The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Wakuu habari za muda.
Juzi kati kuna demu flani hivi nilisex nae, sasa siku iliyofuata nikawa nahisi uchovu na usingizi kutwa mzima.
Wakuu hii ni dalili ya nini?