Uchoyo ukifikia hapa bora kifo,
mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,
akaficha chakula chini ya kochi,
mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.
Mgeni: Moshi wa nini huo?
Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]