyokuwa hayajui katika historia ya uhuru wa
Tanganyika.

Hili ni jambo jema, sasa wanapembuka kifikra.
 
Wakuu JokKuu na Jasusi, heshima mbele sana. Nawaombeni sana sana msielekee mtoni.

Kuna mtu kasema Ponda atafungwa na mfumokristo ili kuonyesha nguvu zake. Mtikila ambaye ni kiongozi wa mfumo naye alifungwa na mfumo huo huo kuonyesha nguvu zake.

Wakuu tuendelee na mnakasha tukiangalia tusijeingia mtoni na kuoga na watoto. Kuna vitu vinatia aibu na uvivu kuvijibu.
Naomba mviangalie tu mpite zenu! Ndio matunda ya mzee wetu hayo, kazi ya miaka 15 hiyo.

Hata sisi hatuwez kuwa kama mapaka wa kwenye ma-bar na watu wa kuvalia suruali chini ya kiuno,nini kuoga mtoni na watoto??
ishara ya kufilisika hiyo,,
 
Kweli tushukuru JF.

Mzee MS hii ya Maryknol kuchangia ipo kwenye kitabu chako? Maana nimeitafuta sijaiona sijui haraka!
Halafu imekupa picha gani kwamba Shirika la Masista kuchangia harakati za Uhuru wakati inaaminika kwa mujibu
wa maelezo yako Kanisa lilipinga harakati za uhuru?

Plato...
Kwa kweli sijui hicho mnachokishangilia ni kitu gani.

Maryknoll hawako katika kitabu changu na sijui kwa nini unawataka wawepo.

Kanisa lilipinga TANU Jimbo la Kusini hili nimelieleza kwa kirefu katika kitabu changu.

Lakini naona nyie mnahusisha Maryknoll, New York na Kanisa Jimbo la Kusini.

Hebu pitia hii kutoka kitabu changu:

When Nyerere went back to Lindi in 1959, TANU was a very strong movement and had virtually every African in its fold.

The Christian ‘educated' civil servants who had jeered at TANU in 1955 because it was led by ‘illiterate' Muslims were now showing respect.

They had to show respect because the master himself was respectful to TANU.

The government had realised that the people's will could no longer be ignored.

Nyerere had spoken before the Trusteeship Council twice, the second time in 1957.

TANU's message was clear, the people of Tanganyika were ready to determine their own future.

Each passing day TANU moved from strength to strength.

Rashid Salum Mpunga, the truck driver and founder member of TANU employed by an Indian trader, managed to recruit into the Party one of the most respected sheikhs in Lindi and an accomplished poet, Sheikh Mohamed bin Yusuf Badi.

When Sheikh Badi joined TANUa good number of Muslims followed him.

When Nyerere came to Lindi to discuss the hated tripartite voting system with the Southern Province leadership, Sheikh Yusuf Badi came out with his madras,kasda and dufu to receive Nyerere.

From there on people began to join the party in thousands as the colonial propagandists looked on helplessly.

Neither Mponda nor the Church could now be an obstacle to TANU.

Slowly but surely TANU moved into the traditional Christian areas of influence in Songea, Masasi, and Newala-Mponda's home area.
 
iddi faiz and co,waliweza kukusanya only 67% ya nauli ya Nyerere-safari ikawa inaelekea kufa-ilpokuja push kuwa shove guess who came to the rescue-none other then John Rupia aka chip hiyo 33%,Nyerere akaenda UNO

Mkuu SoA,
Hivi huo mchango wa John Rupia Mwl aliukumbuka kweli kwenye kitabu?
 
Kweli tushukuru JF.

Mzee MS hii ya Maryknol kuchangia ipo kwenye kitabu chako? Maana nimeitafuta sijaiona sijui haraka!
Halafu imekupa picha gani kwamba Shirika la Masista kuchangia harakati za Uhuru wakati inaaminika kwa mujibu
wa maelezo yako Kanisa lilipinga harakati za uhuru?

Wanajamvi,
Naomba nifanya sahihisho kidogo.

Maryknoll walichangia nauli ya UNO Nyerere alipokwenda safari ya pili 1957 siyo 1956.
 
Sisi wamjasani tunamsoma vema tu na kumwelewa, na si mjasani hata Potwe, Mkuzi, mashewa na Kicheba sote tunatumia macho na fikra zetu. Tunamwelewa wala hilo lisikutie wahka ustadh Gombesugu. Ni mnakasha tu.Mbona watu walishatoa benefit of doubt, bahati mbaya ukaiondoa mwenyewe. Ulisema hivi ''maandishi ya Mohamed yana makosa madogo madogo''.

Hukuwaeleza yapi ni madogo na kwa kigezo gani.
Mtu hawezi kuandika habari usiokuwa na ushahidi nayo ukasema ni kosa dogo.
Mtu hawawezi kutoa hukumu kwa mwingine huku akiwa ameficha ukweli ukasema ni kosa dogo.
Lakini uliposema kila mtu aende akaandike vitabu, laaa! hapo ndipo doubt ikanitokaKosa! unachotaka kusema ni kuwa hapa JF mahali penye fikra huru pageuzwe kuwa na sehemu za watu wenye mrengo fulani pengine imani au ukabila ili wajadili kile wanachoona kinawafurahisha.
Hapana! utakuwa katika wrong forum na pengine fikiria kama unasababu za kuendelea kuwepo hapa.

Kufanya hivyo ni kuendeleza yale tunayoyakataa ya kubaguana kwa ''interest''.
Kwa taarifa yako hii ni mara ya tatu tumekuwa na uzi kama huu na Mohamed.

Tunachofanya hapa ni kuweka rekodi sawa sawa, kufahamishana, kueleweshana n.k. Kila mtu anajifunza kutoka kwa mwingine. Kwahiyo wazo la kuwa na uzi mwingine ni zuri lakini hilo halisababisha watu wasichangie kwa mitazamo, ukweli na maono yao.

Lau kana unataka mjadala na shule zaidi ya Mohamed kitabu kipo dukani mwaka wa 15 na unaweza kufanya PM hapa JF.
Ukishaweka mada,basi umealika ndugu jamaa na marafiki na hapo hakuna favor or fear.
Mada itahudumiwa kwa mujibu wa kanuni na taratibu, itapewa heshima stahiki bila kuangalia kigezo kingine isipokuwa madaLabda kama sijui maana ya typo error, ninachoweza kukuambia ni kuwa makosa ya Mohamed ni makubwa sana na ameyafanya maksudi.

Kitabu kipo toleo la nne laja sijui kwanini hajaweza kuona typo error!
Hawezi kuandika kuwa Warioba alitoka porini bila credential na hakujulikana katika Cabinet ukasema niyo typo error! haa!

Hawezi kuandika kuhusu maulidi na kusema aliyehudhuria alikuwa makamu wa Rais tena kuonyesha umuhimu wa mtu huyo na hoja yake halafu useme hiyo ni typo error! Yarabi.

Hawezi kuficha ukweli na kusema Nyerere alikuja Dar kwa mara ya kwanza mwaka 1950 na kukutana na Sykes ukasema hiyo ni typo error!

Hawezi kusema Sheikh Amir alifukuzwa tu ukasema hiyo ni typo error
Hawezi kusema Hamza Azizi alitupwa na Nyerere na kuficha kisa cha ajali iliyompleleka ubalozi hilo likawa typo.
Hawezi kutoa madai ya kanisa kuua EAMWS bila ushahidi, hilo likawa typo.
Hawezi ukapachika manamba kutoka kichwani na kusema hiyo ni stats, ukasema ni typo error
Hawezi kudai sensa ya mwaka 1957 anayo peke yake ukasema ni typo
Hawezi kudai Sykes ndiye alianzisha AA na kuwa katibu peke yake ukasema hiyo typo
Hawezi kudai wazulu, wamanyema na wanubi ndio wamekomboa nchi hii ukasema hiyo typo.
Orodha inafika kurasa 17 kwa kutaja, leo unatufanya wajinga tuamini ni typo! skill yako ya analysis unaituimia wapi mkuu!

Kibaya zaidi hawezi akashindwa kusimama na kueteta hoja zake ukasema hiyo ni typo!
please please find the better word to please him and yourself not typo error. Absolutely anachronism

Kuhusu Nyerere, nadhani unakumbuka kuwa alipoacha utawala ni wakati huo magazeti na redio zilianza kuwa huru kama vyombo binafsi. Nyerere ameandikwa sana hata kutukanwa si kwa utawala bali hata kile kizuri alichofanya.
Nyerere ametukanwa ndani na nje ya nchi. Hata siku moja hukumsikia akisimama kujibu tuhuma za watu.

Mfano, wakati wa vyama vingi pale jangwani, watu wengi walitaraji Nyerere kumcharura sana mrema na upinzani.
Yeye alichokisema kilishangaza watu. Alisistiza umuhimu wa kujiandikisha na kupiaga kura. Akamalizia kwa kusema kama kuna mtu anataka kubebwa mwacheni amevunja sheria gani? Hapa alikuwa anaiasa serikali isilete fujo kwa wapinzani na si kwa mrema. Hizo ndizo tabia za statesman.

Sasa kama Nyerere alikuwa aje kujibu kitabu cha Mohamed sijui Mohamed ni nani wa kumlinganisha kwa fikra hoja na maono kama Nyerere. Hili nasema wazi kumweka Mohamed na Nyerere chungu kimoja ni kumdhalilisha sana Nyerere.
Nyerere na Mohamed hakuna mahali wanakutana ! hakuna, Nasema hakuna mahali wanakutana!

Nyerere kutojibu madai ya Mohamed ni sawa na yale yale aliyoyafanya kwa vyombo vya magharibi.
Busara ndizo zilikuwa zinamtangulia kwa kujua kuwa kujibizana na watu wanamna hiyo ni kuingia mtoni na watoto atachafuka.

Nyerere hana sababu za kumjibu Mohamed kwasababu matendo na kazi yake ndizo zinamjibu.
Muda wa kukanusha kuwa yeye alikuja Dar mwaka 1947 na si mwaka 1950 huo hakuwa nao na wala hafai kujibu tuhuma za kiupuuzi kama hizo.Nyerere alikuwa world figure na si mtu wa dunia ya Narung'ombe.

Kuhusu serikali kujibu madai ya waislam, hapa napata tabu sana. Kwanini Nyerere isakamwe kwa kutojibu madai hayo(kama Mohamed ndio Waislam as whole) halafu leo tunataka serikali ijibu.

Mohamed keshasema kuwa serikali ina taarifa, tumemeuuliza hili la serikali kujibu limeanza lini?
Mbona huko nyuma tuhuma zilikuwa za Nyerere na si serikali?

Nadhani nami naungana mkono na wewe na wengine kuwa sasa ni wakati Rais Jakaya Kikwete ajibu kama alivyokuwa anatuhumiwa Nyerere na wala si serikali ili tusiwe na double standard.

Kuhusu Warsha na kupata deportation, hilo tumelijadili sana na nadhani kwa ugeni wako umefikia conclusion kabla ya kupitia nyuzi kwa undani.

Aliyepewa deportation ni Maliki Mpakistani aliyekuja kufundisha watanganyika jinsi gani wanaonewa.
Alipewa PNG. Huyu ndiye mwanzo wa tatizo la chuki, fitna na farki.
Hawa akina Mohamed na Warsha ni mali ya Maliki FYI.Nashkuru kwa taarifa. Naheshimu pia mawazo yako na sote ni Watanzania kwa lengo moja la kuishi kama ndugu.

Nguruvi,
Tutazungushana kama pembea la mviringo.
 
Nguruvi3 hapa umemaliza kila kitu Nyerere kweli wa kumjibu MS,----- kiss my a---

"Sasa kama Nyerere alikuwa aje kujibu kitabu cha Mohamed sijui Mohamed ni nani wa kumlinganisha kwa fikra hoja na maono kama Nyerere. Hili nasema wazi kumweka Mohamed na Nyerere chungu kimoja ni kumdhalilisha sana Nyerere.
Nyerere na Mohamed hakuna mahali wanakutana ! hakuna, Nasema hakuna mahali wanakutana! "

Jenga heshima basi kwenye maandiko yako dhidi ya Mohamed Said hebu jisome ulivyojiandika kisha muombe radhi Mohamed Said. Hata kama mnapingana mitazamo siyo kigezo cha kumvunjia heshima kijana.
 
Last edited by a moderator:
Kahiyo ndio ulitengeneza hotuba ile! again backing off! Alaa kumbe hakuandikiwa akaenda kuusoma kama ulivyo! hapa mnakasha umefanya kazi. Tuendelee

Nguruvi,

Unajua mie kwa hakika huwa natingisha kichwa tu.

Huruma inanijia, masikitiko na mengi tu yananipitia.
Hivi nyie mlipata hata kusikia kuhusu hii hotuba kabla?
 
Nguruvi,

Unajua mie kwa hakika huwa natingisha kichwa tu.

Huruma inanijia, masikitiko na mengi tu yananipitia.
Hivi nyie mlipata hata kusikia kuhusu hii hotuba kabla?
Tulichokifahamu siku zote na ambacho tumekitetea hapa kwasiku zai ya 60 ni ukweli halisi kuwa hotuba ile ilikuwa ya Mwalimu na ipo kwenye kitabu chake
 
Maryknoll hawako katika kitabu changu na sijui kwa nini unawataka wawepo.

Kanisa lilipinga TANU Jimbo la Kusini hili nimelieleza kwa kirefu katika kitabu changu.

Lakini naona nyie mnahusisha Maryknoll, New York na Kanisa Jimbo la Kusini.

Hebu pitia hii kutoka kitabu changu:

Mara nyingi unapenda sana kuyaweka ya Wazee wako hata kama si makubwa sana na mnakasha huu ni ushahidi.
Unajua mpaka nani alikuwa anampikia Nyerere chapati, hisani zote alizofanyiwa (off-course nyingi ni za kibinadamu
tu ambazo hata mimi naweza kumfanyia Binadamu mwenzangu seuze Mwanaharakati anayejulikana)

Nafikiri ni aibu tu inayokufanya usiseme Nyerere alikuwa anakula Kilo ngapi kwa siku akiwa kwa Abdu Sykes. Lakini ajabu
iliyoje Nyerere hatukuwahi kumsikia akizungumzia hisani alizowafanyia Wazee wako.

Ndiyo maana kwa aina ya uandishi wako nikahoji vipi Tiketi ya Meryknol! hilo si kubwa kuwemo kwenye kitabu chako?

Hapa umejibu "sijui kwa nini unawataka wawepo". Na mimi nashangaa kwa nini wasiwemo kama wale
waliochangia tiketi ile nyingine wamo!

Haina neno kwa bahati sasa nimeshajua motives zako, kwa hiyo hilo la kutokuwemo wala lisikupe shida.
 
Haina neno kwa bahati sasa nimeshajua motives zako, kwa hiyo hilo a
la kutokuwemo wala lisikupe shida.
Huyo ndiye Mohamed Said
 
Mara nyingi unapenda sana kuyaweka ya Wazee wako hata kama si makubwa sana na mnakasha huu ni ushahidi.
Unajua mpaka nani alikuwa anampikia Nyerere chapati, hisani zote alizofanyiwa (off-course nyingi ni za kibinadamu
tu ambazo hata mimi naweza kumfanyia Binadamu mwenzangu seuze Mwanaharakati anayejulikana)

Nafikiri ni aibu tu inayokufanya usiseme Nyerere alikuwa anakula Kilo ngapi kwa siku akiwa kwa Abdu Sykes. Lakini ajabu
iliyoje Nyerere hatukuwahi kumsikia akizungumzia hisani alizowafanyia Wazee wako.

Ndiyo maana kwa aina ya uandishi wako nikahoji vipi Tiketi ya Meryknol! hilo si kubwa kuwemo kwenye kitabu chako?

Hapa umejibu "sijui kwa nini unawataka wawepo". Na mimi nashangaa kwa nini wasiwemo kama wale
waliochangia tiketi ile nyingine wamo!

Haina neno kwa bahati sasa nimeshajua motives zako, kwa hiyo hilo la kutokuwemo wala lisikupe shida.

Platozoom,
Nimepata hisia umeghadhibika.

Hujui mila za watu wa pwani ambao mie ndiyo kwetu.

Kwetu sie mgeni hapewi nafasi ya kumkirimu mwenyeji
wake hata kama ana nafasi.

Nyerere alikuwa mgeni katika macho ya wazee wangu.
 
Jenga heshima basi kwenye maandiko yako dhidi ya Mohamed Said hebu jisome ulivyojiandika kisha muombe radhi Mohamed Said. Hata kama mnapingana mitazamo siyo kigezo cha kumvunjia heshima kijana.

Ritz uko sawa, no matter what, lazima tujadiliane kwa staha.
That said, nilikuwa nampa moyo Mr Gombesugu. Haya tunayojadili ni kwa ajili ya kuwekana sawa, kwa hiyo I trully sympathize na hali ya vuta nikuvute.

Katika threads za nyuma nilishasema, nachoogopa mimi ni pale tutakapokuwa na versions nyingi za history yetu. Hii haina maana nakataa 100% alichoandika MS. Ila wanajamvi HERE I CALL YOUR ATTENTION KWENYE HII ARTICLE YA Geoffrey Ross Owens (2005): The Secret History of TANU: Rumor, Historiography
and Muslim Unrest in Contemporary Dar Es Salaam;
History and Anthropology, 16:4, 441-463

Hapa kuna "mahali tofauti" palipozaliwa TANU na hata waanzilishi sio kama alivyoelezea MS; Nimenakili sehemu za article hii;

"……….My introduction to claims of an alternative history of the independence movement began in 1999, in an unexpected location, far from the downtown districts normally associated with the movement's history. In the district of Mwananymala, in Dar es Salaam, an informant invited me to visit an unusual house located near the Mwananymala CCM party branch office.

It stood out from other houses in the vicinity because it had been constructed of coral and limestone, and its verandah and ceiling were supported by crooked and gnarled mangrove poles characteristic of buildings of the pre-independence era."

"……The strangest thing about this house, however, was a sign that was posted outside it. Written in both Swahili and English, the sign said: ‘The Tanganyika African National Union (TANU) was born in this house on 7-7-54.' One of its current inhabitants, who had lived there since childhood, explained that it had belonged to Mwinyijuma Mwinyikambi, a descendant of the local Muslims of the nearby fishing village of Msasani, and who owned a plantation and cattle kraal in the Mwananymala area prior to independence."

"……..For a time, Mwinyijuma was also the chairman of the TANU elders' committee, and was very active in organizing the union of Tanganyika and Zanzibar in the early 1960s. My host, born in Zanzibar, was as a child brought by his family to Mwinyijuma's house in the mid-1950s. He remembered being brought to take part in a ritual in honor of Julius Nyerere, who was going to the United Nations offices in America to discuss independence for what was then Tanganyika. Muslim prayers were recited, and cattle were slaughtered. Being of light complexion, he vaguely recalled that his presence was required at the ceremony because Nyerere was going to a country of people of light complexion."

"…….Elders who lived in the vicinity during the 1950s also remembered that many famous individuals associated with the independence movement visited the house on a regular basis. In addition to Nyerere, they noted that John Rupia, Oscar Kambona and Ali Sykes were frequent guests."

"…………the elders wanted John Rupia to become the president of TANU, since he was
a long-term resident of the city, a wealthy and respected benefactor of the organization,
and an elder like themselves. The elders eventually agreed to Nyerere becoming
president of TANU"

"……Another version of Nyerere's rise to the leadership of TANU comes from a woman
who was a member of Al Watan at the time of TANU's founding. The story she tells
begins with Mwinyijuma Mwinyikambi and Jumbe Tambaza."

"……..According to her, the beginnings of Mwinyijuma's interest in politics began when
the British imposed a head tax, and Mwinyijuma approached his fellow local elite about
the possibility of removing the British. He approached Tambaza, who agreed with him
to plan a political movement. However, on approaching their other elders, many of
whom were employed by the government as minor government officials, they found
that they were reticent about overthrowing the government".

"…..So Mwinyijuma approached members of the new urban elite in Dar es Salaam, such
as the Sykes brothers, John Rupia, and others who were part of a group of urbanites
who had lived in Dar since the period of German rule. She claimed that it was Oscar
Kambona who first introduced Julius Nyerere to Mwinyijuma and Tambaza. They had
agreed that they wanted an educated person to lead the movement, so they asked Oscar
Kambona to become its president. She said that he replied ‘I don't want the presidency.
Let's call my friend.' He then introduced Nyerere to the elders, who made him
president of the movement."

SASA WANAJAMVI KATIKA VARANGATI KAMA HILI MITAALA NDIO IFUNDISHE NINI?
 
Wickama,
Hiyo makala naijua.

Hicho kibao maarufu kiliwekwa nje ya nyumba ya Mzee Mwinjuma
Mwinyikambi.

Kibao nikikijua ila sijui alikiweka nani.
 
Nguruvi,

Unajua mie kwa hakika huwa natingisha kichwa tu.

Huruma inanijia, masikitiko na mengi tu yananipitia.
Hivi nyie mlipata hata kusikia kuhusu hii hotuba kabla?
Mohamed, kwamba tulidhani Nyerere alienda UNO kama mtalii!!!! Hii imeandikwa na inajulikana ndio maana wengine tulitunduwaa kusikia aliibeba kwenda kuisoma kama ilivyo kutoka kwa wazee.
 
Gombesugu, camouflage is a game people of your type like to play; but your secrets are revealed by what you want to seem to be as by what you are desperate to conceal. Asante sana kwa taarifa na nimesoma mchango wako wote tangu ule wa kwanza ulipojitahidi kuficha sura halisi ya gombesugu, lakini nasikitika kukupa taarifa kuwa hukufanikiwa. Mwanzoni ulianza vizuri na kweli wengine tulikupa benefit of doubt halafu ghafla;
Gombesugu said:
However,I still believe that Mohammed Said has a right here, firstly as a Scholar/Historian (I also appreciate that right comes with responsibility and I'm sure Mohammed Said is more than aware of that) to share his findings which so far I have no doubt been thoroughly researched and closely scrutinized. Also he has similar right to express his feelings honestly as a Tanganyikan/Tanzanian.
Ama wewe utakuwa hujasoma vitabu vyake vyote huyo Scholar/Historian kama walivyo vijana wengi humu walioamua kumtetea hata iweje au kwa makusudi umeamua kufumbia macho historical fallacies zilizotawala maandishi yake. Si mara moja ama mara mbili ametoa madai humu ndani yasiyo hata na chembe cha ukweli na hata pale alipoombwa kukiri hitilafu hizo hakuwa tayari. Bila shaka sababu kubwa inayomjengea hiyo stubbornness ni ukweli kwamba mengi ya madai yake yamejengwa katika misingi hiyo hiyo ya kilaghai na kwa yeye kukiri hilo, ni sawa na kubomoa misingi...je kuna kitu kitakachobaki kimesimama?
Gombesugu said:
Furthermore,I appreciate and reliaze that some people in here don't agree with Mohammed Said, or for some reason/s seems to have different opinions(not concrete facts though!). Great!! This is the best possible outcome for any healthy, mature, civilized and constructive argument/dialogue au mnakasha. Tusisahau tulikotokea, maana wakti ule midahala kama hii ilikua ni kama ndoto tu!
Kama kuna jambo tumemsisitizia Mohamed Said ni kwamba he has every right to his opinions na hata akidai kuwa Tanganyika haikuwa na watu hadi Wajerumani walipowaleta mamluki wa kizulu, Kimanyema na Kinubi...no problem, wanaotaka kuamini waamini lakini Mohamed Said hana haki ya kumiliki na kuhatamia ukweli, hapana, akisema uongo, we will put him to task! Kwetu wengine Mohamed Said ni mtu mdogo sana kiumri na mambo yaliyotokea miaka ya 1950s wakati yeye hajazaliwa, sisi tuliyaishi hatukusimuliwa baadaye mitaani. Bahati mbaya wote hatuwezi kuwa waandishi lakini hatutakaa kimya ukweli ukipindishwa makusudi kufanikisha mipango miovu ya wasiolitakia taifa mema.
Gombesugu said:
Nahisi na wewe Bwana Mwanakijiji labda una dasturi ile ile mnayosema kila mara dhidi ya Mohammed Said, ati kwamba anafanya saana conclusions zenye kuangukia kwenye Udini!? Kuna pahala umetaja na kujinasibu u-Tanga wako na kuwa umelelewa na kukulia pale. Mbona leo ustaarabu na dasturi zako unataka kuziharibu ukubwani,si utawaangusha wana-Mjesani wenzio hivyo!?
Pamoja na majibu mazuri aliyokupa Nguruvi3, napenda kuongezea kidogo kumtetea Mzee Mwanakijiji. Huyu ni mtu ambaye, pamoja na kumzidi umri, alinivutia sana kwa nguvu za hoja zake ndani na nje ya JF hadi nikajiunga na jamvi hili May 31, 2008. Kwa muda mrefu sikuweza hata kumhusisha na dini yoyote ile na kuna wakati niliamini hana dini (kitu ambacho Mohamed Said na vijana wake hawataki kukiri!), alisifu na alikosoa kama GT bila kuangalia sura, rangi, jinsia au dini ya mtu. Mimi mwenyewe niliamini yeye ni mkereketwa nambari wani wa CCM lakini tofauti na wengi yeye alitanguliza utaifa mbele.
Gombesugu said:
Pia nimesoma pahala unajinasibu kuwa wewe ni mtoto wa Mchungaji wa Kanisa na pia ilikua moja ya shughuli zako ni kushindana kwenye ile mihadhara ya malumbano ya kidini pale viwanja vya Jangwani na kina Mwaipopo. Na unadai pia hawakufua dafu juu ya umahiri wako wa malumbano. Ama kwa hakika niliathirika kidogo nilipoona jambo lako hili,I must admit that my sense of judgement has been coloured since! Ama kwa hakika mimi ndio natakiwa niwe na shaka ya Udini juu yako na labda pia motives zako kwenye thread hii,not the other way round!
Sijui hapa MWANAKIjiji angetoa jibu gani kwani hata mimi sikujua hili...hata hivyo FYI mihadhara ya kidini ilianza kujitokeza mapema sana katika utawala wa Ali Hasan Mwinyi na ilikuwa inaendeshwa na upande moja tu kwa kipindi kirefu sana. Wapenda amani walilalamika sana lakini hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali kukabiliana na hali hiyo na ikafikia mahali waliokuwa wanakashifiwa kila kukicha, nao wakaamua kujibu mapigo. Hata hivyo kukosekana kwa uvumilivu kutoka upande wa pili kulisababisha vurugu na hivyo kuiamsha serikali iliyokuwa ipo ipo tu kuanza kuchukua tahadhari.
Gombesugu said:
Hivi unahisi kuna mantiki gani ilomfanya Bwana Julius Nyerere ashindwe au asitake asilani kumjibu Mohammed Said kwa maandishi au japo kumkemea kwenye vyombo vya habari kwa miaka yoote ile!? Maana soote tunaaambiwa kuwa Nyerere kwenye ukweli, maslahi ya Taifa,na hasa kuhatarisha amani alikua hana ngoja ngoja!? Wengi wenu humu mmeonyesha umahiri na sifa kadhaa za Nyerere, na ukali wake, uadilfu na mengineyo mengi nami sina shaka nakubali ni kweli kabisa.

Zaidi ya yoote tunaambiwa kuwa Nyerere aliipenda saana nchi na watu wake. Sasa inakuwaje huyo huyo Nyerere alijua fika kuwa Mohammed Said kaandika uzushi,Udini, kashfa, fitna na kumdhalilisha kihistoria yeye binafsi na family yake, na huenda pakawa na zogo au "janga" kwenye nchi kwa kitabu au habari hizo. Halafu yeye Nyerere akaamua kunyamaza tu!? Sasa hamuoni nyinyi ndo mmnavunjia hishma Nyerere kwa sababu mnaonyesha kuwa alikuwa ni mtu irresponsible na dhaifu na hakujali amani ya nchi!?Mbona Nyerere mara kadhaa aliweza kuwafokea Lowasa, Mwinyi na Malecela tena hadharani, ndio alishindwa "kumshughulikia" Mohammed Said!?
Gombesugu...are you for real? Kweli ulitaka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ajibizane na Mohamed Said? Ili iweje? You've got to be joking. Of all the stupid statements I have ever come across, this takes the prize! Who was Mohamed Said anyway?
Gombesugu said:
Japo inanilazim nimsamehe Bwana Nyerere maana yeye kishatangulia mbele ya haki.
Unamsamehe kwa kosa la kutojibizana na Mohamed Said? are you guys twins? Ni hii hii dharau kwa Mwalimu imetawala maandishi ya huyu mchochezi na sijui inawapa ahueni gani mnaoshabikia huu upuuzi, mara kafundishwa ustaarabu, mara kanunuliwa mboga, mara...oh Gombesugu, you are sick!
 
Wickama,
Hiyo makala naijua.

Hicho kibao maarufu kiliwekwa nje ya nyumba ya Mzee Mwinjuma
Mwinyikambi.

Kibao nikikijua ila sijui alikiweka nani.

Sawa Kabisa Mzee MS, kwanza baada ya heshima yako, bahati mbaya sikuweza ku-upload picha ya ile nyumba na kile kibao. Lakini utaona kwamba wakati mwingine people can for reasons known to themselves do what they see fit. Sasa kama TANU ilizaliwa Mwananyamala kwa details za hii article, tuna wazee wakuenzi tena? Ndio maana nasema there is a very strong need ya kutambua hatari inayotunyemelea. In 50 years to come, haitajulikana hata bonafide waanzilishi wa TANU tena ni akina nani.

Kwa sasa kilio kingi ni juu ya waislamu kutopata keki ya kitaifa, nina article ambayo yenyewe inalia na mgawanyo wa madaraka kimakabila ambayo Nyerere tena is under attack, kuwa kabila lake kawanufaisha (sio dini tena!!!!), yupo mdada (Geiger) yeye analia kuwa wakina mama pamoja na kuchangia ukombozi lakini in post independence Tanganyika wamepewa a "raw deal". Kwa hiyo, Kama keki ilitakiwa ikatwe kiKabila, ki-gender, na kidini basi Nyerere alihitaji msaada mkubwa, huenda hakuupewa.
 
Mohamed Said, mbona unatokwa mapovu bila sababu ya maana? Hoja zilizowekwa hapa na wana JF hukuzijibu zaidi ya kutuletea maneno ya kihuni na kejeli! sasa unalilia kitabu! eboo! Jibu hoja hizo kwanza kwa uadilifu na ueledi, wacha kujibu kwa ujanja ujanja wa kisungura... mara oh! andikeni kitabu... oh nimeandika historia ya mababu zangu... oh, Nyerere alikuwa adui wa uislam, oh, Matola hakuanzisha AA, .. Ondoka huko chakani tuachie Tanzania yetu, ama vipi mfuate Barubaru uarabuni mkale tende na halua mkituachia amani yetu watanzania.

Mimi ni mgeni katika JF, lakini kila nikiingia humu naona Mohammed Said anapigwa vita juu ya kitabu chake au publications zake, true scholars would counteract by writiing books by enlisting facts, humu sioni ni firimbi tu, kiandikwe kitabu ambacho kita counter facts zilizoandikwa na Mohammed Saidi, , kama nyinyi ni wasomi toeni academic and historical evidence za ku counter Saidi's writings and we can go even, further lets talk about far and beyond.
 
Back
Top Bottom