Dk. Fadhili Emily....Mhhhhh!Ndio nani huyu hapa mjini?
Hili sasa gundu.... Kila siku anachwa tu au ndo yale mambo ya kaska yanahusu ha ha ha mbona kwa mwonekano ni mzuri sana
Huyu demu hatareee....dyudyuu ya ngapi hiyo?
gogoz....gogoz.Akina Mwajuma ndala ndefu ni mafundi ila ndo hawapati hizo deal.
Huyu ana shida kwenye bench la ufundi sio bure, kila mwanaume anamuacha afu hata hawadumu mmmh
Hili sasa gundu.... Kila siku anachwa tu au ndo yale mambo ya kaska yanahusu ha ha ha mbona kwa mwonekano ni mzuri sana
proffessional kungwi babe anahusikaaa...kule kukoboa tunashukuru kama alistaafu.Hivi Wema kachumbiwa kweli au kiki? Maana ana historia yq kuyeyusha uchumba.
Mungu atunusuru na wadogo zetu.....
Ha ha ha huyo si alisema kaolewa ila mmewe hamuoneshi lol ncheke mie, kachumbiwa wapi kiki tu ile ilikua kupunguza attention ya Mvua ya matusi.... Besdei vepe bado?
Ndio dokta huyo au
birthday bado.
Are you invited to!!!
Ndio dokta huyo au
Wakati wa kampeni mbona alikuwa anaitwa majina matamu ya kikamanda na anayemsema anasakamwa.
Kampeni zimeisha na hata matokeo hayajatoka imekua 'atajiju' 
Hahahaha umenichekesha sana
Aiiii wala hata sijaalikwa, nasikia shemeji yao kaombwa apeleke gari akiwaza mwenyewe hana akafunga account yake instagram he he he ncheke mie
Teh teh teh
Alipoifungua ni kafuta picha za mwanamke huyo na video zote.
Picha za wema? Ha ha ha ameona account imevamiwa na panya road wanampangia zawadi za birthday lol