Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Kubwa kuliko mauaji ya watu yanayofanywa na polificiemu ya Chura????👣
 
Hakuna cha laana hapo nyie mliompoteza aliye choma.perege kule kyela ndiyo mtapata laana
 
Basi kaa utulie utaona matokeo yake.
Tumia akili mnemba kuelewa nilichoandika na narudia hakuna cha laana hapo, laana watapata waliompoteza aliye choma perege/mbagale
someni kuhusu: social inference

Kuchoma perege/mbagale VS kuchoma vitenge
 
Majibu utayapata tu.
 
Laana imeshindwa kuwapata watekaji,wauaji na wezi wa kura ijeiwapate wachoma vitenge vya majangiri,labda useme mtawateka.
 
Kamwe Hakuna kitu kama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…