Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
 
Una uhakika au umeamua tu kubisha!
Acha kupotosha watu humu wewe uliyezoea kulishwa taarifa! Yaani uutoe mchele shinyanga kijijini au kule pawaga au mlimba uje uuze sh. 1300/=? Unaijua bei ya kukodi gari? Ya diesel nayo unaijua? Gharama za mkulima nazo ni sifuri? Jiongeze dogo na piga simu kwenye vyanzo vya mpunga huko kyela na madibira ujuzwe sio unajiropokea humu! Yaani ni hujui lolote!
 
Pumbafff sana wewee..
Hujui lolote kwenye haya masuala ya bei za vyakula..
Wewe subiri jpm akiwa sehemu anazindua stendi sijui vyoo ujulishe watu kwamba yupo live kwenye ile television yenu marehemu.
 
Kwahiyo ulipoona kilo ya mchele imeshuka uka conclude uchumi umepanda, hata hukuangalia bei ya mafuta ya kula, bei ya nondo, bei ya cement, bei za huduma mbalimbali, karo za shule, maji, umeme, gharama za afya nk nk, tuna safari ndefu sana, lazima utakuwa imesoma shule za serikali una qualify kupewa mkopo.
 
Mwanzoni nilikuwa namwona kama mtu mweledi lakini nilipomchunguza nikagundua hana tofauti na YEHODAYA.
 
Itakuwa bei ya chenga za vitumbua. Mchele mzuri wholesale bei ya chini 1800 na wanunuzi wakubwa 1700. Na itategemea mchele wa wapi? Mbeya vs Morogoro vs Shinyanga vs Magugu Vs SUMBAWANGA etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…