Uchumba wa Feza Kessy na M-botswana wavunjika

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
ule uchumba ulianza kwa kasi ya ajabu kati ya mtanzania aliyetuwakilisha big brother 2013 na mwenzake raia wa botswana kwishneyi.

Feza Kessy amekiri uchumba huo kuvunjika kwa sababu ameona jamaa siku hizi amebadilika hana tena mpango wa ndoa na yuko bize sana na mtoto wake wa miaka 8.

Pia amesema yeye ndio amemuacha aliandika kumuacha kwenye twitter na ndio ameamua hivyo.
 
Duh teknolojia inarahisisha mambo,kamuacha kwa kuandika kwenye twitter hatari sana.
 
hahahhahaha, mkuu umenikumbusha kichekesho.
Kuna close friend wa familia yetu kamuacha mkewe kwa kumtumia talaka kwenye simu.
Kweli hii ni science and technology
 
Si nasikia huyu Feza anakaa huko Arusha halafu kuna dada anaesagana nae......,
 
Duh teknolojia inarahisisha mambo,kamuacha kwa kuandika kwenye twitter hatari sana.

siku hizi unaweza ukawa uko sehemu unaangalia kwenye mtandao unakuta mchumba wako kaandika am single again and i'm happy.

ni kawaida sana
 
Hahaha nimecheka sana. So siku hizi mtu anapost tu status kwenye mtandao, na uhusiano kushney duuh
 
Yani puchi ikishaliwa, it nolonger matters whether you leave him first or not
..
 
Kama walivyoachana Chris Brown na Karrueche through Insta tu

Weeee CB yupi?km uyu wa Mtogole basi kule Insta kamalizia tu nenda TMZ kaangalie mitusi ya kizaramo kuanzia mtaani mpaka kwenye show zake anayamwaga kama mwehu naamini Karrueche aamini kama yule ndo CB ambae walikua wanakaa na kulala uchi pamoja bababekiii CB kazaliwa State kimakosa.
 
Ameshaomba radhi CB mkuu, usije kushangaa mapenzi yakiwa on tena very soon!
 
Weeee CB yupi?km uyu wa Mtogole basi kule Insta kamalizia tu nenda TMZ kaangalie mitusi ya kizaramo kuanzia mtaani mpaka kwenye show zake anayamwaga kama mwehu naamini Karrueche aamini kama yule ndo CB ambae walikua wanakaa na kulala uchi pamoja bababekiii CB kazaliwa State kimakosa.

yaani nilivyokua nasoma nkahisi namsoma mzaramo halisi wa msangaaa
heee jamanj mwanaume yule ana mdomo mchafuuuu
 
Back
Top Bottom