Pumbafff sana wewee..
Hujui lolote kwenye haya masuala ya bei za vyakula..
Wewe subiri jpm akiwa sehemu anazindua stendi sijui vyoo ujulishe watu kwamba yupo live kwenye ile television yenu marehemu.
Na mbaya zaidi kuhifadhi nako ni gharama na kinyume na malengo.Mpunga
Mpunga imebidi niweke ghalani gunia elfu40 wata tumaliza ghalama za palizi dah, sielewi isee
Hongera yako kwakuto ishi kwa Matumaini ya kula waliBora ninayejilimia mchele wangu hata bei ya mchele siijui mwaka wa tano sasa
TandaleAnauzia wapi mchele wake huyo afisa masoko?
Utawaita sana hao maofisa wako lkn ollaaaCc: maafisa masoko!
Mengeleni kwetu ni bingwa wa kukariri!Kama mtoa mada hakusema kweli wajibu wako kueleza unaloliua kuhusu hiyo taarifa yake sio kuropokwa
Matola ameshanunua kilo zake kadhaa pale Tandale!Utawaita sana hao maofisa wako lkn ollaaa
Ova
Mchele wa buku shing tatu hahaa , natamani nione sura yake nikanunue kwake huo mchele wa buku shing tatuTandale
Hata wa kiuno hauwezi kufika hiyo beiLabda kitumbo.
Utakuwa mchele wa vitumbua uo usituletee story shoga hapaImeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
nimeamini usiku huu ITV imetangaza kushuka bei kwa mchele tena wachuuzi wenyewe wamehojiwa na wamekiri utashuka mpaka 1,300/ kwa kiloMengeleni kwetu ni bingwa wa kukariri!
Naona mashavu yamekulegea avatani!Utakuwa mchele wa vitumbua uo usituletee story shoga hapa
Nashukuru mkuu, mimi huwa sibaatishi!nimeamini usiku huu ITV imetangaza kushuka bei kwa mchele tena wachuuzi wenyewe wamehojiwa na wamekiri utashuka mpaka 1,300/ kwa kilo
jamani tuacheni ubishi
huyu Yohana mbatizaji kazipata za kweli
Uchumi uimalike kwa kushuka bei? Bei inaweza ikashuka kwa sababu hakuna demand.Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Hilo ndio tataizo la kuangalia kila kitu kisiasa hadi mtu anasahau kua mazao yana mzunguuko wake wa bei. Hata hakutaka kujiuliza kama huu ni msimu wa mavuno au vipi? Anatulisha matango pori hati uchumi umeimarika-nafikiri huyu ni mchumi kanjanja.Umeshuka kidogo coz supply imeongezeka maana huu ni msimu wa mavuno na mwaka huu mavuno hasa mpunga yameongezeka,hata mafuta huku Sumbawanga bei hazikupanda kama huko keingine
the old man is frustrated