Uchumi: Sababu kuu za kushuka thamani TZS dhidi ya USD

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Unajuwa nimesoma thread nyingi humu kuhusu kushuka kwa thaman ya Tsh dhidi ya Usd na wengi kiukweli tunaongea kisiasa zaid pasipo kuangalia mambo mengi ktk soko la dunia.

Kwanza. Nivyema. Tukumbuke hali ya soko la. Dunia sio nzuri sana kwa sasa.

Vita ya kiuchumi kati ya Usa na China inafanya soko la. Dunia kuyumba hapa sitoongea sana ila wenye kufuwatilia mambo ya kiuchumi mnajuwa jinsi gani Marekan na China wana vita kali ktk bidhaa zao huku kila taifa likiweka vikwazo na kukata kodi kubwa baina ya nchi na nchi

Mataifa makubwa yanatoa mafuta Venezuela, Iran kuna shida kutokana na vikwazo na pia Naigeria kuna uchaguzi

Pili nisababu za ndani

Kama mnakumbuka taifa letu tuna agiza mafuta kwa invoice moja hivyo kama tayari Tume agiza basi kutokana na hizo sababu lazima, demand inakuwa kubwa ya dola.

Tatu miradi mikubwa inayo endelea hii yote ina agiza products kutoka nje pia malipo kwa wakandarasi wa nje hivyo lazima demand. Ya Usd iwe kubwa sana.

Nne kupanda au kushuka thaman ya Tz kuna athiriwa sana na demand and supply of Usd. Yani ikiwa ktk soko dola zipo chache na uhitaji ni mkubwa basi Tsh inashuka thaman lakini. Kama Usd supply yake kubwa na demand ndogo automatic Tsh thaman inapanda.

Pia serikali ikiwa na demand kubwa ya Usd inaweza chukua kwenye soko la ndani Yani pitia. Commerial banks au pitia bank za nje kivyovyote vile serikali akinunua Usd lazima analeta mtikisiko kwa masoko ya ndani.

Tano black market niukweli usiopingika soko la dola kwa Tz bado we have long way to go hasa ukizingatia black market nikubwa sana kwamfano pale Znz mtu Anafanya exchange mpaka Usd. 100k per na hakuna maswali na yote black market Kule Arusha same same black market sasa hawa pia wanasumbuwa hasa pindi wakibana pesa.

Swala la korosho hili nalo limechangia kwa sababu kwa almost million of Usd missed kwakununua serikali korosho japo kama tupo stable kiuchumi hatupaswi kutikisika.
Kwaleo naishia hapa.
 
Mtaalamu wa uchumi wewe, kiongozi wa wauaji wa wakosoaji wa Jiwe aka "wasiojulikana", wewe

Mnategemea mjijiteeje?

Shilingi yetu haijawahi kupanda thamani tangu wakoloni wazungu wa Kiingereza waondoke na kuja wakoloni weusi waovu zaidi kuliko wazungu, nyie CCM tangu mwaka 1961...!!

Kwa hiyo basi, sababu kubwa kabisa ya kushuka kwa thamani ya shilingi ni kwa sbb ya utawala muovu na wenye sera na mipango mibovu wa CCM hususani chini ya Msukuma Mega - Fool....

Dawa yake ni kupotezwa kwa CCM ktk ramani ya Tanzania na dunia kwa ujumla, and not otherwise.....!!
 
Tukumbushane kidogo, kwani lini Shilingi ilipanda thamani kwenye awamu hii ya tano??
 
Rudi shule hakuna unachojua kuhusu uchumi... Kama umri umekutupa mkono huwezi rudi shule basi fanya mambo mengine haya mambo ya uchumi tuachie tunaojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Mwagaji wa damu za watu .

Tuachane na USD, EUR na POUND pesa za MABEBERU.

Tuambiane hali ikoje TANZANIA SHILLINGS VS KENYA SHILLINGS ??
 
Yule profesa Ngowi angekua anachambua hivi !!
 
Rudi shule hakuna unachojua kuhusu uchumi... Kama umri umekutupa mkono huwezi rudi shule basi fanya mambo mengine haya mambo ya uchumi tuachie tunaojua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehehehehe toa facts zako Acha kutoa machoz. Umasiki wetu sio pesa ila nikujifikiri tunajuwa kuliko wengine sasa Unapo beza bila facts nakuona tango pori tu. Mbaya zaid hujuwi kinaendelea dunian zaid ya unayojuwa sasa
 
mkuu umeeleza vyema ila umesahau sababu nyingine ya import and export ambayo ndo inatumaliza sana sikuhizi yani hapo ndo tunaingia shimoni , pili utakatishaji wa fedha, biashara haramu na makorombwezo kibao
 
Kwakifupi; Uchumi wetu ulikuwa ni bwaga geuza . Uchumi wa kutegemea kwenda bank [emoji542] na kukopeshana pesa kiundugu undugu na kiushikaji ushikaji au kwenda baaa na kumwaga pesa au kwenda kanisani na kutoa michango ya pesa kubwa. Mzungu mjanja Ukiona anakukumbatia ujue anafaidi kutoka kwako lakini Ukiona mnakoromeana ujue hana cha kufaidi kwako kama zilivyo nchi nyingine. Kiufipi Shilling imeendelea kushuka miaka mingi tokea zao la mkonge liuliwe na wahindi na wazungu. Tanzania ilikuwa inazalisha mkonge mwingi sana na tulikuwa na tenda nyingi sana za mkonge kwa nchi nyingi baada ya kuanza kuzalishwa kwa viroba ivi visivyo tumia mkonge. Na watu kuiba iba kwy viwanda vingi sana. Apo ndio Dollars imekuwa ikipanda sana na sio swala la kulalamika kuhusu nchi ingia kwy takwimu za BOT Ndio utajua.
Tanzania ilikuwa ni mzalishaji mzuri wa Mkonge, Tumbaku, Chai, Pamba, Kahawa, Korosho, Pareto, Mbao. Sasa uzalishaji wa haya mazao ni wa kiwango cha chini na uko kwy vyama vya Ushirika kuna panya wa hatari wanaiba kila kitu. Haiwezekani ukashindana na nchi ambazo zipo serious na uzalishaji wa mazao ambayo ni ya bihashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…