Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mamy leo naona hatubanduk jikon,ni kupika na kupakua..
Na unakandia na maji moto au na kama huna siagi au samli unaweza Weka kitu gani.
farkhina kama tutatumia mafuta ya kawaida je vipimo vinakuwaje?Samli zipo every where sijui tu huko uliko wanaitaje ila mzungu anaitwa ghee lol....
Kama huna samli tumia mafuta