Uchumba wa Jackline Wolper wavunjika

Afunge ndoa fasta,kukaa uchumba sana mwishowe majanga daily.
 
Anaombwa helicopter wakati ye kishaandaa kadi, maua na chocolate teh

Hawataki kuona mapenzi ya romansi, wanataka mapenzi ya pesa bosi wao aonyesheeeee hata kama hapati busu kwi kwi kwiiiii
 

Vicheche wanatumika kwelikweli.
 
Habari za shigongo bhana!
Wameachana lini?! Au ndo mradi tu gazeti limeuzika?
 
Hahahaaaa😂😂😂 mke atabaki kua mke na nilishasema if u accepted to be the 2nd iwill never ever be the only one 🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…