Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa muongo haipendezi.Njoo vijiji vya kata ya Mwamala wilaya ya Nzega mkoani Tabora gunia ni 36,000 mwisho 45,000 na bado wanavuna hapo.
Duru zinadai kilo itafika hata 800 huko lakini hii wala siyo ishara ya uchumi kuimarika,Kuna watu wataumia.
Nenda pale kawe sokoni ama soko la sinza......alafu ndio urudi hapa na mrejesho kamili lumumba mkubwa weweImeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Inaelekea hata wewe wali huli kako. Unaziamini data za kijinga hivi ambazo hata wewe mlaji unaweza kuzipata!Wewe mbwiga unabishana na maafisa masoko waliopo site?...kalagabaho!
Kama huna cha kuandika tulizaaa kibasi hicho mzee... Wew subiri chakula kije mezani ulee maana hata Bei ya chumvi hujuiImeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Hujui chochote kuhusu uchumiImeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Ifakara ipi unayokaa wew mkuu acha kupotosha watu bhanaBasi bei ya mchele huko Ifakara ni chini ya buku hutaki acha!
Kabisa.Nchi ya Tanganyika daima haitakuja kuendelea. Kuna kundi la watu wajinga sana wamejificha kwenye mgongo wa chama ambao ndio wanaoandaliwa kuongoza nchi. This is too sad!
Ukitaka kuwajua hawa watu, ni kama ungebahatika kuwa mkufunzi (lecturer) katika vyuo vikuu huko TZ. Hili kundi la wafia chama ni full wajinga lakini kutwa kucha wako busy ku-organize political events na chaguzi za kivyama tu. Ukija kuangalia performance yao, ni [0<GPA<1.8]. Surprisingly, baada ya muda unaskia ni katibu sjui wa ujinga gani, mara DC, mara mjumbe wa chama...., full ujinga. Ndio hawa unaowaona wanaleta hoja illogical hata tumbili hawawezi kuleta. Unfortunately, unaweza kudhani hawa watu wanajitoa akili! Noo! ndio highest level ya reasoning capacity yao hii. Too sad!Kabisa.
Ukute huyu mjinga ndio anakuja kuwa rais.
Majanga.
Hana vision hajui kitu anaropoka ropokwa tu kama hivi.
Huoni mwenzake kila saa ropokwa mupya. Daah
Ukiwa brainwashed hata ukiambiwa kinyesi ni chakula utakuli. Naomba umsamehe huyu kibaraka.Kwahiyo ulipoona kilo ya mchele imeshuka uka conclude uchumi umepanda, tuna safari ndefu sana, lazima utakuwa imesoma shule za serikali una qualify kupewa mkopo.
Sio kipimo icho, ni kwamba kama imeshuka ivyo ni kwa sababu tu' mwaka huu umekuwa wa neema vyua za kutosha kila sehemu mavuno yamekuwa mengi lakini kilichosababisha bei kushuka ni nini hasaImeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Hahahaa........ Ova!Utawaita sana hao maofisa wako lkn ollaaa
Ova
Debe?
Shinyanga na kuvuna kote mchele kilo 1500Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!