Wewe na Joni Mbatizaji nawaweka kapu moja, mnachanganya madesa kwa kuwa kila kitu mnakiangalia kwa macho ya kijani hadi mnaona vitu ambavyo havipo.Ndio kazi ya serikali ya awamu ya tano,pesa ipate thamani.
Hongera serikali kwa kudhibiti mfumuko wa bei
Kweli kuimba kupokezana,Hata Mwanza mchele unachezea 1300-1500 mafuta ndo bado yako juu
Nashukuru kwa kutambua kuwa bei imeshuka, hiyo misimu ya mavuno iko miaka yote na walanguzi walikuwa wananunua mazao kabla hayajavunwa ili kucontrol price....mwaka huu imekuwaje?!!!Hilo ndio tataizo la kuangalia kila kitu kisiasa hadi mtu anasahau kua mazao yana mzunguuko wake wa bei. Hata hakutaka kujiuliza kama huu ni msimu wa mavuno au vipi? Anatulisha matango pori hati uchumi umeimarika-nafikiri huyu ni mchumi kanjanja.
insu sio kushuka bei mchele,insu ni kuwa kushuka bei kwa mchele hakumanishi uchumi umepandanimeamini usiku huu ITV imetangaza kushuka bei kwa mchele tena wachuuzi wenyewe wamehojiwa na wamekiri utashuka mpaka 1,300/ kwa kilo
jamani tuacheni ubishi
huyu Yohana mbatizaji kazipata za kweli
huo ni ule mchele mjapani sisi tunao kula mchele wa Kahama na mbeya mziki upo pale pale sh 2600 mbona hasemi na sukari.Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Kudhibitiwa kwa walanguzi na madalali waliokuwa wananunua mazao kabla hsyajavunwa ni sababu mojawapo ya bei za nafaka katika ujumla wake kushuka!Wewe na Joni Mbatizaji nawaweka kapu moja, mnachanganya madesa kwa kuwa kila kitu mnakiangalia kwa macho ya kijani hadi mnaona vitu ambavyo havipo.
Mjapani unatoka Ifakara!huo ni ule mchele mjapani sisi tunao kula mchele wa Kahama na mbeya mziki upo pale pale sh 2600 mbona hasemi na sukari.
Mkuu,Tatizo Ufipa kila kitu wamekaririshwa kupinga!
Bei ya shamba ni 1750 ...Una uhakika au umeamua tu kubisha!
ah huo una mchanga kibao nimeula mdogo wangu alileta wala siutamani labda ambao huwa hawatafuni wali wanaomeza tu ndio huwasikii mchangaMjapani unatoka Ifakara!
Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Huyu ndugu yetu ni wa kumuhurumia bure tu.Gharama za kuzalisha huo mpunga nazo zimeshuka au hilo lipo nje ya kibarua chako.
Utani na Wabondei si mzuri.ah huo una mchanga kibao nimeula mdogo wangu alileta wala siutamani labda ambao huwa hawatafuni wali wanaomeza tu ndio huwasikii mchanga
Mkuu unamaanisha kile unachosema?! Kama ni kweli mimi nianze kufunga safari kuja kununua mchele huko Tabora. Maana kwa hesabu za haraka ni kuwa, Ukinunua gunia moja la 100kg kwa sh.45,000, ina maana kila kilo moja utakuwa umenunua kwa sh.450. Na hapo kama bado wanaendelea kuvuna, ina maana itafika mpaka sh.300 kwa kilo. Hii kwangu imekuwa ngumu kuamini, labda kuna tarakimu umezikosea.Njoo vijiji vya kata ya Mwamala wilaya ya Nzega mkoani Tabora gunia ni 36,000 mwisho 45,000 na bado wanavuna hapo.
Duru zinadai kilo itafika hata 800 huko lakini hii wala siyo ishara ya uchumi kuimarika,Kuna watu wataumia.