Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Hii tabia ya kugharamia siasa hapa Tanzania itaisha lini. Hebu angalia mamilioni yanayoteketea kupitia:
1. Ruzuku ya vyama vya siasa
2. Vikao vya bunge la kawaida na katiba
3. Chaguzi
Kwanza kile kipengele cha wabunge kutokuwa na imani na waziri mkuu au raisi kiondolewe, wabunge wameonesha dalili kutaka kukitumi kifungu hiki kwa wakati tofauti kuitisha serikali kupitisha posho zao wanazozitaka.