Hapo kwenye kugawana pia ndio naona kizungumkuti pia, yaani ninavyopambana hivi ni ili aje mtu tugawane aisee , ndio maana nafikiria mungu akijalia nimalize kibanda changu kwanza ndio nioe aisee, ili nitakae muoa akija kuzingua aondoke kama alivyokuja , labda tugawane vutu tulivyochuma pamoja tu