Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

Mchele ni kweli kabisa umeshuka bei.....mleta uzi yupo sahihi huku kwetu mchele 900 kwa kilo mashineni 1000-1100 dukani
 
Njoo vijiji vya kata ya Mwamala wilaya ya Nzega mkoani Tabora gunia ni 36,000 mwisho 45,000 na bado wanavuna hapo.

Duru zinadai kilo itafika hata 800 huko lakini hii wala siyo ishara ya uchumi kuimarika,Kuna watu wataumia.
Kuwa muongo haipendezi.
 
Nenda pale kawe sokoni ama soko la sinza......alafu ndio urudi hapa na mrejesho kamili lumumba mkubwa wewe
 
Kama huna cha kuandika tulizaaa kibasi hicho mzee... Wew subiri chakula kije mezani ulee maana hata Bei ya chumvi hujui
 
Hujui chochote kuhusu uchumi
 
Yani hapa kilombero yenyew bonde lenye mpunga mwingi bado tunanunua 2000/= kwa kg sasa huko dar je
 
Nchi ya Tanganyika daima haitakuja kuendelea. Kuna kundi la watu wajinga sana wamejificha kwenye mgongo wa chama ambao ndio wanaoandaliwa kuongoza nchi. This is too sad!
 
Nchi ya Tanganyika daima haitakuja kuendelea. Kuna kundi la watu wajinga sana wamejificha kwenye mgongo wa chama ambao ndio wanaoandaliwa kuongoza nchi. This is too sad!
Kabisa.
Ukute huyu mjinga ndio anakuja kuwa rais.
Majanga.
Hana vision hajui kitu anaropoka ropokwa tu kama hivi.
Huoni mwenzake kila saa ropokwa mupya. Daah
 
Kabisa.
Ukute huyu mjinga ndio anakuja kuwa rais.
Majanga.
Hana vision hajui kitu anaropoka ropokwa tu kama hivi.
Huoni mwenzake kila saa ropokwa mupya. Daah
Ukitaka kuwajua hawa watu, ni kama ungebahatika kuwa mkufunzi (lecturer) katika vyuo vikuu huko TZ. Hili kundi la wafia chama ni full wajinga lakini kutwa kucha wako busy ku-organize political events na chaguzi za kivyama tu. Ukija kuangalia performance yao, ni [0<GPA<1.8]. Surprisingly, baada ya muda unaskia ni katibu sjui wa ujinga gani, mara DC, mara mjumbe wa chama...., full ujinga. Ndio hawa unaowaona wanaleta hoja illogical hata tumbili hawawezi kuleta. Unfortunately, unaweza kudhani hawa watu wanajitoa akili! Noo! ndio highest level ya reasoning capacity yao hii. Too sad!
 
Kwahiyo ulipoona kilo ya mchele imeshuka uka conclude uchumi umepanda, tuna safari ndefu sana, lazima utakuwa imesoma shule za serikali una qualify kupewa mkopo.
Ukiwa brainwashed hata ukiambiwa kinyesi ni chakula utakuli. Naomba umsamehe huyu kibaraka.
 
Jana nimenunua mchele Njombe sh 2,000 kwa kilo moja
 
Sio kipimo icho, ni kwamba kama imeshuka ivyo ni kwa sababu tu' mwaka huu umekuwa wa neema vyua za kutosha kila sehemu mavuno yamekuwa mengi lakini kilichosababisha bei kushuka ni nini hasa

1: wakulima wengi hasa hawa wadogo mwaka uliopita walikaanga kwa maana iyo mitaji ilikata ivyo wameingia mikopo ya ajabu wanachofanya ni kuuza ili kulipa madeni yao kwa iyo watauuuzaaa itafikia kipindi watamaliza mpunga utaanza kupanda tena,
 
Shinyanga na kuvuna kote mchele kilo 1500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…