Hakuna aliyekuja duniani kumtii mtu bila sababu za msingi ππ Nimecheka jamani.Siyo wachagga tu hiyo ni hulka ya binadamu wote, hata mtoto anapoacha kuhudumiwa na mzazi na kuanza kujihudumia mwenyewe anakuwa hatamani tena kupangiwa cha kufanya, anataka kujifanyia maamuzi yake unabaki ule utii tu wa kwamba kwa sababu ni mzazi na ndio chanzo cha uwepo wako
Taratibu tu mtaanza kuelewa kwamba utii wa mwanamke kwa mwanaume unaambatana na kuhudumiwa kiuchumi tu na si vinginevyo, hakuna aliyekuja duniani kumtii binadamu mwenzie bila sababu za msingi, kumtii mtu siyo kazi rahisi ni lazima huyo unayemtii awe anawajibika juu yako
Sasa kama hawajibiki na mtu unajihudumia mwenyewe msingi wa huo utii unakuwa wapi, sasa ukisema hivi mtu anaanza kuleta habari za sijui mbona unamtii boss wako, sasa hiyo nayo ni hoja kweli kwani si tunajua watu walioajiriwa wanatii maboss zao sababu wanalipwa mishahara na posho au
Yeah umeona eh hata huyo rais mwenyewe watu wanamtii kwa sababu ana wajibu mkubwa kwa nchi yake, akishindiwa kutimiza huo wajibu kwa nchi zinazojielewa ndio utasikia kapinduliwa na kutiwa nguvuni na hao hao waliokuwa wanamtii, hakuna mamlaka bila wajibu vinginevyo utumie mabavu na mtu anapokubali kuwa chini yako kwa sababu umetumia mabavu huo unakuwa siyo utii tena bali ni uogaHakuna aliyekuja duniani kumtii mtu bila sababu za msingi ππ Nimecheka jamani.
Ila kweli! Rais mwenyewe tunamtii kwasababu ni Rais ila basi tuβ¦
Ndio maana wanaume huwa hawatii, sababu huwa hatuwapi hela! Na wanaume hao hao wanawatii ma boss zao hata kama ni wanawake ππ€¦π»ββοΈ
Kupiga mtu siku hiziz unaeza ishia jela, magonjwa ni mengi sana na watu ni delicate sana. Unaeza mpiga mtu kaanguka kafa!Kipigo ndo dawa ya mwanamke.piga tishia kuua akikupeleka polisi ingia gharama toka ukifika home mzibue tena atakua na adabu
Ngojea waje wenyewe,ila kuna ukweliSiwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela.
changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi hata kama mwanaume kamzidi kwa uchumi.
Manka akishajihakikishia kuwa ana uwezo wa kusustain maisha yake bila msaada wa mwaume hapo dharau na jeuri huanza.
Kwa mwanaume kiasaka (asiye mchaga) ukitaka kuoa uchagani ki-masculinity ujiandae vizuri kukabiliana na hizo jeuri.
Mimi mchaga na nimeoa mchaga.
Hujakutana na mwanamke chizi nduguKupiga mtu siku hiziz unaeza ishia jela, magonjwa ni mengi sana na watu ni delicate sana. Unaeza mpiga mtu kaanguka kafa!
Mwanamke akikuzimgua muage achana naye chukua mkali zaidi yake, na jeuri yao yote huwa inawaumiza sana hii maana wao by default hawana uwezo wa kutongoza na kuoata partner mpya kwa muda mfupi!
Simama kama mwanamume.Hujakutana na mwanamke chizi ndugu
Kuna mwanamke hata utake achana nae kwa amani anakusumbua tu.
Me na lishangazi huwa nazila naliacha liendelee na maisha yake.but linakujaga limelewa linaanza kunipigia kelele huku linagonga mlango kwa fujo nlifungulie unakuta saa saba mwenye nyumba kalala unafanyaje sasa ukichelewa linakumbia ntavunja mlangoinabidi nifungue lilale.na likiingia linafosi nilipe dudu yake kuna nini tena.
Nlishasimama kama mwanaume na kulipiga mpaka kulipasua lakini wapi.unataka nikanyee ndooo nduguSimama kama mwanamume.