Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
- Thread starter
-
- #21
Kawaida ...kusomana sikatai nivema msomane ....ila haina maana kumtumia Binti yawatu MIAKA yote hiyo alafu uje umuache ,, miaka mitano tayar umeshajua niwife material au lah.
Angalia usije kua Km mmiliki Wa clods. Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe ,alafu ndo utaleta Uzi humu wakulialia ** Mchumba kanikataa BILA sababu*[emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida ...kusomana sikatai nivema msomane ....ila haina maana kumtumia Binti yawatu MIAKA yote hiyo alafu uje umuache ,, miaka mitano tayar umeshajua niwife material au lah.
Angalia usije kua Km mmiliki Wa clods. Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe ,alafu ndo utaleta Uzi humu wakulialia ** Mchumba BILA sababu*[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa singo raha sana aisee