Uchumi Tanzania utaendelea kupolomoka 2017/18

Naomba usome vizuri kwenye hii picha, mwanzo BOT iliagiza kupunguza mikopo halafu baadae inawapa incentive za kuongeza mikopo.

Kwasababu BOT wanadhani banks zikitoa mikopo kwa wingi uchumi utaimarika. Ni kweli mikopo inapotolewa mwanzo huwa inaonekana kama uchumi unakua kwasababu watu wanatumia hiyo mikopo kufungua enterprises mbalimbali na hizo enterprises zinaajiri watu. In the long term, though, uchumi hautakua kwasababu tafiti zinaonyesha biashara nyingi Tanzania zinaendeshwa kwa hasara au kwa faida kidogo sana, which explains why many people default on their high interest loans.
 
Hivyo unaamini kwamba kutoa mikopo zaidi kwa muda huu kutasaidia kuondoa matatizo yalioyopo?

***Maana kwa upande wangu naona pesa hakuna mifukoni mwa watu wengi kiasi cha kufanya biashara kushamiri.

Pili, mabenki mengi ya biashara wanadai fedha hawana kwa kiwango kingi kama hapo zamani, jambo hili linasababishwa na mikopo kutokulipwa kwa wakati na kiwango hitajika. Na chanzo cha mikopo kufanya vibaya ni biashara kudolola, tatizo hili linachangiwa na kutokuwepo kwa fedha za kutosha mifukoni kama nilivyosema hapo juu.

Utatuzi wa matatizo ya uchumi wetu wa leo sio mikopo, shida ni pesa hakuna mifukoni. Serikali ina "options" mbili maridhawa kutatua hili, mosi itoe ajira nyingi au warudishe posho ili wawezeshe pesa kuwepo mifukoni ambapo italeta "purchasing power" kubwa zaidi.
 
Kama una fahamiana na watumishi wa Benki zetu hizi za biashara labda uanze kuwauliza vizuri. Binafsi ninafahamiana na mameneja kadhaa wa benki tofauti. Ukiwauliza "financial standing point" yao muda huu watakuambia sio imara kama ilivyokua miaka miwili au mitatu nyuma.

Commercial banks ni wafanya biashara, na siku zote biashara zenye "high risk" zinakuza kampuni ila zile "low risk" kama government bonds zinaipa msingi mzuri kwa baadae.

World Bank wametoa taarifa zao, ila kwa hali hii tupeane miezi sita tu ATM kiwango cha kutoa pesa kitashuka kwa kiasi kikubwa. Usishangae kutangaziwa mwisho wa kiasi kutolewa unarudi 1M au laki 4 tu kwa siku, ukihitaji zaidi unaenda ndani kuhojiwa. Na maana ya kuhojiwa hapa ni kukubembeleza usitoe pesa bali ufanye "transactions" hizo ulizodhamiria kwa mfumo wa cheque au bank transfer. Hii itawasaidia wao kubaki na fedha katika shelf zao ila wanaohitaji kidogokidogo wapate zikiwepo.

I agree, hali kwenye banks nyingi, hasa hizi ndogondogo, siyo nzuri kama ilivyokua huko nyuma. Clearly, non-performing loans zimechangia; na hata mimi nawashangaa serikali kwa kudhani mikopo ikitolewa kwa wingi itasaidia uchumi. Kwa mazingira ya biashara yalivyo sasahivi Tz mikopo peke yake haitakuza uchumi. After all, mikopo yenyewe ni too expensive.

Hoja yangu ilikua ni kwamba "implosion" kama tuliyoishuhudia Marekani sidhani kama itatokea kwa banks zetu nyingi kwasababu, japo kuna hatari ya cash-flow kupungua katika banks ambazo zimewekeza zaidi kwenye long-term government bonds siyo rahisi hizi banks kutoweka kabisa kwenye ulingo wa biashara kwasababu ya kufilisika.
Hivyo unaamini kwamba kutoa mikopo zaidi kwa muda huu kutasaidia kuondoa matatizo yalioyopo?

***Maana kwa upande wangu naona pesa hakuna mifukoni mwa watu wengi kiasi cha kufanya biashara kushamiri.

Pili, mabenki mengi ya biashara wanadai fedha hawana kwa kiwango kingi kama hapo zamani, jambo hili linasababishwa na mikopo kutokulipwa kwa wakati na kiwango hitajika. Na chanzo cha mikopo kufanya vibaya ni biashara kudolola, tatizo hili linachangiwa na kutokuwepo kwa fedha za kutosha mifukoni kama nilivyosema hapo juu.

Utatuzi wa matatizo ya uchumi wetu wa leo sio mikopo, shida ni pesa hakuna mifukoni. Serikali ina "options" mbili maridhawa kutatua hili, mosi itoe ajira nyingi au warudishe posho ili wawezeshe pesa kuwepo mifukoni ambapo italeta "purchasing power" kubwa zaidi.

Hapana. Mimi siamini kama mikopo peke yake itakuza uchumi. Nimesema serikali, kupitia maamuzi ya BOT, inaonekana kuamini hivyo.

Pia, siamini kama serikali kuajiri watu wengi zaidi (hata kama hawahitajiki) na kurudisha posho kutakuza uchumi. Uchumi utakuzwa na private sector. Wenzetu huko Marekani, kwa mfano, zaidi ya asilimia 60% ya ajira zinapatikana kwenye private sekta. Na sisi tutengeneze mazingira nafuu kwa wakulima, wafanyabiashara na watoa huduma binafsi kuendeleza enterprises zao. Hawa wataajiri watu wengi zaidi kwa ujumla wao.

Halafu, private sekta watu huwa wanafanya kazi kweli. Serikali wengi hawafanyi kazi zinazoonekana, kwasababu mbalimbali. Mfano, halmashauri karibu zote nchini huwa hazipewi fedha za kutosha kutekeleza majukumu yao. Sasa hapo niambie kwanini mfanyakazi wa halmashauri anakuwa na ajira ya kudumu ilihali kazi yake inategemea serikali imewasilisha fedha kiasi gani ndo aweze kutekeleza majukumu yake yote. In fact, binafsi ninaamini serikali inatakiwa kupunguza zaidi ajira serikalini. Tunapoteza fedha nyingi kulipa mishahara kwa kazi hewa.
 
I agree, hali kwenye banks nyingi, hasa hizi ndogondogo, siyo nzuri kama ilivyokua huko nyuma. Clearly, non-performing loans zimechangia; na hata mimi nawashangaa serikali kwa kudhani mikopo ikitolewa kwa wingi itasaidia uchumi. Kwa mazingira ya biashara yalivyo sasahivi Tz mikopo peke yake haitakuza uchumi. After all, mikopo yenyewe ni too expensive.

Hoja yangu ilikua ni kwamba "implosion" kama tuliyoishuhudia Marekani sidhani kama itatokea kwa banks zetu nyingi kwasababu, japo kuna hatari ya cash-flow kupungua katika banks ambazo zimewekeza zaidi kwenye long-term government bonds siyo rahisi hizi banks kutoweka kabisa kwenye ulingo wa biashara kwasababu ya kufilisika.

Hapana. Mimi siamini kama mikopo peke yake itakuza uchumi. Nimesema serikali, kupitia maamuzi ya BOT, inaonekana kuamini hivyo.

Pia, siamini kama serikali kuajiri watu wengi zaidi (hata kama hawahitajiki) na kurudisha posho kutakuza uchumi. Uchumi utakuzwa na private sector. Wenzetu huko Marekani, kwa mfano, zaidi ya asilimia 60% ya ajira zinapatikana kwenye private sekta. Na sisi tutengeneze mazingira nafuu kwa wakulima, wafanyabiashara na watoa huduma binafsi kuendeleza enterprises zao. Hawa wataajiri watu wengi zaidi kwa ujumla wao.

Halafu, private sekta watu huwa wanafanya kazi kweli. Serikali wengi hawafanyi kazi zinazoonekana, kwasababu mbalimbali. Mfano, halmashauri karibu zote nchini huwa hazipewi fedha za kutosha kutekeleza majukumu yao. Sasa hapo niambie kwanini mfanyakazi wa halmashauri anakuwa na ajira ya kudumu ilihali kazi yake inategemea serikali imewasilisha fedha kiasi gani ndo aweze kutekeleza majukumu yake yote. In fact, binafsi ninaamini serikali inatakiwa kupunguza zaidi ajira serikalini. Tunapoteza fedha nyingi kulipa mishahara kwa kazi hewa.
Hoja zako zina mashiko pia.

1. Marekani uchumi wao upo vizuri sana, kwenye suala la private sector Serikali yao inatumia budget ya ulinzi kwenye makampuni ya silaha. Watumishi wengi katika makampuni haya wanalipwa vizuri sana, achilia mbali "Research and Development funds" ambazo serikali ya marekani inawekeza katika vifaa vya ulinzi na vita. Tanzania hapa kwetu serikali hutumia "Bajeti ya Fedha za Maendeleo" lakini tunajua fika mipango hii haitekelezeki hata kwa 50%. Mwisho wa siku wananchi hawana pesa mifukoni.

2. Benki za biashara kuwekeza kwenye long term bond kwa ndio zitasaidia lakini ni kidogo sana. Bank confidence inaposhuka, mfano watu kutoa fedha nyingi kuliko kuweka maana biashara hazina faida sana za kutosheleza. Watu watatoa fedha za akiba kwenye mabenki hivyo ukame utaendelea zaidi na zaidi. Mabenki yataendelea kuishi, ila kwa wananchi wa kipato cha kati na chini ambao ni wengi hali itakua ngumu.

3. Hoja ya kutengeneza mazingira ya biashara ipo vizuri lakini wateja wapo wapi? Mzunguko mzima wa pesa umeshaathiriwa, kutengeneza mazingira ya biashara sio ya siku moja wala wiki. Sio suala la kutoa mikopo na incentives kwa wafanyabiashara bali kutengeneza tabaka la watu ambao watakua wateja. Hapa ndipo serikali inabidi iajiri watumishi wa muda pekee ( 1 or 2 years at most) kutoka katika mishahara yao na posho wasaidie mapato ya makapuni kuongezeka kutokana na ununuzi wa bidhaa kwa kutumia mishahara yao.
 
Tupo pamoja Mkuu. Najibu hoja yako namba 3:

Tabaka la wateja litatengenezwa na wafanyakazi wanaoajiriwa na kulipwa na private enterprises. Nikupe mfano rahisi tu: serikali iliporuhusu kuanzishwa kwa vyuo vingi binafsi ndani ya miaka kumi iliyopita, Watanzania wengi walipata ajira kwenye hivi vyuo binafsi ktk nafasi mbalimbali. Angalia ni watu wangapi wameajiriwa ktk private banks, NGOs, makampuni binafsi ya simu etc. Hawa wote wanaunda tabaka la wateja. Serikali inatakiwa kuboresha zaidi mazingira ya sekta binafsi ili hii sekta iendelee kutengeneza ajira zaidi. Serikalini ni blah blah blah .... hawafanyi kazi inayoonekana; ila wanalipwa kila mwezi. Ukiwekeza huko tutazidi kuzama kiuchumi. Serikali isiongeze ajira serikalini, ikuze private sector. Unfortunately, naona taasisi ya Rais ya awamu hii haina imani sana na private sector na haionekani kuutambua vizuri mchango wa private sector.
 
Nipo naangalia uchangiaji wa wachumi ila tatizo la wachumi au wataalamu wetu wa Tanzania wanakosoa bila kuja na masuluhisho.

Sijaona kabisa suluhisho zaidi ya kukosoa tu.
 
Ndio ume comment nini sasa hiki!?

Si bora ungeacha tu kama huna unachokijua kuliko kuleta kinyesi tu hapa kwenye screen za watu.

Bwege kweli wewe.

Bwege ni wewe. Hivi kwanini hamsemi ukweli hela zilizokuwa zinazunguka ni za madawa. Posho Kujilipa tu. Mikutano ya Serikali kwenye kumbi za viongozi wa mashirika. TZ sasa ndo ilitakiwa kuishi kiuhalisia kadiri ya uwezo wake. Na ndo mwanzo wa Maendeleo. Acheni Unafiki. Yani Watz Afu tujidanganye wenyewe. Uzalendo hakuna kwa kuwa hata hao wafanyabiashara wengi. Ilikuwa ni mgongo wa manbo ya madawa na Mission town. Leo uhalisia umeingia kila mtu anaona ugumu na hawataki kuzoea. Ulaya huku. Lazima ujulikane chanzo chako.
 
Nadhani Akili yako haiko sawa. Badala ya kujibu hoja wewe ume resort to insults na vijembe
Ndivyo wengi walivyo mkuu, badala kuchangia mawazo au ideas zao kazi kutukana na kukandia wengine through insults and character assassination.

Kuna waziri mmoja jina namuhifadhi, aliulizwa swali na waandishi wa habari, badala kujibu swali akaanza kuwajibu jinsi gani wasivyo na akili.
Utakuta nchi za wazungu, officials wakiulizwa maswali watajibu without employing tactics of character assassination. Wakati sisi hoja zetu za matusi tu! Hata kama hutaki ku offend mtu, basi watakulazimisha tu! It's a shame kwanini sisi hatuwezi kuwa na logical argument or debate, even if there is no agreement?
 
Labda uchumi wako binafsi ndio unaporomoka. Hiyo benki iliyofilisika unaijua vizuri na unajua kwanini imeanguka??? sio kila jambo huwa linawekwa hadharani - ila tambua kwamba mabenki mengine yanaanguka kutokana na maovu yao wenyewe.
Ni kweli ndugu wengi awawezi kukuelewa, kwa sababu wanafanya biashara na awana elimu ya uchumi. Wenye elimu ya uchumi tunakuelewa mkuu. Bank [emoji542], Bureau de Change na Taasisi za fedha nyingi zilifunguliwa kwa ajili ya kutakasa pesa chafu. Sasa serikali imekuwa makini na ishu izo za utakasaji wa pesa chafu na imepelekea Taasisi nyingi za kifedha kuanguka ambazo, ndio ilikuwa madili yake. Wanaofanya biashara chafu wangekuwa wanajiingiza angalau katika uchumi kama kuwa na viwanda angalau vya usindikaji wa vyakula na vitu vinginevyo vingi ingesaidia lakini wao ni biashara alamu mwanzo mwisho na wakifanya biashara awalipi kodi inavyotakiwa. Tatizo watu wengi awaelewi pesa chafu, mfano mdogo awa mapedesheee wa mjini ambao wengi ni wauzaji wa cocaine, walikuwa wanaenda katika kumbi na kumwaga pesa ili kuwavutia watu wengi kuingia katika izo biashara na unakuta uyo pedeshee ana mzazi wake anakaa katika mazingira mabovu
 
Back
Top Bottom