Uchumba wa mwendo kasi

Hata huyo mwanamme mwenyewe alivyovaa ovyoo na raba juu..
Wamekutana Mfuniko na sufuria
 
***** dadekii halijavaa chupi au macho yangu yanaangalia vibaya na huu ulevi wangu kichwani
 
Ngoja waje utaambiwa tusipangiane kila mtu na maisha yake...

Au usimjaji kwa mavazi
 
Huu ni utandawazi na hizi ni engagement za show off unaenda mwenyewe kwa sonala unachagua pete,unachagua ukumbi na wageni waalikwa,mpiga picha kasetiwa afu jamaa anapiga goti mbele ya kadamnasi na mwanamke anatoa chozi as if ni suprise.......teh teh
 
Jamaa huyu bhana,alitakiwa atambue kua kuna mwanamke wakuoa na wa starehe,huyu wa starehe hata alie vipi,usimuoe kwakumuhurumia,oa mwingine halafu yeye mwambie mungu hakupenda nikuoe,na muombe msamaha,halafu endelea kumgonga kila ukimhitaji.
 
Hatari sana...

Yani jamaa anaolea kijiji hapo kwa style hizo za mwanamke...

Mwanamke type hiyo ni mzuri kumkaza tu ila siyo wa kumuweka ndani kama mke...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…