emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
Siwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela.
changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi hata kama mwanaume kamzidi kwa uchumi.
Manka akishajihakikishia kuwa ana uwezo wa kusustain maisha yake bila msaada wa mwaume hapo dharau na jeuri huanza.
Kwa mwanaume kiasaka (asiye mchaga) ukitaka kuoa uchagani ki-masculinity ujiandae vizuri kukabiliana na hizo jeuri.
Mimi mchaga na nimeoa mchaga.