Uchumba unavunjwa kabla ya sikukuu

Uchumba unavunjwa kabla ya sikukuu

Roca fella

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
2,077
Reaction score
4,152
Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake )

b6d58ce7d3d2660d6956f3e4e542e706.jpg
amefuma meseji zake akimpiga kibomu mchizi boti mwingine akiomba pesa, ile kusearch zingine eeeh bhanaa meseji zingine ametumiwa pesa za sikukuu na kuombwa mtoko wa siku.

Ameshindwa kuvunga amemwonyesha maelekezo wake ( mchumba wake ) kuhusu madhambi yake, maelekezo kajaa kaomba msamaha, kalia

Basi mwamba kafunguka ni miezi michache tu ametoka kwao kutambulishwa na maelekezo wake, kumbe ni hookah, mbaya mbovu kuliko meseji ilielekezwa huyu mchuchu apelekwe location akaliwe na mshua mmoja hapo down town. Mchizi boti ameumizwa kimwili, nafsi na roho mpaka ubongo kisaikolojia. Nimemshauri mwanangu Sana hao maelekezo tuishi nao kwa akili na vibe, chukua rizla nyonga majani ya uzima 🚬🚬 vuta ondoa stress za kiboya, ishi kwa amani Kama rastafari.

Sikukuu bado maelekezo amezingua ... 👊😎

Wahuni mliooa na wenye maelekezo yao take care sikukuu wasiwe vitoweo. 😀
 
Mjani ndo Tiba ya kutoa stress, mapenzi yanaumiza Moyo, na hivi wavuta bangi wanapenda kweli kweli, pole yake huyo jombaa.
 
Bibi yetu alivuta tumbaku OG,
Sisi tunavuta mjani wa South Africa. 😀😀😀
 
Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake )

View attachment 2671014 amefuma meseji zake akimpiga kibomu mchizi boti mwingine akiomba pesa, ile kusearch zingine eeeh bhanaa meseji zingine ametumiwa pesa za sikukuu na kuombwa mtoko wa siku.

Ameshindwa kuvunga amemwonyesha maelekezo wake ( mchumba wake ) kuhusu madhambi yake, maelekezo kajaa kaomba msamaha, kalia

Basi mwamba kafunguka ni miezi michache tu ametoka kwao kutambulishwa na maelekezo wake, kumbe ni hookah, mbaya mbovu kuliko meseji ilielekezwa huyu mchuchu apelekwe location akaliwe na mshua mmoja hapo down town. Mchizi boti ameumizwa kimwili, nafsi na roho mpaka ubongo kisaikolojia. Nimemshauri mwanangu Sana hao maelekezo tuishi nao kwa akili na vibe, chukua rizla nyonga majani ya uzima 🚬🚬 vuta ondoa stress za kiboya, ishi kwa amani Kama rastafari.

Sikukuu bado maelekezo amezingua ... 👊😎

Wahuni mliooa na wenye maelekezo yao take care sikukuu wasiwe vitoweo. 😀
Hivi jamani hamjui tafauti ya rafiki wa kike (girlfriend) na mchumba (fiancee). Naona humu kila siku watu wanasema wachumba zao halafu unagundua kuwa hawajawaposa au hata kutambulishwa nyumbani kwao!!!!!😉
 
Mjani ndo Tiba ya kutoa stress, mapenzi yanaumiza Moyo, na hivi wavuta bangi wanapenda kweli kweli, pole yake huyo jombaa.
Kuna jamaa yangu ni mla kaya, aisee yule mwamba akinyooka na manzi mmoko ni huyohuyo hapindi hachepuki kama kaoa vile.
 
Mc
Hivi jamani hamjui tafauti ya rafiki wa kike (girlfriend) na mchumba (fiancee). Naona humu kila siku watu wanasema wachumba zao halafu unagundua kuwa hawajawaposa au hata kutambulishwa nyumbani kwao!!!!!😉
Siku hizi maisha yamebadilika, hata ukiishi na demu Basi ni mkeo na wazazi wake hawajui na unamzalisha. 😀😀😀😀
 
SEMA NINI YENYEWE WACHUCHU WANACHORESHA ILE KIWAKI MWAMBA APATE SK NA K VANT KUBWA APO MAELEKEZO YA KICHWA YARUDI KWENYE MSTARI
 
Back
Top Bottom