Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na atachoka kisha utazijua tabia zake zote na kama utaweza kumvumilia kwa miaka hiyo yote basi kumuoa na kuzeeka nae unaweza
ONYO: haya ni baadhi ya mazingira yanayoweza "complicate" mpango huu
1. Mkizaa watoto, hata kama umegundua huyo mwanamke uliyenaye kwenye huo uchumba sugu ni "mamba kwenye msafara wa kenge" kuji-disingeage naye ishakuwa ngumu; utateseka sana hasa ukiwa na huruma ya kuishi karibu na watoto wako maana atawatumia kama silaha ya kisaikolojia kukunyong'onyesha
2. Unaweza pata wife material kwelikweli lakini ikashindwa kukuchukulia serious maana na yenyewe itakuwa inajua aidha inachezewa au inaliwa timing mpaka pale utakapoamua kuiacha hivyo kwa jinsi unavyoonesha haupo serious na yeye ata-respond hivyo hivyo