DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hiyo ni kweli mkuu,Kushuka kwa bei ya mchele ni kilio kwa mkulima. The world is unfair
Gharama za uzalishaj zmekua kubwa sn msimu huu.
Hakuna pembejeo wala mbolea za ruzuku,
Vipuri vya Trekta viliongezewa kodi, Service ya trekta imekua mwiba mkubwa.
Riba kwenye mabenki zimekua juu sana.
YAAN NI KAMA VILE SEREKALI IMEWATELEKEZA WAKULIMA.
HUU UCHUMI UNAOKUA KWA KUWAUMIZA ZAIDI YA 85% YA WATANZANIA WENZETU(wakulima)
SIDHANI KAMA UNA TIJA YOYOTE KWETU.