Unajuwa nimesoma thread nyingi humu kuhusu kushuka kwa thaman ya Tsh dhidi ya Usd na wengi kiukweli tunaongea kisiasa zaid pasipo kuangalia mambo mengi ktk soko la dunia.
Kwanza. Nivyema. Tukumbuke hali ya soko la. Dunia sio nzuri sana kwa sasa.
Vita ya kiuchumi kati ya Usa na China inafanya soko la. Dunia kuyumba hapa sitoongea sana ila wenye kufuwatilia mambo ya kiuchumi mnajuwa jinsi gani Marekan na China wana vita kali ktk bidhaa zao huku kila taifa likiweka vikwazo na kukata kodi kubwa baina ya nchi na nchi
Mataifa makubwa yanatoa mafuta Venezuela, Iran kuna shida kutokana na vikwazo na pia Naigeria kuna uchaguzi
Pili nisababu za ndani
Kama mnakumbuka taifa letu tuna agiza mafuta kwa invoice moja hivyo kama tayari Tume agiza basi kutokana na hizo sababu lazima, demand inakuwa kubwa ya dola.
Tatu miradi mikubwa inayo endelea hii yote ina agiza products kutoka nje pia malipo kwa wakandarasi wa nje hivyo lazima demand. Ya Usd iwe kubwa sana.
Nne kupanda au kushuka thaman ya Tz kuna athiriwa sana na demand and supply of Usd. Yani ikiwa ktk soko dola zipo chache na uhitaji ni mkubwa basi Tsh inashuka thaman lakini. Kama Usd supply yake kubwa na demand ndogo automatic Tsh thaman inapanda.
Pia serikali ikiwa na demand kubwa ya Usd inaweza chukua kwenye soko la ndani Yani pitia. Commerial banks au pitia bank za nje kivyovyote vile serikali akinunua Usd lazima analeta mtikisiko kwa masoko ya ndani.
Tano black market niukweli usiopingika soko la dola kwa Tz bado we have long way to go hasa ukizingatia black market nikubwa sana kwamfano pale Znz mtu Anafanya exchange mpaka Usd. 100k per na hakuna maswali na yote black market Kule Arusha same same black market sasa hawa pia wanasumbuwa hasa pindi wakibana pesa.
Swala la korosho hili nalo limechangia kwa sababu kwa almost million of Usd missed kwakununua serikali korosho japo kama tupo stable kiuchumi hatupaswi kutikisika.
Kwaleo naishia hapa.