Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
ule uchumba ulianza kwa kasi ya ajabu kati ya mtanzania aliyetuwakilisha big brother 2013 na mwenzake raia wa botswana kwishneyi.
Feza Kessy amekiri uchumba huo kuvunjika kwa sababu ameona jamaa siku hizi amebadilika hana tena mpango wa ndoa na yuko bize sana na mtoto wake wa miaka 8.
Pia amesema yeye ndio amemuacha aliandika kumuacha kwenye twitter na ndio ameamua hivyo.