Nne - anatoa trilioni moja ili kufanya stimulation ya kilimo (hata cuba wasingefanya hivi).
Koba,JK inabidi awasaidie wawekezaji wa ndani kwa serikali yake kujenga policy nzuri za kuwasaidia kupata mikopo na usalama wa biashara zao,pigana na rushwa na wape unafuu wa kodi kama hao wa nje wanaowapa tax holiday ,na serikali lazima imwage pesa nyingi sana kwenye umeme,barabara na Elimu maana hivyo ndio kama engine ya maendeleo...bila kuwapatia mikopo na kuondoa rushwa/urasimu wawekezaji wa ndani itakuwa ngumu sana kufanikiwa so na Taifa kwa ujumla!
Uzuri wa somo la uchumi na siasa ni kwamba kila mtu ana PhD.
Koba,
Sera za Kikwete hazijazingatia au kulenga wawekezaji wa ndani. Yeye kwake wawekezaji ni watu wa nje. Ni lini alipozunguka Tanzania akihimiza wawekezaji wa ndani?
mkuu, unatakiwa ukumbuke kuwa waliosaini hiyo mikataba wananufaika na mikataba yenyewe. Kama ingekuwa hawanufaiki hakunba ambaye angesaini. It is only now that the nation has come to light that catutally this 97 percent inagawiwa kwa hao walioshiriki kusaini mikata hiyo. Ndio maana ukitaka kuvunja mikata hiyo leo, wakawanza watakao kupinga ni watanzania wenyewe na sio wawekezaji wenyewe.
Nimesikia juzi kuwa Gadafi anataka Afrika ilipwe fidia kutokana na madhara ya ukoloni.Tofauti na Gadafi, hawa wa kwetu wako busy kuwavuta wakoloni huku tukidanganywa kuwa hakuna njia tofauti ya maendeleo isipokuwa kuwagawia wakoloni hao mali zetu!
Hii mikatabaka ya 3% ilisainiwa wakati wa Nkapa.
Tumeona JMK akiunda tume ya kuirudia hii mikataba na kujaribu kuirekebisha ili Tanzania ifaidike na nnadhani wengine katika hii tume walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani (Zitto kama sikosei alikuwemo). Swali, kwa nini alaumiwe JMK aliyekuja kuitazama upya hii mikataba? Mimi nadhani JMK ni wakusifiwa kwa japao kuitazama na upya na kuwaweka mpaka wa vyama vya upinzani kufuatilia hili suala.
Katika hili kwa nini alaumiwe JMK na asilaumiwe Nkapa, alietutosa?
Hii mikatabaka ya 3% ilisainiwa wakati wa Nkapa.
Tumeona JMK akiunda tume ya kuirudia hii mikataba na kujaribu kuirekebisha ili Tanzania ifaidike na nnadhani wengine katika hii tume walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani (Zitto kama sikosei alikuwemo). Swali, kwa nini alaumiwe JMK aliyekuja kuitazama upya hii mikataba? Mimi nadhani JMK ni wakusifiwa kwa japao kuitazama na upya na kuwaweka mpaka wa vyama vya upinzani kufuatilia hili suala.
Katika hili kwa nini alaumiwe JMK na asilaumiwe Nkapa, alietutosa?
Wakati wa kampeni za 2005 Kikwete aliahidi kuiangalia upya hii mikataba ili kuifanya marekebisho kwa manufaa ya Watanzania. Leo ni mwaka wa nne tangu aingie madarakani na hajafanya lolote, hivyo naye pia anastahili lawama za hili la Tanzania kutofaidika na rasilimali zetu.
wote walaumiwe, kupitia mikataba pekee hakutusaidii kitu, alisema ataipitia na ataifanyia marekebisho lakini kaipitia tu halafu kimyaa, tunataka marekebisho kama alivyoahidi kama hairekebishiki aseme tuende Bulyanhulu tukamngoe bepari kivyetu vyetu..alaa!!!
Jamani, msilie na hii mikataba kwani kanuni yake ilikuwa ni ndogo sana. Na michezo yenyewe ilikuwa kama ifuatavyo.wote walaumiwe, kupitia mikataba pekee hakutusaidii kitu, alisema ataipitia na ataifanyia marekebisho lakini kaipitia tu halafu kimyaa, tunataka marekebisho kama alivyoahidi kama hairekebishiki aseme tuende Bulyanhulu tukamngoe bepari kivyetu vyetu..alaa!!!
Hastahili lawama hata kdogo. Hebu som maelezo hapa chini ndio utafahamu kwanini hastahili lawama.Wakati wa kampeni za 2005 Kikwete aliahidi kuiangalia upya hii mikataba ili kuifanya marekebisho kwa manufaa ya Watanzania. Leo ni mwaka wa nne tangu aingie madarakani na hajafanya lolote, hivyo naye pia anastahili lawama za hili la Tanzania kutofaidika na rasilimali zetu.
Jamani, msilie na hii mikataba kwani kanuni yake ilikuwa ni ndogo sana. Na michezo yenyewe ilikuwa kama ifuatavyo.
Kimsingi Bepari hakufutii deni hata siku moja. Mliposikia kuwa Mkapa kafanikisha kufuta madeni kulikuwa na gharama ya kulipa vile vile. Gharama yake ndio ilikuwa kulilipa deni hilo kupitia madini, indirectly. Tukajisifu sana kwa kufutiwa madeni, kumbe tuliliwa. Sasa mchezo umeanza, mnalilia nini. India walipotaka kufutiwa walikataa, mnajua kwanini? Kwasababu walijua gharama yake ilikuwa kubwa zaidi. Hivi kweli nyie watanzania mliamini kuwa tumefutiwa deni hilo kabisa, hata kifutia jasho wao wasipate? Hiyo sahau kabisa, nafikiri mmesahau Nyerere aliwaitaje hawa "mabepari, wanyonyji, kupe" na kila aina ya jina ilimradi tu ionyeshe jitu fulani lisilokwenda kwa hasara.
Mkapa aliambiwa na alifahamu na akatuacha majuha kama Nyerere alivyotuacha na kipindi cha miezi 18 ya shida baada ya Vita vya Uganda. Kumbe alielewa ni milele, na imetoka. Hata hivyo hii ni fundisho kwa Watanzania. Watanzania amkeni, msipende vya bure!!!!!!!!!
Muulize Zitto, kamati yao imefanya nini, ime recommend nini na hatua gani zimechukuliwa baada ya hapo?
Mkapa aliambiwa na alifahamu na akatuacha majuha kama Nyerere alivyotuacha na kipindi cha miezi 18 ya shida baada ya Vita vya Uganda. Kumbe alielewa ni milele, na imetoka. Hata hivyo hii ni fundisho kwa Watanzania. Watanzania amkeni, msipende vya bure!!!!!!!!!
Taabu kweli kweli kuingilia Ubepari bila kujua yatokanayo!