The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Wakuu habari za muda.
Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima.
Wakuu hii ni dalili ya nini?
Kwenye hiyo avatar umependeza....Wakuu habari za muda.
Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima.
Wakuu hii ni dalili ya nini?
Acha ukorofi.Kwenye hiyo avatar umependeza....
Acha uhuni kijana magonjwa ni mengi siku hiziWakuu habari za muda.
Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima.
Wakuu hii ni dalili ya nini?
Ni dalili mojawapo kwamba umeshika mimba hiyo,ni ujauzito huo wala usitie shaka......hongera.Wakuu habari za muda.
Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima.
Wakuu hii ni dalili ya nini?
HahahahaAcha ukorofi.
Dengu