Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Habari wakuu,
Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao.
Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la uchukuaji fomu ambapo wagombea wameanza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa ajili ya kupeana updates mbalimbali kwenye zoezi la uchukuaji fomu maeneo mbalimabali nchi.