Uchumba unavunjwa kabla ya sikukuu

SEMA NINI YENYEWE WACHUCHU WANACHORESHA ILE KIWAKI MWAMBA APATE SK NA K VANT KUBWA APO MAELEKEZO YA KICHWA YARUDI KWENYE MSTARI
Yeeee baba, uhakika mwamba kachoma Jani, ashtue ubongo. Akiona haelewi atachoma na spirit. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Madogo mnatafuta wapenzi waliowazidi ujanja
 
Kuna jamaa yangu ni mla kaya, aisee yule mwamba akinyooka na manzi mmoko ni huyohuyo hapindi hachepuki kama kaoa vile.
Uhakika yaani, ukila Kaya huna Mambo mengi. Kwanza mademu wengi sio dili, uzuri wa demu ni mmoja tu. Khumma mmammakee. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Madogo mnatafuta wapenzi waliowazidi ujanja
Hatuna pigo za kirembo, mapenzi hayana mjanja. Ni wewe tu na akili yako mhuni wangu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸš¬
 
Atafute nyashi nyingine, mbona nyam zipo za kumwaga.

Kingine muelekeze mchizi boti asiwe anaingia kichwa kichwa kama hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…