Uchumba wa mwendo kasi

Mwanamke yuko uchi ama kweli tunarogwa, nijuavyo mimi mwanaume hata akiwa mhuni anataka mke mwenye heshima zake ndiyo sifa ya akili iliyosalimika lakini kuona kuona mwanaume muhuni anamvesha Pete ya uchumba ndicho kinachonishangaza, la kama huyo ni watano katika anaowavesha Pete ili apate kupopochoa kwa nafasi hilo jambo jengine
 
Hii ni picha ya ukweli au imetengenezwa?

Naona ameamua kuwa tofauti,maana picha zote ninazozionaga za engagement party wanawake wanavaaga ile mishono ya Nguva LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…