Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
nNdumba uchumi hauwezi kuacha kuhudumia siasa! kwani Siasa ndiyo inayoongoza uchumi ! kinachotakiwa ni sisi wanawa nchi kuamka na kutambua ni siasa zipi zinaongoza uchumi! Ndio maana tunasema kuwe na katiba bora inayochochea Utawala Bora ,ambapo kunakuwa na wazi, uwajibakaji ! Hayo yote yakiwa sawa Uchumi utagharimia siasa kwa ufanisi ! Wape wenzio ujumbe huu kuwa SIASA si prpopaganda ndio maana unaitishwa uchaguzi ili kuangalia ni nani mwenye siasa bora (ilani0Tatizo letu Watanzania tunatafsiri siasa za nchi ni sawa tu na sisa za Usimba na Yanga au Manu U na ARSENAL! nI hATARI ....NI lAZIMA tUAMKEHii tabia ya kugharamia siasa hapa Tanzania itaisha lini. Hebu angalia mamilioni yanayoteketea kupitia:
1. Ruzuku ya vyama vya siasa
2. Vikao vya bunge la kawaida na katiba
3. Chaguzi
Kwanza kile kipengele cha wabunge kutokuwa na imani na waziri mkuu au raisi kiondolewe, wabunge wameonesha dalili kutaka kukitumi kifungu hiki kwa wakati tofauti kuitisha serikali kupitisha posho zao wanazozitaka.
nI LAZIMA TUPAMBANE KUTOKEMEZA MFUMO HUU ,TUSIPOFANYA HAYA WAJUKUU WETU WATAKUJA KUFUKUA MAKABURI KUANGALIA TULIKUWA NI WATU WA AINA GANI HATUKUJITAMBUA KWA KIWANGO CHA KUTISHAMkuu @ Kyalosangi, heshima kwako. Shida ni zile mbinu chafu za wanasiasa kuhakikisha wanakuwa na agenda zisizoisha kwa mwaka mzima zinazohusisha posho. Kisingizio ni demokrasia gharama. Sasa hv almost ofisi za kawaida za serikali ziko likizo. Unajua kuna ofisi posho tatu za mbunge wa bunge la katiba ni bajeti ya mwezi mzima kuzunguka wilaya nzima! Kibaya ajenda ni bandika bandua wako bize kupanga wanatutawala vp sio wanatuhudumia vp. Niliongea na mbunge mmoja wa zamani aliniambia jinsi wakivokuwa wakiwahenyesha mawaziri wagumu kutoa bahasha kwenye bajeti zao. Nasema hili tuone ugumu mtu kuja kupinguza maslahi makubwa ya wanasiasa ambayo upeo wake unaishia bungeni. Hii wanaita nikune hapa na mi ntakukuna pale!