Uchumba sugu

Uchumba sugu

Kawaida ...kusomana sikatai nivema msomane ....ila haina maana kumtumia Binti yawatu MIAKA yote hiyo alafu uje umuache ,, miaka mitano tayar umeshajua niwife material au lah.

Angalia usije kua Km mmiliki Wa clods. Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe ,alafu ndo utaleta Uzi humu wakulialia ** Mchumba kanikataa BILA sababu*[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumpata mwanamke anayejitambua ni ngumu kuliko kugombea urais[emoji3]
 
Kawaida ...kusomana sikatai nivema msomane ....ila haina maana kumtumia Binti yawatu MIAKA yote hiyo alafu uje umuache ,, miaka mitano tayar umeshajua niwife material au lah.

Angalia usije kua Km mmiliki Wa clods. Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe ,alafu ndo utaleta Uzi humu wakulialia ** Mchumba BILA sababu*[emoji23][emoji23][emoji23]

Na katika kusoma namba tuna mtoto mmoja[emoji16][emoji3]
 
Back
Top Bottom