Uchumba sugu

Uchumba sugu

Hii ni changamoto inayotukumba vijana wengi sasa mfano mimi nipo kwenye uchumba sugu for 5 years na bado tunasomana namba.

Wife material wamekuwa adimu kama sarafu ya 500.
Hahaha bora na wewe kuna mwengine anademu alafu yule demu anawasiliana na mabwana zake na pesa analushiwa
 
Duu siku mkiwa tayari na penzi lina chuja, uchumba gani huo
 
Hahaha bora na wewe kuna mwengine anademu alafu yule demu anawasiliana na mabwana zake na pesa analushiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo kali
 
Haa acha kabisa asikuambie mtu
Unajuwa ni kweli kuishi kwingi ni kuona mengi na ndo maana watu hawaowani na mwisho ni kuchakaza il Fe
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ujinga mtupu mie siwezi uchumba 5yr natafuta nini! Niliwahi shuhudi watu wazima wanafunga ndoa hapo mwanzo walikuwa wanapendana hatari kitendo cha kwenda kwa baba paroko mwaka haukuisha jamani waligombana mpaka kuachana [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tena walikuwa na watoto wakubwa na mmoja wapo akiwa rafiki yangu
 
Kawaida ...kusomana sikatai nivema msomane ....ila haina maana kumtumia Binti yawatu MIAKA yote hiyo alafu uje umuache ,, miaka mitano tayar umeshajua niwife material au lah.

Angalia usije kua Km mmiliki Wa clods. Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe ,alafu ndo utaleta Uzi humu wakulialia ** Mchumba kanikataa BILA sababu*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni changamoto inayotukumba vijana wengi sasa mfano mimi nipo kwenye uchumba sugu for 5 years na bado tunasomana namba.

Wife material wamekuwa adimu kama sarafu ya 500.
Isije ikawa unasomwa namba wewe mkuu
 
Back
Top Bottom