uchumba kutambulishwa na kuumwa ghafla

uchumba kutambulishwa na kuumwa ghafla

SAFE

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Mambo,,jamani mm ni kijana wa miaka 28 nina mpenzi ambae leo nimemtambulisha nyumban baada ya kuondoka tu nokia na msindikiza alike italia nikajua furaha baada ya saa moja nikapigiwa simu kalazwa sasa cjui nn Tatizo.
 
Mambo,,jamani mm ni kijana wa
miaka 28 nina mpenzi ambae leo nimemtambulisha nyumban baada ya kuondoka
tu nokia na msindikiza alike italia nikajua furaha baada ya saa moja
nikapigiwa simu kalazwa sasa cjui nn Tatizo.

SIJAKUELEWA HAPA.."Kuondoka tu nokia,alike italia,nikajua furaha baada ya saa nikapigiwa simu kalazwa"..Au ulitaka kusema ulijawa na furaha baada ya kupigiwa simu kuwa amelazwa?
 
Mambo,,jamani mm ni kijana wa miaka 28 nina mpenzi ambae leo nimemtambulisha nyumban baada ya kuondoka tu nokia na msindikiza alike italia nikajua furaha baada ya saa moja nikapigiwa simu kalazwa sasa cjui nn Tatizo.

Kweli utakua umechanganyikiwa aisee naona hata lugha ipo zig zag....
Ngoja mods wakusaidie kuihamishia mahusiano hii habari yako, huko utapata ushauri zaidi.
 
Mambo,,jamani mm ni kijana wa miaka 28 nina mpenzi ambae leo nimemtambulisha nyumban baada ya kuondoka tu nokia na msindikiza alike italia nikajua furaha baada ya saa moja nikapigiwa simu kalazwa sasa cjui nn Tatizo.

Wewe ndo unaumwa.
 
Back
Top Bottom